Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 29,771
- 86,454
ntambi sio kitambi kweli, kuna mwingine anaitwa nkwabiNtombi ina maana gani? Nimewahi kufanya kazi na mtu anayeitwa Ntobi na kusoma na mwingine anayeitwa Ntambi.
ntambi sio kitambi kweli, kuna mwingine anaitwa nkwabiNtombi ina maana gani? Nimewahi kufanya kazi na mtu anayeitwa Ntobi na kusoma na mwingine anayeitwa Ntambi.
mang'ombe uko wa bibi yanguAkina masalu, sundi, minza, Sangija, zawa, malimi, lemi, mgema, mang'ombe matonange, maderagawiza
ipo hotel mwanza inaitwa hivyo 🫢Me nilisoma na dogo anaitwa kumalija
MATAKO
Hili ni la kabila ipi?MATAKO
Niliyesoma naye alikuwa anaitwa Ntambi. Yeye alikuwa anasema Ntambi = Anayetamba!ntambi sio kitambi kweli, kuna mwingine anaitwa nkwabi
ShenyeMwanasabuni!
Sumbu
wiza
shimbe
masala
mayala
cc: Binti wa zamani Baba mtakatifu91 Beira Boy OgaBoy de Gunner Mme Mwenza Mobutu JR leo dada et al...
Hivi shija ni la unyamwezi?Mwanasabuni!
Sumbu
wiza
shimbe
masala
mayala
cc: Binti wa zamani Baba mtakatifu91 Beira Boy OgaBoy de Gunner Mme Mwenza Mobutu JR leo dada et al...
Ila watanzania bana,sasa haya ni majina kweli ama ni Kiswahili tupu tu 😂1.Akilimali
2.Pondamali
3.Kufakunoga
4.pesambili
5.Mali ya Tabu
Njoo uoneMwanasabuni!
Sumbu
wiza
shimbe
masala
mayala
cc: Binti wa zamani Baba mtakatifu91 Beira Boy OgaBoy de Gunner Mme Mwenza Mobutu JR leo dada et al...
Eeeh hafu kweli🫢Niliyesoma naye alikuwa anaitwa Ntambi. Yeye alikuwa anasema Ntambi = Anayetamba!
Bugomola nna ndugu geita anaitwa hivyo! ila madako jamani umetuonamo! 🙄Shenye
Kisinza
Masanja
Matogisho
Masangu Manonu
Mlya ndingu
Mwanagasala
Masunga mabele
Samike
Magulu mangu
Isaka lya nzonelwa
Nkinda
Madadila
Nzoka yi henge
Masala kulangwa
Masalu
Makoye
Mabula
Mbula
Minza
Mbuke
Sayi
Nyabuho
Nkugi
Lubimbi
Butula Songo
Nzila
Maka
Matondo
Madako
Mwandu
Madelelya
Mashaka
Bugomola
Mageme
Hangaya
usukumaniHivi shija ni la unyamwezi?
Nimeona babaNjoo uone
Mke wangu umenitengaNimeona baba