majina ya ajabu ya nyumba za wagen

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,253
12,869
Rest in peace guest house - kahama
Tulale lodge - Mwanza
Sleep in hotel - Mwanza
hebu ongeza unayoyajua!
 
Tupendane - Kigoma
Mbeho (baridi) - Geita
Makongoro - Geita
Moleka - Shinyanga
 
j.jpg
Nilikutana na hii
 
nawashwa lodge- Magu
tupendane Guest House- Sengerema
sina wivu motel-Misungwi
kichwa Kambale-Ukerewe.
 
Ukielekea chanika kuna sehemu kuna reli nadhani wanapaita kigogo fresh kabla ya kuvuka reli kuna gesti inaitwa KIKUBWA ROHO GUEST HOUSE na ni miongoni mwa majengo ambayo yaliharibiwa na mabomu ya gongo la mboto
 
Rest in peace guest house - kahama
Tulale lodge - Mwanza
Sleep in hotel - Mwanza
hebu ongeza unayoyajua!

Daaah! Charmingirl nlitaka nitaje hyo rest in peace.. Ila poa ngoja nimtaje jirani yake..

MAPOZI guest house Kahama!

Inaelekea Charming gal upo Kahama, hebu ni' Prime Minister (PM) tulonge vizuri!
 
Back
Top Bottom