majina ya ajabu ya nyumba za wagen

majina ya ajabu ya nyumba za wagen

nawashwa lodge- Magu
tupendane Guest House- Sengerema
sina wivu motel-Misungwi
kichwa Kambale-Ukerewe.

Kongosho.u make me laugh. meipenda hyo nawashwa lodge. hv watu hukosa majina ya kuita hzo nyumba za wagen ama?
 
Last edited by a moderator:
Ukielekea chanika kuna sehemu kuna reli nadhani wanapaita kigogo fresh kabla ya kuvuka reli kuna gesti inaitwa KIKUBWA ROHO GUEST HOUSE na ni miongoni mwa majengo ambayo yaliharibiwa na mabomu ya gongo la mboto

yan hapo anamaanisha,tumia tu pesa zako kikubwa roho. hahaa
 
Daaah! Charmingirl nlitaka nitaje hyo rest in peace.. Ila poa ngoja nimtaje jirani yake..

MAPOZI guest house Kahama!

Inaelekea Charming gal upo Kahama, hebu ni' Prime Minister (PM) tulonge vizuri!

mbumbumbu, cpo kahama ila nliwah kupta huko miaka ya nyuma kdg!
 
Last edited by a moderator:
Lapaloma Guest Jirani na Meeda Sinza.
Sisimko Guest ipo Kijitonyama jirani na Soko la Makumbusho.
Mamnana Guest ipo Mabibo Makutano.
Nyavyamo Inn ipo Kariakoo
Udulele Guest Corner ya Mabibo na Urafiki
 
Lapaloma Guest Jirani na Meeda Sinza.
Sisimko Guest ipo Kijitonyama jirani na Soko la Makumbusho.
Mamnana Guest ipo Mabibo Makutano.
Nyavyamo Inn ipo Kariakoo
Udulele Guest Corner ya Mabibo na Urafiki

so funny, udulele
 
Back
Top Bottom