Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 29,778
- 86,476
Haitotokea!hahahaha tena mtoto tunampa jina la SHIDA au TABU

Haitotokea!hahahaha tena mtoto tunampa jina la SHIDA au TABU

Tangiapo we unafkiri itamaanisha nini?Bora hata hio sahani, hilo jina la mwanzo sasa la anasi. Mtu ukisikia kwa mara ya kwanza unaweza jua ni Mq****du.
😁Tangiapo we unafkiri itamaanisha nini?
hahahaha we subiri utaonaHaitotokea!![]()
SiwemaSiwatu
Nasemaje! wanangu hawapewi majina ya vyombo! kiseme?hahahaha we subiri utaona
na mwanaume mtoto wa kwanza ndo hutoa jina, tena wakwanza tutamwita MALI Si PESA, wapili MAISHA, wa tatu FUNGAMEZANasemaje! wanangu hawapewi majina ya vyombo! kiseme?
HAPANA! hii haikubaliki! ndiomaana sitakagii waume wasukuma kila ktu wao, manipulators!na mwanaume mtoto wa kwanza ndo hutoa jina, tena wakwanza tutamwita MALI Si PESA, wapili MAISHA, wa tatu FUNGAMEZA
hata pwani majina ni mazito tu.Kanda ya ziwa na nyanda za juu kusini kuna majina mazito.
Jina la dingi yangu kabisa mangiPendaeli
UONGOZI mama.HAPANA! hii haikubaliki! ndiomaana sitakagii waume wasukuma kila ktu wao, manipulators!
hehehee hosptal ipi sasa mwananyamala au mhimbili ama bugandoHospital
Huyo Padri keshomshahara nikiliona nakumbuka zamani sana mshahara unatoka tar 40 sasa nikiliona huwa nastuka..Yapo mengi, mimi naanza na hili, wewe ongezea:
1. Keshomshahara