Makabila ambayo bora uwe single

Kimya huja na kishindo kikuu, safari hii natuma zile picha zako za private ulizonitumiaga view once mm nikapiga picha na simu nyngn 😎
Mpaka nimekutumia picha umeniweka mjini sana, wewe mia huna labda utume za ex wako usingizie ni zangu🀣

Fufuka basi nimemis kuhangaishana na wagonga ulimbo wa humuπŸ€ΈπŸ½β€β™‚οΈ
 
Nyie ni uchoyo tu vingine watawasingizia! uchawi una wenyewe wametulia zao low key wanawazoom tu mnavyorushiana mabao😎
Kwenye uchawi tupo vzr ila mm niliwahi kuondoka kijijini japokuwa babu kila mara ananiambia nirudi kijijini anipe mikoba, sasa cjui hiyo mikoba ndani Kutakuwa na dhahabu au vp 😎
 
Kwenye uchawi tupo vzr ila mm niliwahi kuondoka kijijini japokuwa babu kila mara ananiambia nirudi kijijini anipe mikoba, sasa cjui hiyo mikoba ndani Kutakuwa na dhahabu au vp 😎
Dhahabu maviii, wachawi na umaskini ni bampa to bampa! Kama mko vizuri kwanini daily unatemwa na utumishi?
 
Mpaka nimekutumia picha umeniweka mjini sana, wewe mia huna labda utume za ex wako usingizie ni zangu🀣

Fufuka basi nimemis kuhangaishana na wagonga ulimbo wa humuπŸ€ΈπŸ½β€β™‚οΈ
Ww Tulia tuu, soon ntakushangaza πŸ˜‚
 
Ni kujikaza kiume tu mwanetu!
Hawa wakila kuku wanaugua , ni wachungu wanaongoza kwa vidonda vya tumbo kisa maharage kwa wingi , makandee , mboga za majani .
Fikiria mtu amejifungua anapikiwa ugali wamoto na mlendaa jamani wanasema eti mlenda unaongeza maziwa ya mtoto huonagi asilimia kubwa ni wamesinyaa ndio maana wengi wao ni wajanja maana hawana afya
 
Na Sisi wasukuma mbona hatuna ROHO mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…