Mtaachana
JF-Expert Member
- Mar 27, 2025
- 1,959
- 6,613
Mara mwana kisemena vyombo jamani, mwana sahani🫨
Mara mwana kisemena vyombo jamani, mwana sahani🫨
Hili ni jina?Mke wangu umenitenga
sijawahi kusikia, najua mwana sabuniMara mwana kiseme
sijakutenga ba mtuMke wangu umenitenga
Doh!
Shumileta...Doh!
NyamayaoChief Hangaya
❤️ ❤️sijakutenga ba mtu
Nilisoma na dogo wa kisukuma anaitwa anasi sahani.
Changamoto kwel sijui huwa tunaweka kumbukumbu kuwapatia watoto majina ya msos na vyombona vyombo jamani, mwana sahani🫨
Ndenimbora Eshiwakwe LemaElingisongoya apaisaria lyimo😅😅
Ntombi ni mshenyentajNtombi ina maana gani? Nimewahi kufanya kazi na mtu anayeitwa Ntobi na kusoma na mwingine anayeitwa Ntambi.
En em KushitesTumechanganyika sana bwashee mpaka wa nailot wapo😀
sitokaa nikajaribu huo ujinga kwa wanangu! ili iweje kwanza?🤔Changamoto kwel sijui huwa tunaweka kumbukumbu kuwapatia watoto majina ya msos na vyombo
Kumbu kumbu hyositokaa nikajaribu huo ujinga kwa wanangu! ili iweje kwanza?🤔
never!!🙄Kumbu kumbu hyo
Kama mim ndo mmeo wanangu wote nawaita majina ya vyombonever!!🙄
aisee tutagombana, uanze kumuita mwanangu shikombe,fugo.. duhu babaKama mim ndo mmeo wanangu wote nawaita majina ya vyombo