Majibu ya Tuhuma Dhidi Yangu!

Majibu ya Tuhuma Dhidi Yangu!

Baada ya makanusho marefu yooote hayo nilitarajia kusikia: "Nimeongea na wanasheria wangu, na siku chache zijazo nitaliburuta gazeti hili mahakamani na kulidai fidia ya bilioni moja kama damages, na kulitaka gazeti hilo kukanusha habari hizi kwenye ukurasa ule ule wa mbele".
 
Ndugu Hamisi Andrea Kigwangalla, tunashukuru kwa kutoa tamko lako lenye maudhui ya kujisafisha, kwa upande wangu sijui kama shutuma walizotoa dhidi yako ni za kweli au la, ila wanasiasa wengi wa nchi hii hasa wa chama tawala (CCM) wengi wamekuwa wakituhumiwa na shutuma mbalimbali na sifa chafu za ufisadi, lakini wanaishia kujisafisha kama wewe ulivyo fanya. Najiuliza kwa nafasi na uwezo mlonao, kwanini msiwapeleke hawa wanaowashutumu katika vyombo vya HAKI kama Mahakama na kuishia kujisafisha na kuwasame. Kwa upande wangu ujanishawishi nikuamini kama ni msafi, tumewazoea kwa kujisafisha, nakuomba ujipange upya.
 
Tukundane
Magamba niliyokuwekea ni haya slaa milioni 140 na Mbowe milioni 350; sikukuona kutetea taifa au uchungu wako ni pale tuhuma zinapowagusa viongozi wa CCM? Kama ni mtetezi wa kweli usingechagua dhambi huu wako ni unafiki wa kiwango cha juu yaani umepitiliza
Chama
Gongo la mboto DSM
CC Ritz
 
Last edited by a moderator:
Weeezi watupi! Maelezo kama haya ni mfano ule ule alioutoa Nchimbi kumtetea Jangili Kinana, eti Kampuni yake ilibeba tu na yeye hahusiki kwa majukumu ya kila siku ktk shipping issues, na kuna tofauti za shipping, clearing and forwarding!!

Nonsense burglers...! Siku zote waongo wanatumia maneno mengi, kugeuza geuza ili angalau aupate ukaribu na ukweli kuwazuga wasikilizaji au audience, kumbe ktk ubongo wote anajitambua na anajijua 'MIMI MWIZI'...ndio Kingwangalah na kundi lote jingine ktk chama chake...!

Damu ya wananchi wasio na hatia wanaoangamia kwa kukosa huduma muhimu mahospitalini, usafiri, chakila nk...itawatafuna, na siku inakuja, mtalia n akusaga meno mtamani kurudi pale raia wa kawaida anapoishi na kufurahia shida zate ila hamtapata nafasi hiyo!
 
HKigwangala kweli hupendeki kiasi hiki, kwani umewakosea nini hata magamba wenzio, maana nimepitia comment zote hakuna hata aliekutetea! Hadi Nchimbi kinara wa kutetea bungeni nae amekuacha ufe mwenyewe! kwisha habari yako, hadi raha yaani!
 
kama hauna uhakika kuwa yawezekana watu wako wamehusika ulipaswa kujichunguza kwanza. kwa maana hiyo maelezo yako kwa umma wa watanzania hayana uhalali kwa kuwa wewe mwenyewe haujahusika lakini hauna uhakika kama watu wako wamehusika kwa namna yeyote ile.
Pili majibu yako kwa ujumla yanatia wasiwasi, mimi nil;dhani ulipaswa kushitaki kwa kuchafuliwa jina halafu ushahidi ungepelekwa mahakamani, sidhani kama ni sahihi kuomba uletewe ushahidi ili uwachukulie wafanyakazi wako hatua. Ushahidi hupelekwa mahakamani baada ya anayedhani kuwa hajatendewa haki kupeleka shauri lake mahakamani. Huo ndio utawala wa sheria, vinginevyo bado una kitu cha ziada cha kuwashawishi watanxania wakuelewe na hayo maelezo yako ysiyokuwa na kichwa wala miguu. Wewe unaonekana ni mojawapo ya viongozi waliolewa madaraka na kusahau wajibu wao wa utumishi wa umma, badala yake watumia ofisi kujitengenezea ahueni ya kiuchumi. Shame upon Kigwangalla. HOPELESS!
 
