The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,872
- 18,716
Aaah wewe...
Wewe Nyani. ........ angalia wasije kukuingiza kwenye ile list ya most wanted kama Mange (Joke).
Aaah wewe...
Ni kweli hata kwenye sheria nako kunakuwa na mabadiliko ya mara kwa mara lakini sidhani kama rate yake inafanana na masuala ya ICT!! Kwa mfano, chukulia watu wanao-deal na masuala ya SEO (search engine optimization), Google kila mwaka lazima wabadili search algorithm!!Yaani kuliko wakili unamaanisha nini wakili ambaye hajiupdate lazima awe nyuma ya wakati kwa mfano kabla ya 2015 hatukuwa na sheria ya mitandao Leo tunayo cybercrime act, 2015 tumekuja na sheria mpya ya madaya ya kulevya sasa wakili ataenda vipi mahakamani bila kuwa updated? Lazima asome kila wakati maana kila siku bunge linapokaa linabadilisha sheria na kutunga sheria maana yake hizo sheria wakili anatakiwa aziitie na kusoma harudi tena chuo kufundishwa
He is a US baby as well more than. We mbeba maboksi ye alikuwa akipiga kitabu.Masha mkali eeh😀
Ila umesikia alivyochapia?
Kasema "I have decided to make a decision".
How can you decide to make a decision?
Is it possible?
Naomba unielimishe tofauti ya Advocate na lawyer.Wakili msomi, jaji Msomi, mwanasheria Msomi kwa kimombo wanaita, learned Advocate, Learned Judge, Learned Lawyer, Learned Brother, Learned sister, learned Counsel. Haya maneno hayatumiki kumaanisha kwamba wakili mmoja amesoma sana zaidi ya mwingine. Sababu zipo nyingi sana nitakusaidia chache.
Moja, Sheria ni taaluma iliyojikita kwenye antagonisms hasa mahakamani ambapo mawakili hupingana kwa hoja kila mtu akimtetea mteja wake hivyo maneno yenye kuonesha heshima na kuheshimiana japo tunapingana hutumika Ku sugarcoat tu mfano "Ninapingana na Wakili Msomi katika moja mbili tatu". Hata jaji anaweza kusema " nashindwa kukubaliana na hoja za wakili Msomi" lakini hata wakili asiporidhishwa na hukumu ya jaji akakata rufaa anaweza kueleza mahakama " kwamba Jaji Msomi katika kuamua hivi alikosea" hivyo japo unampinga unacknowledge kwamba amesoma na ana sifa zote.
Mbili, ni kutokana na bushlawyers kwa hiyo wakili au mwanasheria Msomi hutumika kutofautisha na hao ma Bush lawyers.
Tatu, Mwanasheria ni wasomi kwa sababu wanasoma mambo mengi ambayo wahusika wa taaluma hizo wapo. Kwa kuwa kila kesi kutoka kwa kila mtu mwisho wa siku itakuja kuangukia mahakamani kwa wanasheria basi mwanasheria anasoma mambo mengi mfano heath laws na wakati daktari yupo, company laws, partnership, contract laws na wahusika wapo. Tax laws na wahusika watu wa kodi wapo, land laws na wahusika wa ardhi wapo, environmental laws etc
Nne, sheria ni noble professional hivyo kuheshimiana ni muhimu ndiyo maana maneno ya kutukuzana sana utayakuta mahakamani, maneno kama Msomi, Mheshimiwa, Mtukufu hakimu, Mahakama tukufu, Your Lordship, Your Ladyship etc
He is a US baby as well more than. We mbeba maboksi ye alikuwa akipiga kitabu.
Msomi umewaelezea vizuri sana maana huwa wanajisikia bibaya tukiitana hivyo kumbe ina maana ya kawaida tu na bahati mbaya kuna professions wakisikia unajiita msomi wanaumia sana kumbe ni kuheshimiana tu. Wanasheria tuna lugha yenye kustahi Wakili mwenzio ila akileta ujinga kama Wakiki Mwakyembe unaruhusiwa tu kusema ameongea mambo ya kijinga sanaWakili msomi, jaji Msomi, mwanasheria Msomi kwa kimombo wanaita, learned Advocate, Learned Judge, Learned Lawyer, Learned Brother, Learned sister, learned Counsel. Haya maneno hayatumiki kumaanisha kwamba wakili mmoja amesoma sana zaidi ya mwingine. Sababu zipo nyingi sana nitakusaidia chache.
