Majina ya kike ya Kisukuma

Majina ya kike ya Kisukuma

Nyanso, Kapemba, Kalunde, Misayo, Kutogwa, Chellu, Mwilwa, Mkola, Mazila na Mwasi.

Ehh, akina Fundikira wanatunza sana majina ya Kilugha. Safi sana

Humu ndani tuna Kichuguu (Kibubunswa) Samahani nilifikiri majina yote...............
Haya ni ya kinyamwezi kama jina lako lilivyo utakuwa unatoka Tabora
 
Kwihaya
Nyabusu
Mbula
Nyamiji
Mabisi
Balatogwa
Nyungi
Bankolwa
Ng'wiza
Bingile
Mpelwa
Bugumba
Mageni
Nyamalwa
Mija
Nkwimba
Matama
Mbalu
Bunani
Solanyhiwa
Asee hilo jina la 3 "mbula"kwetu ni tusi kubwa sana!
 
Ngolo,Ng'washi,Mbalu,Luli,Bhozu,Saana, Luja....

Hivi Kulwa na Doto asili yake si usukumani ama?
 
Ngolo,Ng'washi,Mbalu,Luli,Bhozu,Saana, Luja....

Hivi Kulwa na Doto asili yake si usukumani ama?
Inawezekana,maana mtoto anaezaliwa baada ya kulwa na Dotto anaitwa Shija,anaemfuata Shija anaitwa Mhoja
 
Back
Top Bottom