Makahaba wanaswa na wateja wao....wadai wanasaka pesa ya sikukuu...tazama mapicha zaidi ya 12 hapa.

Duuu...leo wamekakamata na kale ka albino ka maeneo ya kimboka? Almaarufu "mzungu" hakika kazi nzuri.
 
Huu ni upepo unapita tu maana Mzee Makamba na Kandoro waliwashindwa cha msingi ni kutafuta utaratibu wa kulipa kodi TRA.
 
Mipolisi haifikirii lolote zaidi ya kuwaharibia watu riziki zao. Kwani wanawake si wanado kila siku ? Tofauti si kwamba hawa wanawapenzi wengi zaidi
ya hao wasioonekana wakiwemo wake zetu? Tafuteni mijambazi na mijangangili bana acheni kujifanya hamnazo enyi polisccm

duh.... are u doing the same business?
 
This is very unfair! Ni udhalilishaji na uingiliaji wa faragha za watu huru. Wote ni watu wazima hao!
 
Viroba ! Viroba ! Na huyo wa shati jekundu anaonekana kama ndiyo mara ya kwanza ile kusema nikajaribu tu !!!!
 
Picha isingewekwa mngedai kama ushahidi,ila sijapenda walivyopigwa picha nikiwa kama mwanachama wao hai
 
WEWE ULIEWEKA HIZO PICHA HUMU UNAELEWA SHERIA INAWEZA KULUWEKA MATATANI? Nisamehe lakini I am so sure you are very stupid and lazy in thinking. Huu ni upuuzi na hatuwezi kuvumbia macho. Hata kama wamezini huna haki ya kuwahukumu na pili wana haki zao zinazowalinda. Tutajuaje kama una visa na mmoja wao wa watu uliowaweka picha zao humu? Imagine mtu anaingia humu ndani anakuta picha ya baba yake? .......you are very I mature in reasoning.......kichwa chako kinawaza ngono tug...
 
Ruhusu hao watu ikibidi tengenezea vitambulisho,na mwisho wa siku mashine za TRA ziwahusu,mapato kwa taifa nje nje..
 
Sijui x-mass hawa wenzetu wanaitafsiri vipi!!

Wanaelewa maana kweli??
Money Stunna kwa swali lako la mwisho ..Nina muda sijamuona Simiyu Yetu pengine yupo hapo ;)
 
Last edited by a moderator:
itafute MAPI, nchoi wanachama ambao ni mono-list kama SA wanafaidika na kodi za hawa, in fact wamehalishwa kwa Commercial Sex Workers (CSW)

interesting..dah! this is :A S new: to me
 
Back
Top Bottom