Elections 2010 Majimbo ambayo CCM inaongoza

nI KWELI, INABIDI TUJUE HAWA JAMAA NI WAPI WANA NGUVU?
kWA UFUPI TUNATAKA MATOKEO YOTE; YAWE YANA TU FAVOUR AU YAWE AGAINST US. WE NEED TO KNOW
 
Wameshinda jimbo la Solwa - Shinyanga, Bariadi - Chenge, nimepata uthibitisho
 
Kuwa na amani, wanahabari wataleta majimbo ambayo upinzani unaongoza kwanza... then ndio majimbo ya CCM ndio yatakuja baadaye.
 
Bagamoyo sishangai. Watu wa uko hawajui tafsir ya maendeleo.
Wabunge 16 wa ccm wamepita bila kipingwa akiwemo Mwando, Mkon, Lukuv, J.Makamb. Etc
Mumenipa?
 
Bagamoyo sishangai. Watu wa uko hawajui tafsir ya maendeleo.
Wabunge 16 wa ccm wamepita bila kipingwa akiwemo Mwando, Mkon, Lukuv, J.Makamb (huyu babake alimtengenezea njia). Etc
Mumenipa?
 
watakuwa wameongoza sehemu chache sana....watanzania leo walikuwa kiuaji zaidi
 
Nilitegemea wataongoza ukanda wa pwani ila inaelekea CUF wako gado hapo ndipo issue ilipo!
 
...Bagamoyo sishangai. Watu wa uko hawajui tafsir ya maendeleo...

Ni kweli hawaijui nguvu ya UTU wa Mtu, inapojikusanya na kuamua kufanya Kweli...PEOPLES POWER!!!... Haizuiliki..haishikiki!!

Ajitoleee mtu akatoe shule huko!!
 
tatizo humu wengi washabiki wa chadema, sasa ngoja kesho mtakavyokuwa mnalia huku wana ccm tukisherehekea kimya kimya. Sie huwa hatupigi kelele ka nyie

Oh pooooleeeeeeeeniiiiiiiii!!!!!!!!
 
tatizo humu wengi washabiki wa chadema, sasa ngoja kesho mtakavyokuwa mnalia huku wana ccm tukisherehekea kimya kimya. Sie huwa hatupigi kelele ka nyie

Oh pooooleeeeeeeeniiiiiiiii!!!!!!!!
waviziaji tu ndiyo wanashangiria kesho, hapa haibiwi mtu kura wewe, maji ya shingo hamna uhakika na leo mwaingoja kesho kalagabaho
 
We have to be very keen manake CCM ni wezi wa kimataifa, kesho utashangaa matokeo wanayoyajua wao.
 
Mungu ninaemwamini hata tuacha watanzania kutawaliwa na watu wabovu, watachakachua mwisho watakuta zilizoharibika ni za kwao, Eeh Mungu usituache sisi wanao tumeteseka sana miaka yote , umeturudi kwa maovu yetu sasa tunahitaji uponyaji wako...........
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom