Majibu ya Tume uchunguzi wa moto soko la Kariakoo

MakinikiA

JF-Expert Member
Jun 7, 2017
5,011
6,542
Salama Watanzania wazalendo, hapa nahitaji tujiulize matukio ya moto kwenye masoko ni ya kujirudiarudia kuna maswali je, ni njia ya watu kupiga pesa kwenye ujenzi.

Tume iliyoundwa kuchunguza chanzo cha moto imebaki na majibu kimya kwenye makabati hawaoni umuhimu kutoa majibu hayo, inaundwa walitangaza majibu kimya.

Kama chanzo ikithibika ni bora watu wafidiwe. Kuna watu wanadaiwa bank na hawana maelezo ya kutoa, hizo billion 30 wafidiwe kwanza waathirika wa tukio kabla ya kujenga hayo majengo ya soko.

Duniani ramani za masoko siyo ghorofa, mjiulize Mlimani City kuna ghorofa pale? Hiyo ndio sababu kwa nini machinga wanakuambia hakuna biashara pale machinga complex.
 
Back
Top Bottom