MAJIRA sasa wanatangaza ngono live

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,545
833
hili ni gazeti ambalo linasomwa na mamilioni ya watanzania lakini hebu tazama hii forum yao ina mambo gani? Lakini tusiwalaumu sana inawezekana kuwa wenye gazeti la MAJIRA wameona kuwa wasomaji wao eidha wanapenda NGONO ndio maana wakaamua kuweka links za ajabu ajabu kwenye mtandao wao au ni kusudi tuuu

In short hawa jamaa wa jajira ni sawa na huyu jamaa hapo chini anayesubiri mtu ukue ili ajinyonge
01hanger_2.0.jpg




http://www.majira.co.tz/mijadala/viewforum.php?f=1&sid=e51db365569538e32acb6b6688e6480c
 
Kila kitu kinakwenda Hovyo kwetu!.Nilifikiri ni Viongozi tu,kuwa hawana maadili mazuri kwa Wanaowaongoza,na wote wamejikita katika kujilimbikizia mali,SASA hii mpya kumbe hata vyombo vya habari vinatangaza Ngono Hadharani?.Yarabi Toba tunajenga jamii ya namna gani?.
 
Mie nilienda chungulia huko, sehemu ya siasa tobaaaa!! Nikajua labda kuna mtu kawarushia chura hapo, kwanini wasingeweka chumbani?? bado siamini kama wameweka kusudi, itakuwa wamevamiwa!
 
Huko naona ni bora liende tu...sijui hao moderators wa huko hawaoni kama kuna kasoro kubwa sana kwa kuweka mambo bila kuwa na mpangilio maalum.
 
wamevamiwa au hawakuvamiwa hii inaonesha kitu kimoja:the guys are nvere serious na kuwa harak haraka yao ya kutaka kupambana au kuoutmarket JF ndo itakayowamaliza.JF (naamini hivyo)haifadhiliwi na mafisadi wala kuongozwa na pesa za damu bali inalindwa na kujengwa na kuongozwa na uchungu/uzalendo wa nchi yetu.Ndo maana hapa yeyote mwenye mchango constructive anakuja mwenyewe kwa nia ya KUJENGA.Kwa kutambua kuwa kuna watu wanahamu sana na hayo mambo ndo sababu JF iliweka forum maalumu kwa ajili ya mambo hayo,wao majira kwa kuongozwa na ufisadi wameoverlook mambo ya msingi kama hayo...and this only goes further to prove that JF is well organized na ni fimbo ya mafisadi,imefikia wapi ile forum ya daily news/habarileo?
 
Tatizo ni kuwa hawana security system ya kuzuia "spam post".I can never take any such forum seriously.
 
Mimi nashauri kwa moyo wa Uzalendo kama kuna mtu ana simu ya mkononi ya editor- awasiliane nao- huenda ni kujishahau!

Ni Watz- Wakenya wasije enda kule ikaletwa maneno au Tume ya Habari/Mawasiliano wakafungia hili gazeti- wote tunalifaidi kulisoma!

Naomba kuwakilisha!
 
Mimi nashauri kwa moyo wa Uzalendo kama kuna mtu ana simu ya mkononi ya editor- awasiliane nao- huenda ni kujishahau!

Ni Watz- Wakenya wasije enda kule ikaletwa maneno au Tume ya Habari/Mawasiliano wakafungia hili gazeti- wote tunalifaidi kulisoma!

Naomba kuwakilisha!

mawazo mazuri mzalendo, lakini tatizo letu waswahili siku zote tunafikiria kubomoa,hatufikirii kujenga.imani yangu inaniambia mkosa hukosolewa, hapigwi vijembe pembeni. kupigana vijembe ni kuleta uadui katika jamii ambayo inahitaji umoja katika muda huu ambao giza la dhulma limetanda katika anga la tanzania.kama kuna mtu mwenye namba ya huyo editor tunaomba atuwekee hapa.kwa nguvu za mola tutajitahidi kumfahamisha. mungu atupe umoja inshalaah. amiin
 
si ndio maana Jambo Forums itabakia kuwa juu???kama hata ma mod.wao wanashindwa kucontrol vitu kama hivyoo hawatafika mbali!
ama kweli JF yaongoza wengine wanajikongoja
 
Jamani hiyo nyuzi ya mwaka 2007, miaka 4 nyuma na siku hizo hata jina la jukwaa lilikuwa ni Jambo Forums.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom