Makahaba wanaswa na wateja wao....wadai wanasaka pesa ya sikukuu...tazama mapicha zaidi ya 12 hapa.

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281

[h=3][/h]
AISEEE! Yameshuhudiwa matukio mengi ya kamatakamata ya dadapoa kwa mwaka 2013 lakini hili ni funga mwaka. Oparesheni Fichua Maovu (OFM) kwa kolabo na polisi, safari hii imefumua madanguro mengi yaliyojificha vichochoroni na kwenye nyumba za kulala wageni na kuibuka na mambo mengi ya kushangaza.

Katika oparesheni hiyo maalum iliyofanywa na OFM na polisi wa Kituo cha Buguruni, Dar, usiku mnene, mwanzoni mwa wiki hii, ilifanikiwa kuwanasa akina dada wanaouza miili katika maeneo mbalimbali wakiwa na wateja wao ambapo baadhi yao walitiwa mbaroni.



MAENEO MENGINE

Ukiachilia mbali sehemu za madanguro hayo, OFM ilitonywa kuwepo kwa baadhi ya gesti zinazotumiwa na wanawake hao kama madanguro kwa kuingiza na kubadili wanaume asubuhi, mchana na usiku.


Oparesheni hiyo ilisafisha maeneo ya Buguruni ambayo ni korofi kwa biashara hiyo haramu ambapo baadhi yao walidai kuwa wapo kwenye mishemishe za kusaka fedha kwa ajili ya sikukuu ijayo ya Krismasi.



MENGI YABAINIKA

Katika upelelezi wetu, baadhi ya wanawake walionaswa kwenye sekeseke hilo, ni wachumba na wake za watu.


Baadhi ya watu waliokuwa karibu na maeneo hayo, walisema imekuwa ni kero kwao kwani uwepo wa wanawake hao maeneo hayo huleta picha mbaya kwa jamii hasa watoto.



“Safi kabisa, nalipongeza sana jeshi la polisi na OFM kuweza kuyabaini na kuyafanyia kazi maovu haya, watoto wetu wamekuwa wakishuhudia uchafu mwingi sana,” alisikika mama mmoja wa makamo.


MACHANGUDOA HAWA HAPA!

Wakizungumza na gazeti hili kwa nyuso za huzuni, baadhi ya wanawake walionaswa walikiri kuwa wachumba na wake za watu ila kutokana na ugumu wa maisha wanalazimika kujiingiza kwenye biashara hiyo.

sijui hao wateja kuna miongoni ni member umu?

 
Mipolisi haifikirii lolote zaidi ya kuwaharibia watu riziki zao. Kwani wanawake si wanado kila siku ? Tofauti si kwamba hawa wanawapenzi wengi zaidi
ya hao wasioonekana wakiwemo wake zetu? Tafuteni mijambazi na mijangangili bana acheni kujifanya hamnazo enyi polisccm
 
Ukidakwa kwenye maeneo hayo, unatamani ardhi ipasuke utumbukie. Huyo jamaa mwenye shati jekundu anaonekana ni mtu mstaarabu sana.
 
Kuna hadi kitu ya zeruzeru ... Dah... Ni haki wadau kulamika mlikuwa mnapata fleva zote sio
 
Inawezakana kuwakamata ikawa ni sahihi kwa mujibu wa sheria, taratibu na kanuni za nchi. Lakini swala zima la kuwapiga picha na kuwaanika kwenye mtandao siyo kabisaa. Af umeweka habari kubwa ilhali picha zote hizo zinaonyesha wahusika wale wale. Labda ungemkuta dada yako, kaka yako, mama yako, dingi yako, au mkeo au mumeo ndo usingeweka picha. Nyambafu
 
udhalilishaji ndio huu kwanini wawapige picha na kuzitia kwenye mitandao? hilo ni kosa ikiwa watapata utetezi mzuri mahakamani
 
unajua kuna tofauti kati ya sheria na maadili (law and morality) hawa makahaba hawajavunja sheria yoyote ile isipokuwa wamekiuka maadili, na hawawezi kuhukumiwa eti kwa sababu tu wamekiuka maadili
 
Back
Top Bottom