Makahaba/Matapeli wa mapenzi SGR station Dodoma

Tukiwa room anaomba nimtumie 3m kutoka benki yangu kwenda akaunti yake ili kumlipa supplier wake wa Dar.

4. Mpaka muda huu najiuliza nilitoaje Ile pesa huenda anatumia dawa aisee😀😀😀
 
Mimi kwenye maulevi nilisha tunza kwenye live band zaidi ya mil 2 ,ambayo ni pesa ya mtaji wangu ambayo niliweka ni karata yangu ya mwisho ya kutoboa Seran 😅
Ukageuka mzamiru katunzii, mpakanjiaaa, ndama mutoto ya ng'ombe, papa musofee😂😀

Kaka Kila mtu anayo mapito yakeeeee niliwai chunwa mpaka nauli na nikafukuzwa usiku saa sita nikatembea kwa miguu kilometer 8 mpaka home🏠 natania TU mkuu 😂😂
 
Kulala na mtu usiyemfahamu ni risk, wewe upo kama mimi, najiwekeaga huo utaratibu, hata akitokea mwanamke wa kulala heri, ni bora ukaingia gharama ya kuchukua lodge nyingine kuliko kulala sehemu uliyofikia tena ndani ukiwa na mali zenye thamani.
 
Hahahahahaha, anataka akamloge boya mwingine tena atoe pesa🤣🤣

Ila walevi tuna honga bila hata kuichapa hili linaniuma sana😭
Ukishapiga mitungi unachohitaji ni kupata raha sio karaha..😂
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…