Moja, Sheria ni taaluma iliyojikita kwenye antagonisms hasa mahakamani ambapo mawakili hupingana kwa hoja kila mtu akimtetea mteja wake hivyo maneno yenye kuonesha heshima na kuheshimiana japo tunapingana hutumika Ku sugarcoat tu mfano "Ninapingana na Wakili Msomi katika moja mbili tatu". Hata jaji anaweza kusema " nashindwa kukubaliana na hoja za wakili Msomi" lakini hata wakili asiporidhishwa na hukumu ya jaji akakata rufaa anaweza kueleza mahakama " kwamba Jaji Msomi katika kuamua hivi alikosea" hivyo japo unampinga unacknowledge kwamba amesoma na ana sifa zote.
Mbili, ni kutokana na bushlawyers kwa hiyo wakili au mwanasheria Msomi hutumika kutofautisha na hao ma Bush lawyers.
Tatu, Mwanasheria ni wasomi kwa sababu wanasoma mambo mengi ambayo wahusika wa taaluma hizo wapo. Kwa kuwa kila kesi kutoka kwa kila mtu mwisho wa siku itakuja kuangukia mahakamani kwa wanasheria basi mwanasheria anasoma mambo mengi mfano heath laws na wakati daktari yupo, company laws, partnership, contract laws na wahusika wapo. Tax laws na wahusika watu wa kodi wapo, land laws na wahusika wa ardhi wapo, environmental laws etc
Nne, sheria ni noble professional hivyo kuheshimiana ni muhimu ndiyo maana maneno ya kutukuzana sana utayakuta mahakamani, maneno kama Msomi, Mheshimiwa, Mtukufu hakimu, Mahakama tukufu, Your Lordship, Your Ladyship etc
Reki Mkuu sio lakeYes people uuu mhh used too too to die in the lake
Ni kweli nimeangalia sehemu zingine nao wanafanya hivyo hivyo lakini kwangu ina-sound kama wale jamaa wa "...lakini darasa la 8 la mkoloni...!!!" Anyway, lakini ni my favorite profession!!! Na kama ningefahamu tangu zamani, huenda ningesoma art... sema ndo vile tena elimu za Tanzania; ukifika Kidato cha III; unaswagwa tu kupelekwa kule wanakotaka wao ingawaje ni kweli pia sikuwa na huo mpango hapo kabla!!Ukishakuwa wakili wewe ni Msomi tayari neno Msomi linatumika kurefer tu mtu aliyeko kwenye legal professional sababu zipo nyingi nimejaribu kueleza huko huu baadhi tu. Hii siyo Tanzania bali ni kwa All common law countries kwa kiingereza wanatumia neno Learned Advocate/brother/sister/ judge / chief justice etc
Huyo wa mwisho anaweza akapata kura 2 ya kwake na ya mwakyembe.
Hoja sio neno au term gani inatumika bali hoja ni suala la kujitofautisha bila kujali mnajitofautisha kwa kutumia term ipi...Tunaitwa Professional accountant au Professional Auditor.Not learned kaka
USA baby [emoji631] [emoji631] [emoji385] [emoji385]He is a US baby as well more than. We mbeba maboksi ye alikuwa akipiga kitabu.
Sisi Wasomi huwa hatuhitaji summarySummaries this shit anyway.
Mtu aliyesoma sheria ni mwanasheria iwe digrii, diploma etc ila advocate ni yule mwenye sifa za kumwakilisha mtuhumiwa mahakamani kwa hapa Tanzania lazima upite law school ufaulu na kufanyiwa vetting na jaji mkuu uapishwe na kupata leseniNaomba unielimishe tofauti ya Advocate na lawyer.