Majina ya Magari ya TOYOTA Na maana yake

Sikuja na maana ya kwangu bali nimekuambia niliyotoa Toyota City mwaka 1994. Kama yako ni ya baada ya mwaka 1994, basi uko sahihi ila kama ni tafsiri ya historia nzima ya majina ya Toyota, basi fanya review tena. Hata kubadilisha jina kutoka Toyoda kuwa Toyota ilikuwa ni kwa sababu ya soko tu
Asante mkuu ngoja nijaribu kujilizisha kwa hili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom