Game Theory
Platinum Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 835
hili ni gazeti ambalo linasomwa na mamilioni ya watanzania lakini hebu tazama hii forum yao ina mambo gani?
http://www.majira.co.tz/mijadala/viewforum.php?f=1&sid=e51db365569538e32acb6b6688e6480c
Wamevamiwa yawezekana- na hii Xmass ndo watu wamepumzika! Hawako makini?
Mimi nashauri kwa moyo wa Uzalendo kama kuna mtu ana simu ya mkononi ya editor- awasiliane nao- huenda ni kujishahau!
Ni Watz- Wakenya wasije enda kule ikaletwa maneno au Tume ya Habari/Mawasiliano wakafungia hili gazeti- wote tunalifaidi kulisoma!
Naomba kuwakilisha!