kinondonisengerema
manyoni singida
singida mjini
jamani CCM wanaongoza majimbo gani, let us be realistic posts zoote favours chadema!
...Bagamoyo sishangai. Watu wa uko hawajui tafsir ya maendeleo...
waviziaji tu ndiyo wanashangiria kesho, hapa haibiwi mtu kura wewe, maji ya shingo hamna uhakika na leo mwaingoja kesho kalagabahotatizo humu wengi washabiki wa chadema, sasa ngoja kesho mtakavyokuwa mnalia huku wana ccm tukisherehekea kimya kimya. Sie huwa hatupigi kelele ka nyie
Oh pooooleeeeeeeeniiiiiiiii!!!!!!!!