msabillah
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 4,763
- 3,204
Hatiangalii English! Kazi tuNoma Sana Tundu Lissu naye Kiingereza chake kamzidi Magufuli kwa 1,000,000,000,000,000,000 Kilometres.
Hatiangalii English! Kazi tuNoma Sana Tundu Lissu naye Kiingereza chake kamzidi Magufuli kwa 1,000,000,000,000,000,000 Kilometres.
Ukishakuwa wakili wewe ni Msomi tayari neno Msomi linatumika kurefer tu mtu aliyeko kwenye legal professional sababu zipo nyingi nimejaribu kueleza huko huu baadhi tu. Hii siyo Tanzania bali ni kwa All common law countries kwa kiingereza wanatumia neno Learned Advocate/brother/sister/ judge / chief justice etcUkisoma IT halafu ikawa ulichosoma chuo ndo hicho hicho lazima uwe nyuma ya wakati tena pengine kuliko huyo wakili!
But all in all, hapa ni suala la wakili... ukiniambia kuna wakili msomi ina maana kuna wakili asiye msomi vile vile!! Hapa ndipo ningependa kufahamu huyo wakili asiye msomi anakuaje?!
Correct 100%Masha mkali eeh😀
Ila umesikia alivyochapia?
Kasema "I have decided to make a decision".
How can you decide to make a decision?
Is it possible?
Like i am going to go through the documents before me.Masha mkali eeh😀
Ila umesikia alivyochapia?
Kasema "I have decided to make a decision".
How can you decide to make a decision?
Is it possible?
Komredi mi hapa kwangu imegoma kufunguka...Komredi...nani mkali wa kimombo hapo?
Halafu huyo mshikaji wa mwisho dizaini hakipandi...
😀😀😀
Yaani kuliko wakili unamaanisha nini wakili ambaye hajiupdate lazima awe nyuma ya wakati kwa mfano kabla ya 2015 hatukuwa na sheria ya mitandao Leo tunayo cybercrime act, 2015 tumekuja na sheria mpya ya madaya ya kulevya sasa wakili ataenda vipi mahakamani bila kuwa updated? Lazima asome kila wakati maana kila siku bunge linapokaa linabadilisha sheria na kutunga sheria maana yake hizo sheria wakili anatakiwa aziitie na kusoma harudi tena chuo kufundishwaUkisoma IT halafu ikawa ulichosoma chuo ndo hicho hicho lazima uwe nyuma ya wakati tena pengine kuliko huyo wakili!
But all in all, hapa ni suala la wakili... ukiniambia kuna wakili msomi ina maana kuna wakili asiye msomi vile vile!! Hapa ndipo ningependa kufahamu huyo wakili asiye msomi anakuaje?!
Hawa jamaa kutaja cheo chao bila kutanguliza "usomi" wanahisi kama wamedharauliwa.Tena hapa nisaidieni; manake utasikia "Wakili Msomi...!" Huwa wana maana gani hasa?! Hivi kuna mtu asiye msomi anayeweza kuwa wakili?! Sijawahi kusikia Mhasibu Msomi; ingawaje hawa ingeswihi manake kuna wengine wameishia Kidato cha IV halafu wanajiita Wahasibu badala ya kujiita makeshia!!
Mkuu Petro E. Mselewa, hebu nisaidie hapo juu!! Ni wakili wa aina gani ambae anakuwa sio msomi; au ni swaga zenu tu??!!!
Yes , it is possible and especially when one has competing alternatives.Masha mkali eeh😀
Ila umesikia alivyochapia?
Kasema "I have decided to make a decision".
How can you decide to make a decision?
Is it possible?
Huyo Mwakyembe unafki ni jadi yake!!Hawa jamaa wanapenda sana kujiita wasomi...
Sio mbaya... ila kwa usomi huu ambao bosi wao anapiga marufuku ndoa bila ya cheti cha kuzaliwa... Hapana asee...
Kwa wakristo kwa mfano ndoa inakuwa ndoa halali baada ya kufungishwa na padre/mchungaji. Suala la kupewa vyeti (vya serikali) hufanyika baada ya ndoa kufungwa... mwisho kabisa wa ibada. Hii inamaanisha cheti hutolekwa kwa hitaji la serikali lakini ndoa kama ndoa kiimani haihitaji cheti.
Ni heri kusomea Kemia ukajua kuitafsiri sheria kuliko kuwa mwanasheria afu ukashindwa kuijua sheria.
Aaah wewe...
Sidhan kama hakuna kozi zingine ambazo hazihitaji usome tena. Chukulia mfano uhasibu kila mara unabadilika ni lazima usome kila mara.Wakili msomi inatokana na wao kuwa mara kwa mara lazima wapitie vitabu ili kujua sheria mbalimbali yaani lazima wasome kila wakati lakini kozi zingne ukiisha maliza chuo hakuna tena inshu ya kupitia pitia sijui nn
Acha hizo njoo kwenye field ya IT uone kama kuna kulala. Unatakiwa kusoma kila siku ili ujue mabadiliko yanayotokea kwenye IT duniani ila Mawakili wanapenda tu sifa kama wanasiasa!Wakili msomi inatokana na wao kuwa mara kwa mara lazima wapitie vitabu ili kujua sheria mbalimbali yaani lazima wasome kila wakati lakini kozi zingne ukiisha maliza chuo hakuna tena inshu ya kupitia pitia sijui nn
Wakili msomi maana yake ni wakili wa sheria.maana kuna wakili wa mazingira nk kn nk.Sidhan kama hakuna kozi zingine ambazo hazihitaji usome tena. Chukulia mfano uhasibu kila mara unabadilika ni lazima usome kila mara.
Aaah wewe...
Ni kwa sababu kila kitu kina sheria, hata hao IT kuna sheria zimewafanya wawe na uhalali. Hivyo wanasheria ndiyo wasomiAcha hizo njoo kwenye field ya IT uone kama kuna kulala. Unatakiwa kusoma kila siku ili ujue mabadiliko yanayotokea kwenye IT duniani ila Mawakili wanapenda tu sifa kama wanasiasa!
Aaah wewe...