Steven Robert Masatu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2009
- 2,458
- 1,826
Umesema kuwa hujihusishi na uendeshaji wa biashara ya kampuni kama mtendaji wa kila siku.
Kwamba kampuni ya Emergent Africa Ltd ina watumishi wake sehemu mbalimbali.
Anayetakiwa kukanusha hayo madai ni wewe mwenye hisa 40% au ni kampuni ya Emergent Africa Ltd?
Could this be another one man company or a family company?
Could this company be a sham or mere a façade concealing the truth facts?
Would you mind us piercing the corporate veil to know what is going behind?
Kabla hujawa mbunge three years ago ulikuwa na nini na sasa una nini? Kwanini unatoa maelezo ya miaka hiyo badala ya ku-stick on point?
Jiangalie kama vipi kafungue kesi ya kusafisha jina lako kwani kuna ushaidi mkubwa dhidi yako.
Mwisho jipime!!
moto2012 Kigwa hawez kujibu hayo maswali.. Ataishia kusema kuwa wewe ni Bashe kwa hiyo unataka kumchafua. Huwa anatememea kutetea uovu wake kwa kudai kuwa mahasimu wake wa kisiasa wanamjengea tuhuma kutokana na wivu..
Aise mchango wako umenivutia zaidi.
A lie has speed,but truth has endurance
HKigwangalla
JF imeharibiwa na watu wenye roho za husda; nadhani wameshtushwa sana na jitihada zako unazozifanya badala ya kuomba ushauri nao wafanye kitu gani wamegeuka ni watu waliokata tamaa ya maisha hasira zao wanataka kuzimaliza kwako; nakupa pole sana kwa hilo endelea na jitihada zako mradi ukifanikiwa hautawasaidia wana CCM peke yao naamini lengo ni kuwasaidia watanzania wote hususani kina mama na watoto
Chama
Gongo la mboto DSM
..huyu kijana muhuni....anataka kudanganya watu..anafikiri wote mazuzu humu....Ukitazama majibu yake anaandika utafikiri hajasoma chuo...daktari mzima aibu tu....Majibu yake anadanganya..maana anajua hata lengo la kutaka kuanzisha chuo ni la kibinafsi...yaani anatumia njia ya kudanganya anaanzisha chuo ili apate hizo tax weivers.....at the end of the day anajipatia materials kwa ajili ya biashara zake.....otherwise kuna sababu gani kwa yeye kudanganya umiliki wa hisa kwenye kampuni yake na mkewe???.....hakuna kinachoweza kuelezea hilo zaidi ya usanii.....kama kawaida yao....huwa wanaanza hivi hivi hawa.....mwishowe wanakua mafisadi wakubwa.....kwa kupitia ccm yao.....Hamisi Kigwangallah ni Mbunge, Kitendo chakuja jamvini kudanganya watu kwa sababu ya stori iliyoandikwa na gazeti la Tanzania daima, na kumbeza Mwandishi wa stori hiyo kuwa amedanganya. Sijui Mwandishi huyo kama ataendelea au ataacha, ila kwa sababu ya uongo uliozushwa na Kigwangalla anayejiita Mwadilifu. Huyu kijana ni Mwizi, anadharau watanzania kwa kuwaona ni wajinga, wasio na akili. Kwa maneno yake mwenyewe kwenye tamko lake amesema anamiliki 40%, na 11% ni za mke wake. Aje jamvini kama alivyofanya jana aseme amedanganya TIC au amedanganya jamvini, na kwa manufaa gani anahadaa watu jamvini.......... sio mwadilifu, ananitishia maisha sasa. angalieni mnaomwona Kigwangalla kuwa wa maana kumbe ni wale wale tu, anamtukana mwandishi wa Tanzania daima, kale kajamaa ka Tanzania daima kako makini Kigwangalla omba radhi jamvini, jiuzulu utumishi wa umma, umejivunjia heshima
chama amejawa na mahaba na CCM.Mkuu CHAMA na wewe unaunga mkono upuuzi huu.Ifike mahali tuweke pembeni itikadi zetu za kisiasa kwa ajili ya kuliokoa Taifa letu.Mbali na tuhuma anazo tuhumiwa nazo ziwe za kweli zisiwe za kweli.Ukiyasoma maelezo yake inaonekana ni mtu mwenye uwezo mkubwa sana kifedha.Mtu ambae hakusitahili hata kusamehewa kulipa kodi na serekali yetu kama ingekuwa makini kama alisamehewa kweli kwa mjibu wa maelezo yake yasiyo na ushahidi.Huu ni upuuzi mwingine tunao upinga unaofanywa na serekali yetu.Mtu mwenye uwezo mkubwa kabisa wa kulipa kodi anasamehewa kulipa kodi huku mwananchi ambae ni masikini kabisa ambae anatakiwa kusaidiwa anapelekewa mgambo kupigwa mabuti ili aweze kulipa kodi kwa nguvu pengine na kufungwa kabisa.Eti tajilri mkubwa kabisa mwenye nazo anasamehewa kulipa kodi na yeye bila hata chembe ya aibu anajitokeza hadharani nimesamehewa kulipa kodi na serekali kwa kisingizio cha kujenga Chuo cha afya.Hicho chuo cha afya kitakuwa kinatoa huduma bure kwa mwananchi?.
Umesema kuwa hujihusishi na uendeshaji wa biashara ya kampuni kama mtendaji wa kila siku.
Kwamba kampuni ya Emergent Africa Ltd ina watumishi wake sehemu mbalimbali.
Anayetakiwa kukanusha hayo madai ni wewe mwenye hisa 40% au ni kampuni ya Emergent Africa Ltd?
Could this be another one man company or a family company?
Could this company be a sham or mere a façade concealing the truth facts?
Would you mind us piercing the corporate veil to know what is going behind?