Chipolopolo
JF-Expert Member
- Feb 14, 2012
- 1,425
- 725
Naanza na Kabila hili. Lipo Nyanda za juu Kusini mwa Tanzania. Ni kabila kubwa lenye kusifika kwa wema pia ukarimu. Wanamsemo huu: Mwana gwa nino jope gwako. Linga ndume kwa nino jope gwako! Tafsiri isiyo rasmi: Mtoto wa mwenzio ni wako. Pia mume wa mwenzio ni wako vilevile. (Kweli upendo haujasebu ubaya hapo eti?).Jadili.