Kuna mmoja nilisoma naye alikuwa anaitwa "Nimfanyeje"
Tatizo Sigala, Kibanda Maiti
Makabila mengine wanakuwa wanamajina ya ajabu sana eti mtu anamzaa mtoto wake anamuita, sikuzani, sikupenda, sikujua, mnayenu, fitina, sijali, na wew tupia yako unayoyafahamu
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
mimi ndio Shing'weng'we nimetoka kulimeza eneo la mlimani ctshing'weng'we,, k
Hawa wenye nyekundu huwa na tabu kweli, nimewahi kuwashuhudia akina tabu wengi wakiwa na tabu ndani ya ya jamii.tatuu, tabu ,shemtoe,tango,
haa namjua huyo jamaa tatizo sigala nimesoma naye mbeya mwakaleli kwa mademu huyoo puu puu hafai ni mbaya achaTatizo Sigala, Kibanda Maiti