Makahaba wanaswa na wateja wao....wadai wanasaka pesa ya sikukuu...tazama mapicha zaidi ya 12 hapa.

Money Stunna

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Messages
13,090
Points
1,500
Money Stunna

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2011
13,090 1,500

[h=3][/h]
AISEEE! Yameshuhudiwa matukio mengi ya kamatakamata ya dadapoa kwa mwaka 2013 lakini hili ni funga mwaka. Oparesheni Fichua Maovu (OFM) kwa kolabo na polisi, safari hii imefumua madanguro mengi yaliyojificha vichochoroni na kwenye nyumba za kulala wageni na kuibuka na mambo mengi ya kushangaza.

Katika oparesheni hiyo maalum iliyofanywa na OFM na polisi wa Kituo cha Buguruni, Dar, usiku mnene, mwanzoni mwa wiki hii, ilifanikiwa kuwanasa akina dada wanaouza miili katika maeneo mbalimbali wakiwa na wateja wao ambapo baadhi yao walitiwa mbaroni.MAENEO MENGINE

Ukiachilia mbali sehemu za madanguro hayo, OFM ilitonywa kuwepo kwa baadhi ya gesti zinazotumiwa na wanawake hao kama madanguro kwa kuingiza na kubadili wanaume asubuhi, mchana na usiku.


Oparesheni hiyo ilisafisha maeneo ya Buguruni ambayo ni korofi kwa biashara hiyo haramu ambapo baadhi yao walidai kuwa wapo kwenye mishemishe za kusaka fedha kwa ajili ya sikukuu ijayo ya Krismasi.MENGI YABAINIKA

Katika upelelezi wetu, baadhi ya wanawake walionaswa kwenye sekeseke hilo, ni wachumba na wake za watu.


Baadhi ya watu waliokuwa karibu na maeneo hayo, walisema imekuwa ni kero kwao kwani uwepo wa wanawake hao maeneo hayo huleta picha mbaya kwa jamii hasa watoto.“Safi kabisa, nalipongeza sana jeshi la polisi na OFM kuweza kuyabaini na kuyafanyia kazi maovu haya, watoto wetu wamekuwa wakishuhudia uchafu mwingi sana,” alisikika mama mmoja wa makamo.


MACHANGUDOA HAWA HAPA!

Wakizungumza na gazeti hili kwa nyuso za huzuni, baadhi ya wanawake walionaswa walikiri kuwa wachumba na wake za watu ila kutokana na ugumu wa maisha wanalazimika kujiingiza kwenye biashara hiyo.

sijui hao wateja kuna miongoni ni member umu?

 
Mfamaji

Mfamaji

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2007
Messages
6,644
Points
2,000
Mfamaji

Mfamaji

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2007
6,644 2,000
Mipolisi haifikirii lolote zaidi ya kuwaharibia watu riziki zao. Kwani wanawake si wanado kila siku ? Tofauti si kwamba hawa wanawapenzi wengi zaidi
ya hao wasioonekana wakiwemo wake zetu? Tafuteni mijambazi na mijangangili bana acheni kujifanya hamnazo enyi polisccm
 
D

dr.makarang

Member
Joined
Jul 5, 2013
Messages
98
Points
0
D

dr.makarang

Member
Joined Jul 5, 2013
98 0
Sio vizuri kuwapiga picha na kuzidisplay,,wana haki hiyo hata kama wanatambulike uelewa wao wa kiakiri .
 
MUSSA ALLAN

MUSSA ALLAN

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2013
Messages
18,947
Points
2,000
MUSSA ALLAN

MUSSA ALLAN

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2013
18,947 2,000
Ukidakwa kwenye maeneo hayo, unatamani ardhi ipasuke utumbukie. Huyo jamaa mwenye shati jekundu anaonekana ni mtu mstaarabu sana.
 
Nyamgluu

Nyamgluu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2006
Messages
3,142
Points
1,250
Nyamgluu

Nyamgluu

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2006
3,142 1,250
Hahaha wanachama wengi kumbe!
Lakini its not right kuweka picha!
 
Threesixteen Himself

Threesixteen Himself

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Messages
7,641
Points
2,000
Threesixteen Himself

Threesixteen Himself

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2013
7,641 2,000
!
!
police sio kabisa mwana, wanapenda sana sifa mkuu.........wanaacha mateja kino wanakuja kuzingua raia kitaaa, kuna malaya kama hao kibao katika system za juu na maoisini mbona hawakamati
Wadau mitaa yenu imesafishwa naona mnamaindi kinoma
 
Saint Ivuga

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Messages
47,366
Points
2,000
Saint Ivuga

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2008
47,366 2,000
Kuna hadi kitu ya zeruzeru ... Dah... Ni haki wadau kulamika mlikuwa mnapata fleva zote sio
 
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Messages
13,075
Points
2,000
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2013
13,075 2,000
Kwanini wasitozwe kodi km nchi zingine, pia kuwapiga picha sio haki za kibinadamu.
 
chollemadulu

chollemadulu

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2013
Messages
210
Points
195
chollemadulu

chollemadulu

JF-Expert Member
Joined Dec 8, 2013
210 195
Wawekeni ndani wiki 1 tu alafu muwachie
 
N

Nkutupa

Senior Member
Joined
Feb 20, 2013
Messages
185
Points
225
N

Nkutupa

Senior Member
Joined Feb 20, 2013
185 225
Inawezakana kuwakamata ikawa ni sahihi kwa mujibu wa sheria, taratibu na kanuni za nchi. Lakini swala zima la kuwapiga picha na kuwaanika kwenye mtandao siyo kabisaa. Af umeweka habari kubwa ilhali picha zote hizo zinaonyesha wahusika wale wale. Labda ungemkuta dada yako, kaka yako, mama yako, dingi yako, au mkeo au mumeo ndo usingeweka picha. Nyambafu
 
W

Wandugu Masanja

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2008
Messages
1,535
Points
1,225
W

Wandugu Masanja

JF-Expert Member
Joined Apr 26, 2008
1,535 1,225
udhalilishaji ndio huu kwanini wawapige picha na kuzitia kwenye mitandao? hilo ni kosa ikiwa watapata utetezi mzuri mahakamani
 
VOICE OF MTWARA

VOICE OF MTWARA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Messages
2,488
Points
1,225
VOICE OF MTWARA

VOICE OF MTWARA

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2012
2,488 1,225
unajua kuna tofauti kati ya sheria na maadili (law and morality) hawa makahaba hawajavunja sheria yoyote ile isipokuwa wamekiuka maadili, na hawawezi kuhukumiwa eti kwa sababu tu wamekiuka maadili
 

Forum statistics

Threads 1,324,624
Members 508,740
Posts 32,168,262
Top