Elections 2010 Majimbo ambayo CCM inaongoza

tatizo humu wengi washabiki wa chadema, sasa ngoja kesho mtakavyokuwa mnalia huku wana ccm tukisherehekea kimya kimya. Sie huwa hatupigi kelele ka nyie

oh pooooleeeeeeeeniiiiiiiii!!!!!!!!
fisadi wee kijani. Utarudi kutoka huko australia.mmezoea kuiba
 
Kwa Mbeya CCM wanaongoza Kyela, majimbo yote ya mawili ya Rungwe na Ileje pia.

Chadema wanaongoza jimbo la Mbeya Mjini.

Sina habari juu ya majimbo mengine.
 
We have to be very keen manake CCM ni wezi wa kimataifa, kesho utashangaa matokeo wanayoyajua wao.

hongera nyingi chadema kwa matokeo mazuri!ila tabia ya kupenda kufikiria mtaibiwa sio nzuri ni kutokujiamini!hamjaibiwa mnalia je mkiibiwa......by the way majimbo yote 07 mtwara yameenda c.c.m confirmed!
 
Kuna makosa mbalimabli ya kiufundi na uzowefu ndio hayo CCM itayatuia kushinda!
 
Back
Top Bottom