Makaburi ya Kisutu hayajai?

Mtafiti77

JF-Expert Member
Oct 31, 2011
1,843
2,272
Habari ndugu,

Mara kadhaa nimekuwa nikipita jirani na makaburi haya maarufu jijijini. Nikitazama ninaona eneo ni finyu. Tangu nimelijua jiji, ni miaka karibu arobaini kasoro sasa. Kila kukicha ninasikia watu wakizikwa Kisutu. Je, eneo hilo huwa halijai?

Wale wajuvi na wandewa ninaomba majibu.

Shukrani
 
Yanakuwa managed na wazee wa mjini hapo kaburi moja na ratio yake, nilienda kumzika rafiki yangu apo muda kidogo
 
Habari ndugu,

Mara kadhaa nimekuwa nikipita jirani na makaburi haya maarufu jijijini. Nikitazama ninaona eneo ni finyu. Tangu nimelijua jiji, ni miaka karibu arobaini kasoro sasa. Kila kukicha ninasikia watu wakizikwa Kisutu. Je, eneo hilo huwa halijai?

Wale wajuvi na wandewa ninaomba majibu.

Shukrani
Yanajaa kwa wasiyo na pesa au maalufu
 
Kinondoni walisema pamejaa tokea 2000, lkn ukienda pale Leo utakuta zaidi ya watu watano wanazikwa na bado nafasi inabaki.
Binafsi sipendi nozikwe Dar na watu nisiowajua lkn pia joto la Dar kipindi Cha kiangazi sio fresh.
Halafu wahuni wanaweza kuzika MTU juu yako.
 
Kujaa kushajaa, ila nafasi ya kuzika haikosekani. Makaburi karibia mengi mjini yameishajaa, ila nafasi za kuzikia zinapatikana.

Zinapatikanaje we haikuhusu, we si unataka kumzika nduguyo mjini, nafasi zipo 🤣😂
 
Habari ndugu,

Mara kadhaa nimekuwa nikipita jirani na makaburi haya maarufu jijijini. Nikitazama ninaona eneo ni finyu. Tangu nimelijua jiji, ni miaka karibu arobaini kasoro sasa. Kila kukicha ninasikia watu wakizikwa Kisutu. Je, eneo hilo huwa halijai?

Wale wajuvi na wandewa ninaomba majibu.

Shukrani
Makaburi hayo yako katikati ya jiji na kama ujuavyo mjini ni mwendo wa maghorofa, usiwe na shaka lako litakuwa juu ya mtangulizi wako.
 
Jamaa yangu alimzika Baba yake Makaburi ya Kinondoni Mwaka 2020,baada ya Mazishi akarudi Nairobi kupambana na maisha,kapata vipesa kidogo karudi nchini mwezi uliopita na akiwa na mpango wa kwenda kujengea kaburi la Mzee,kanunua vifaa kama siment,matofali,mchanga,marumaru nk,kufika na fundi Makaburini tayari Kwa kazi akashangaa kukuta Kaburi lingine palepale alipomzika Baba yake na limeshajengewa kabisahana mahali pa kulalamika ikabidi zoezi liishie hapo
 
Aisee, sasa ninajiuliza, kwani tumekosa pa kuzikia? Mbona nje kidogo tu ya miji yetu ardhi kibao tu. Huenda serikali na raia hatujaona kama hili ni tatizo.
 
Habari ndugu,

Mara kadhaa nimekuwa nikipita jirani na makaburi haya maarufu jijijini. Nikitazama ninaona eneo ni finyu. Tangu nimelijua jiji, ni miaka karibu arobaini kasoro sasa. Kila kukicha ninasikia watu wakizikwa Kisutu. Je, eneo hilo huwa halijai?

Wale wajuvi na wandewa ninaomba majibu.

Shukrani
NJOO TANKIBOVU ULIZA MAKABURRI YA LUVENTRI UKIYAONA UTAJUA KWANINI HYA HUKO HAYAJAI ...UNAZIKA TONY BAADA YA MIEZI KADHAA UNAKUTA SALAMA JUU YAKE ACHA KABISA
 
Sijajua ni kwanini inakuwa hivi. Huenda hata sisi wafiwa tunafanya makusudi. Tunakwepa gharama na muda labda. Sina majibu katika hili.
 
MKUUU UKIZIKA HAKIKISHA UNASAKAFIA NA ZEGE KABISA hURUMA HATUNA M NILIWAHI KUSIMAMIA KABURI MOJA PALE LUVENTRI NDUGU MWILI WA Mtu HUU GAFLA JAMAA WAKAOMBA KONYAGI WAKALETEEWA...NUSUSAAAWAKARUDI NDANI YA KABURI WAKACHIMBA PEMBEN AKAHIFADHIWA ALIEKUWEPO..BAADAE WAKALETA MZIGO WAKAWEKA KWA JUU YAKE YAANI MAREHEMU ANAZIKWA JUU YA MAREHEMUU
 
Habari ndugu,

Mara kadhaa nimekuwa nikipita jirani na makaburi haya maarufu jijijini. Nikitazama ninaona eneo ni finyu. Tangu nimelijua jiji, ni miaka karibu arobaini kasoro sasa. Kila kukicha ninasikia watu wakizikwa Kisutu. Je, eneo hilo huwa halijai?

Wale wajuvi na wandewa ninaomba majibu.

Shukrani
Siku ukifa ndio utajua yamejaa au laa kufa kwanza

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom