Gari ipi ya Toyota yenye body design kali kushinda FJ CRUISER?

Gari ni kama mwanamke tu. Kila mtu ana muono wake wa tofauti.

Wapo wanaopenda vitu vimebinuka na wapo wanaopenda kitu kimeingia ndani ka cha muhindi.

Wapo wanaopenda walioenda hewani na wapo wanaopenda zinazotembelea tumbo.

Design inahusisha mambo mengi. Kuanzia body type, urembo wa ndani, nk.

Kama ambavyo wapo wanaopenda maungio ya mbao kwa ndani, wapo wasiopenda makorokocho.

Kila mtu atabaki na mtazamo wake.
Binafsi sivutiwi na muonekano wake hata kidogo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom