Majina sahihi ya mtumishi katika benki ni yapi?

onlytruth

Senior Member
Dec 9, 2016
136
133
Wadau nisaidieni.watumishi wa serikali tunaambiwa majina yetu ya ajira lazima yafanane sawa na ya benki katika kupokea mshahara.sasa kama majina ya ajira ni john momi Loti,lakini kwa taratibu za benki walikuwa wanataka uanze na jina la ubini,hivyo ni Loti, john momi.he kuna haja ya kubadili benki ili kuanza na john?
 
Muone afisa utumishi wako,ndo wanamaelekezo ya uhakika,wamewasaidia wengi wenye shida kama yako
 
Back
Top Bottom