Majina ya kibantu yanayofurahisha

Majina ya kibantu yanayofurahisha

aisee tutagombana, uanze kumuita mwanangu shikombe,fugo.. duhu baba
hahahaha sasa ukute ukiwa mjauzito usiku uniagze nikufatie sungwi au maembe ak mtoto namwita Sungwi.
kama ukumbusho ulivo nitembeza usiku
 
Ila wasukuma huwa mnaniacha hoi hapo tu! ndio yale ya kukaa bugando week 3 kwa kukosa malipo unamuita mtoto bugando, mtoto sungwi?? ntakunyonga!
hahahaha tena mtoto tunampa jina la SHIDA au TABU
 
Back
Top Bottom