Tukundane
Magamba niliyokuwekea ni haya slaa milioni 140 na Mbowe milioni 350; sikukuona kutetea taifa au uchungu wako ni pale tuhuma zinapowagusa viongozi wa CCM? Kama ni mtetezi wa kweli usingechagua dhambi huu wako ni unafiki wa kiwango cha juu yaani umepitiliza
Chama
Gongo la mboto DSM
CC Ritz

Pole sana Chadema hakuna kitu kinacho itwa gamba Slaa wala gamba Mbowe labda kwenu huko Ccm.Umesha kuwa mungu wewe mpaka unihesabie dhambi?.
 
Last edited by a moderator:
kigwangala si wewe peke yako fisadi mmo wengi ndani ya ccm ni utamaduni wenu na jawabu lenu lipo 2015 mazee!
 
MBUNGE wa Nzega,Dk. Hamisi Kigwangalla (CCM), amejikanganya katika maelezo aliyoyatoa kukanushatuhuma za kutumia vibaya misamaha ya kodi ya mamilioni ya shilingi kwa ajili yaujenzi wa Chuo cha Afya eneo la Uchama, wilayani ya Nzega.

Katika taarifa yake aliiweka kwenye mitandaoya kijamii na vilevile mazungumzo yake na gazeti hili kwa simu, Dk. Kigwangallaalitoa maelezo ya kukinzana ambayo yanatofautiana na yale yaliyoko kwenyenyaraka za kampuni yake ya Emergent Africa Ltd.

Wakati Kigwangalla akisema msamaha wa vifaahivyo ni kwa ajili ya Ujenzi wa Chuo Cha Afya Nzega (kitakachoitwaInternational Institute for Health Tabora), nyaraka za TRA na Kituo chaUwekezaji (TIC) zinataja kituo hicho kamaTaasisi ya kisasa ya Kliniki ya Madawa, Afya ya Jamii na Elimu ya Biashara.

Sambamba na hilo, mbunge huyo anadai kuwa nahisa asilimia 40 na mkewe Dk. Bayoum Kigwangalla ana asilimia 11 wakati nyarakaza TIC zinaonyesha kuwa anamiliki asilimia 78 na mkewe 22.

Nyaraka hizo zinaonyesha kuwa kampuni yaEmergent Africa Ltd, ilisajiliwa TIC Septemba 27, 2011 na iliruhusiwa kupatamisamaha hiyo kuanzia Septemba 2011 hadi Agosti 2014.

Hata hivyo, akizungumza na gazeti hili, Dk.Kigwangalla alishindwa kufafanua kuhusu utata wa nyaraka kutofautiana tarehe zakuagiza na kupokea bidhaa.

Wakati nyaraka nyingine zikionyesha kuwamanunuzi yalifanyika nchini China Oktoba mosi 2012, nyaraka za TRA zinaonyeshakuwa bidhaa hizo zilishaingizwa nchini tangu Aprili 14 mwaka huo, kupitiakampuni ya Innovative Freight yenye TIN 100-145-596, risiti namba2012/0000002986.

Pia utata huo, unaonekana katika taarifa zaShirika la Viwango Tanzania (TBS) ambazo zinaonyesha bidhaa hizo zilikaguliwaMachi 28, 2012 kwa fomu Na 40381.

Kuhusu hilo,Dk. Kigwangalla alisema, “Suala la tarehe ni suala dogo sana, na haliwezi kuathiri bidhaazilizoingizwa nchini. Wewe unakimbilia kujadili tarehe tu, hilo hata watu wa TRA hawakuangalia tarehebali bidhaa ndiyo maana wakaruhusu. Pengine tarehe zimekosewa China.

“Na wewe una uelewa mdogo wa mambo ya biasharanakuvumilia tu,” alisema.

Dk. Kigwangalla alisema, “Niliwahi kuibiwabidhaa na nyaraka za dukani, ingawa mke wangu alinizuia kuripoti polisi na sasanitachukua hatua, we nenda katoe taarifa unayojua, mimi nitakuja tena kuongezaufafanuzi. Sina uadui na wewe hata Mbowe, nitawashtaki mahakamani kadirimnavyonichafua.”

