Lipo sanaHalafu limenijia tu kichwani, sikujua kama lipo kweli.
F
MapesaPesa
Tumekukosea nini?2. Mapunda
3. Mbawala.
4. Ndege
5. Ngonyani
6. Masimba
Nataka kuoa huko.Tumekukosea nini?
Karibu shemejiNataka kuoa huko.
OkKaribu shemeji
Jina limekaa kinafki sana hilo.Chief Hangaya
Tayari.Ushakuwa booked?
Ok
Hili la kichaga .Pendaeli
Kule uchagani utasikia; "Elimosaria Aikaeli Mushi."Nkundaeli la nyumbani hilo
Elingisongoya apaisaria lyimo😅😅Kule uchagani utasikia; "Elimosaria Aikaeli Mushi."
Tumechanganyika sana bwashee mpaka wa nailot wapo😀Hili la kichaga .
Hivi uchaga unaingia kwenye ubantu labda?