Majina Maarufu ktk Makabila.

Mh sikuiona hii,mbona uliniambia asili yenu ni Tarime..
Na jina lako la utoto lilikuwa Bhoke,mlivyohamia Tanga ndio ukabadilisha
ukajiita Batuli....na ndio kisa cha kujiita Madame B hapa JF....

Hv bado hujafunga ndoa na St. Paka Mweupe wako?
Sie Wa TA ni mchanganyiko wa Waarabu na Wazungu wa Kihabeshi.
Hlo Batuli la mkeo la Utotoni.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

sweetlady ushoga na ushosti utaisha hapahapa.
Nani amtake daddy ako!
Yeye ndo kajidai kunigharamia safari ya Tanga.
Mie nilimuomba?
Hili jeshi la mtu mmoja.
Mchezeeni huyohuyo Zinduna anaeweka usiku kumfuata shoga ake.
Mie nitawapopoeni na mawe mpaka mpoteze mwelekeo wewe,mabinamu zako na mama yako.
 
Last edited by a moderator:
Ahh wapi,
na tuone nani atamnyatia mwenzie usiku.
Ndo mana nataka nije na Majinzi special kwa ma-Mende kama nyie

nyuki na ukali wake wote bado wana familia
nungunungu na mamiba yote yale lakini nya anaiachia....sembuse Madame B
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…