Majina ya kibantu yanayofurahisha

Majina ya kibantu yanayofurahisha

Mwanasabuni!
Sumbu
wiza
shimbe
masala
mayala

cc: Binti wa zamani Baba mtakatifu91 Beira Boy OgaBoy de Gunner Mme Mwenza Mobutu JR leo dada et al...
hahahaha mtoa mada kapata mtoto jinsia gani tumpe jina konk.

ngoja nikushushie list ya majina ya kisukuma.
  • Lugodisha
  • katwiga
  • masemwa
  • madonya
  • chelehan
  • mlalahasi
  • bujiku
  • tinkamanyile
  • kubanamnelo
  • nyanzara
  • mwana bhugali
  • mwana nyembe
  • choro
  • shinje
  • mwana sungwi
  • ntombi
  • matiguja
  • malale
  • manyakenda
  • sekelwa
Achague jina takatifu atalompa mwanae
leo dada tuongezee list
 
hahahaha mtoa mada kapata mtoto jinsia gani tumpe jina konk.

ngoja nikushushie list ya majina ya kisukuma.
  • Lugodisha
  • katwiga
  • masemwa
  • madonya
  • chelehan
  • mlalahasi
  • bujiku
  • tinkamanyile
  • kubanamnelo
  • nyanzara
  • mwana bhugali
  • mwana nyembe
  • choro
  • shinje
  • mwana sungwi
  • ntombi
  • matiguja
  • malale
  • manyakenda
  • sekelwa
Achague jina takatifu atalompa mwanae
leo dada tuongezee list
hahahaaa umetisha hapo najua ma3 tu, kwa bibi yangu miaka hiyo walikuwa wanafata maji ya kunywa kwa nyembe 🤣
 
Tusiyaogope majina yetu ya asili na wala tusiyaone eti yanachekesha.Nnavyojua mimi, jina ni utambulisho wa mtu au kitu. Wewe kama wewe unajitambuaje..!? Vipi wewe kama muafrika unajitambua kwa jina jina la kizungu au kiarabu, hapo utakuwa umejitambua kweli au utakuwa hujitambui...!? TAFAKARI
 
Back
Top Bottom