Makabila yetu:Na Maneno yao Matamu ya Kimahusiano....

Naanza na Kabila hili. Lipo Nyanda za juu Kusini mwa Tanzania. Ni kabila kubwa lenye kusifika kwa wema pia ukarimu. Wanamsemo huu: Mwana gwa nino jope gwako. Linga ndume kwa nino jope gwako! Tafsiri isiyo rasmi: Mtoto wa mwenzio ni wako. Pia mume wa mwenzio ni wako vilevile. (Kweli upendo haujasebu ubaya hapo eti?).Jadili.

Mh!! Mume wa mwenzio mumeo kwa mambo kama hayo ukimwi utaisha kweli?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom