Taarifa kwa umma: Ajali ya injini ya treni eneo la Manyoni Singida

Tanzania Railways Corp

JF-Expert Member
Mar 23, 2018
251
595
Taarifa kwa umma: Ajali ya injini ya treni eneo la Manyoni Singida

Press%20Ajali%20Manyoni%20Nov%2029%2C%202023_120820.jpg

Kuhusu ajali, zaidi soma News Alert: - Bus la Ally's lagonga Kichwa cha Treni Manyoni Singida, Watu 13 wafariki Dunia, 25 wajeruhiwa
 
"Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa."
Hosea 4:6

Hivi ni kwa nini nyinyi TRC msishirikiane na Mamlaka za Barabara hapa nchini Tz. yaani TANROADS na TARURA ili kuweka Mageti kwenye makutano yote ya reli na barabara, mageti yenye sensor ya kujifunga na kufunguka yenyewe (Automatic Gates) ili kuzuia hizo ajali za barabarani kwenye maeneo hayo ambazo zinatokea mara kwa mara???????
Hivi Wahandisi wote waliopo ndani ya TRC, TANROADS na TARURA mmeshindwa kabisa kubuni Jambo hili????
Wekeni mageti ya namna hii kwenye makutano yote ya reli na barabara ili kukomesha ajali za namna hii, wekeni mageti haya umbali wa kama Mita hamsini kila upande wa barabara ya reli kwenye makutano, tatizo hili la ajali litakuwa historia. Tumieni umeme-jua (Solar Power) au umeme wa kawaida ktk kuendesha mageti hayo. Tumewachoka kabisa na taarifa zenu za ajali za mara kwa mara.
 
Usiwalaumu TRC,ujinga na ipumbafu wa madereva ndio unagalimu maisha ya watu wengi wasio na hatia,

Hapo ilipo PATA ajari Leo Allis ,iliwahi kupata ajari Bunda basi mwaka 14-02-2014,eneo Hilo lipo wazi sana.
 
Attachments

  • images-6.jpeg
    images-6.jpeg
    61.4 KB · Views: 1
  • bunda1.jpg
    bunda1.jpg
    62.5 KB · Views: 2
Usiwalaumu TRC,ujinga na ipumbafu wa madereva ndio unagalimu maisha ya watu wengi wasio na hatia,

Hapo ilipo PATA ajari Leo Allis ,iliwahi kupata ajari Bunda basi mwaka 14-02-2014,eneo Hilo lipo wazi sana.
Endapo kama wangefanya kama nilivyoshauri kwenye comment yangu #3 hapo juu, kamwe ajali hii isingetokea, ingeepukika/ingezuilika, wala isingeweza kutokea. Kumbuka "kinga ni bora kuliko tiba."
 
Manusura wanadai treni ndiyo ina makosa kwasababu hakupiga honi wala kuwasha taa
Hata mimi nimehisi dereva wa treni inawezekana alipita eneo hilo pasipo kupiga honi, kuwasha taa, na pia kupita kwa mwendo wa kawaida.

Halafu TRC, fanyeni mshirikiane na Tanroads kuweka matuta kwenye hilo eneo. Maana limekaa kihasara hasara sana. Ni rahisi kwa dereva asiye makini kupita pasipo kuchukua tahadhari.
 
"Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa."
Hosea 4:6

Hivi ni kwa nini nyinyi TRC msishirikiane na Mamlaka za Barabara hapa nchini Tz. yaani TANROADS na TARURA ili kuweka Mageti kwenye makutano yote ya reli na barabara, mageti yenye sensor ya kujifunga na kufunguka yenyewe (Automatic Gates) ili kuzuia hizo ajali za barabarani kwenye maeneo hayo ambazo zinatokea mara kwa mara???????
Hivi Wahandisi wote waliopo ndani ya TRC, TANROADS na TARURA mmeshindwa kabisa kubuni Jambo hili????
Wekeni mageti ya namna hii kwenye makutani yote ya reli na barabara ili kukomesha ajali za namna hii, wekeni mageti haya umbali wa kama Mita hamsini kila upande wa barabara ya reli kwenye makutano, tatizo hili la ajali litakuwa historia. Tumieni umeme-jua (Solar Power) au umeme wa kawaida ktk kuendesha mageti hayo. Tumewachoka kabisa na taarifa zenu za ajali za mara kwa mara.
Mkuu umesahau Wataalamu wetu hufanya kazi kwa maagizo ya Wanasiasa?

Kuna Proposals nyingi sana zimepelekwa Serikalini na wanataaluma lakini hazitekelezwi kwa sababu Wanasiasa ni aidha haziwanufaishi, ama haziwafurahishi..

Anyway, Pole kwa wahanga wote wa ajali..
 
"Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa."
Hosea 4:6

Hivi ni kwa nini nyinyi TRC msishirikiane na Mamlaka za Barabara hapa nchini Tz. yaani TANROADS na TARURA ili kuweka Mageti kwenye makutano yote ya reli na barabara, mageti yenye sensor ya kujifunga na kufunguka yenyewe (Automatic Gates) ili kuzuia hizo ajali za barabarani kwenye maeneo hayo ambazo zinatokea mara kwa mara???????
Hivi Wahandisi wote waliopo ndani ya TRC, TANROADS na TARURA mmeshindwa kabisa kubuni Jambo hili????
Wekeni mageti ya namna hii kwenye makutano yote ya reli na barabara ili kukomesha ajali za namna hii, wekeni mageti haya umbali wa kama Mita hamsini kila upande wa barabara ya reli kwenye makutano, tatizo hili la ajali litakuwa historia. Tumieni umeme-jua (Solar Power) au umeme wa kawaida ktk kuendesha mageti hayo. Tumewachoka kabisa na taarifa zenu za ajali za mara kwa mara.
Kama hiyo tech ni ghali, waweke hata madarsja
 
Usiwalaumu TRC,ujinga na ipumbafu wa madereva ndio unagalimu maisha ya watu wengi wasio na hatia,

Hapo ilipo PATA ajari Leo Allis ,iliwahi kupata ajari Bunda basi mwaka 14-02-2014,eneo Hilo lipo wazi sana.
Wala usimlaumu jamaa kutoa hilo wazo.

Kama ilitokea hiyo ajali hapo hapo, TRC ilichukua hatua gani kuhakikisha ajali haitokei tena? Au just kwa kutoa press release na kulaumu/kukumbusha madereva basi inatosha?
 
"Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa."
Hosea 4:6

Hivi ni kwa nini nyinyi TRC msishirikiane na Mamlaka za Barabara hapa nchini Tz. yaani TANROADS na TARURA ili kuweka Mageti kwenye makutano yote ya reli na barabara, mageti yenye sensor ya kujifunga na kufunguka yenyewe (Automatic Gates) ili kuzuia hizo ajali za barabarani kwenye maeneo hayo ambazo zinatokea mara kwa mara???????
Hivi Wahandisi wote waliopo ndani ya TRC, TANROADS na TARURA mmeshindwa kabisa kubuni Jambo hili????
Wekeni mageti ya namna hii kwenye makutano yote ya reli na barabara ili kukomesha ajali za namna hii, wekeni mageti haya umbali wa kama Mita hamsini kila upande wa barabara ya reli kwenye makutano, tatizo hili la ajali litakuwa historia. Tumieni umeme-jua (Solar Power) au umeme wa kawaida ktk kuendesha mageti hayo. Tumewachoka kabisa na taarifa zenu za ajali za mara kwa mara.
Wazo zuri sana
 
Umetoa ushauri mzuri.. mie niongezee tu

Kwenye vivuko vyote vya Reli. Waweke Matuta yale makubwa (Mwanaukome) na Rasta za kutosha.. hapo watakuwa wamemaliza ujinga ujinga.

Kingine Behewa na Kichwa chake kwa pembeni ziwekwe LED lights nyekundu or za njano ziwe zinablink usiku wakati wa safari.
 
"Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa."
Hosea 4:6

Hivi ni kwa nini nyinyi TRC msishirikiane na Mamlaka za Barabara hapa nchini Tz. yaani TANROADS na TARURA ili kuweka Mageti kwenye makutano yote ya reli na barabara, mageti yenye sensor ya kujifunga na kufunguka yenyewe (Automatic Gates) ili kuzuia hizo ajali za barabarani kwenye maeneo hayo ambazo zinatokea mara kwa mara???????
Hivi Wahandisi wote waliopo ndani ya TRC, TANROADS na TARURA mmeshindwa kabisa kubuni Jambo hili????
Wekeni mageti ya namna hii kwenye makutano yote ya reli na barabara ili kukomesha ajali za namna hii, wekeni mageti haya umbali wa kama Mita hamsini kila upande wa barabara ya reli kwenye makutano, tatizo hili la ajali litakuwa historia. Tumieni umeme-jua (Solar Power) au umeme wa kawaida ktk kuendesha mageti hayo. Tumewachoka kabisa na taarifa zenu za ajali za mara kwa mara.
Budget ya anasa hizo hakuna zipo budget za padiemu boss..
 
Back
Top Bottom