Aliongeza kuwa bidhaa zilizoingizwa tanguAprili mwaka jana, hazijauzwa; kwamba ziko katika stoo Dar es Salaam kwani anasubiri kupata mkopoili aweze kuzisafirisha kwenda wilayani Nzega.

Tanzania Daima ilidokezwa kuwa hata kampuni yaInnovative Freight Forwarders Co. Ltd iliyoshughulikia upakuaji wa mzigo huo nakuutoa bandarini haijalipwa hadi leo.

Akizungumza na gazeti hili kwa simu jana,meneja wa kampuni hiyo, Queen Mwasanguti, alisema: “Kwa kweli wewe ni mtu wanne kuniulizia suala hilo, ni kweli sijajua kuna nini, ingawa ni kwelisijalipwa ila kila nikimuuliza Kigwangalla anasema yeye atakuja anikutanishe navijana wake waliosimamia mizigo hiyo ili aweze kunilipa.”

Aliongeza, “Bidhaa ziliingia ndio, sisitulikabidhiwa nyaraka hizo unazotaja tukashughulikia mizigo hiyo kwa taratibuza kawaida, ingawa ni kweli ‘bill of lading’ na ankara za manunuzi ya biasharazilitofautiana.”

Kwa mujibu wa makubaliano kati ya kampuni yaEmergent Afica Ltd na TIC, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) iliombwa kuisamehekodi kampuni hiyo ya Dk. Kigwangala vitu mbalimbali vyenye orodha toka namba 1hadi 390.

Bidhaa hizo kwauchache ni kompyuta 1042, mashine za kutolea kopi 12, Printa 12, mashine zakufungia (binding machines) 12, vikokotozi (calculators) 640, projekta 12,‘video camera’ 12, feni 30, vifaa vya simu, maboksi 28, jenereta moja, magariaina ya Toyota 13, malori matatu, Nissan Navarra Pik up nne, Mitsubishi Cantermbili na mabasi madogo manane

TANZANIA DAIMA

 
mbunge wa nzega,dk. Hamisi kigwangalla (ccm), amejikanganya katika maelezo aliyoyatoa kukanushatuhuma za kutumia vibaya misamaha ya kodi ya mamilioni ya shilingi kwa ajili yaujenzi wa chuo cha afya eneo la uchama, wilayani ya nzega.

katika taarifa yake aliiweka kwenye mitandaoya kijamii na vilevile mazungumzo yake na gazeti hili kwa simu, dk. Kigwangallaalitoa maelezo ya kukinzana ambayo yanatofautiana na yale yaliyoko kwenyenyaraka za kampuni yake ya emergent africa ltd.

wakati kigwangalla akisema msamaha wa vifaahivyo ni kwa ajili ya ujenzi wa chuo cha afya nzega (kitakachoitwainternational institute for health tabora), nyaraka za tra na kituo chauwekezaji (tic) zinataja kituo hicho kamataasisi ya kisasa ya kliniki ya madawa, afya ya jamii na elimu ya biashara.

sambamba na hilo, mbunge huyo anadai kuwa nahisa asilimia 40 na mkewe dk. Bayoum kigwangalla ana asilimia 11 wakati nyarakaza tic zinaonyesha kuwa anamiliki asilimia 78 na mkewe 22.

nyaraka hizo zinaonyesha kuwa kampuni yaemergent africa ltd, ilisajiliwa tic septemba 27, 2011 na iliruhusiwa kupatamisamaha hiyo kuanzia septemba 2011 hadi agosti 2014.

hata hivyo, akizungumza na gazeti hili, dk.kigwangalla alishindwa kufafanua kuhusu utata wa nyaraka kutofautiana tarehe zakuagiza na kupokea bidhaa.

wakati nyaraka nyingine zikionyesha kuwamanunuzi yalifanyika nchini china oktoba mosi 2012, nyaraka za tra zinaonyeshakuwa bidhaa hizo zilishaingizwa nchini tangu aprili 14 mwaka huo, kupitiakampuni ya innovative freight yenye tin 100-145-596, risiti namba2012/0000002986.

pia utata huo, unaonekana katika taarifa zashirika la viwango tanzania (tbs) ambazo zinaonyesha bidhaa hizo zilikaguliwamachi 28, 2012 kwa fomu na 40381.

kuhusu hilo,dk. Kigwangalla alisema, "suala la tarehe ni suala dogo sana, na haliwezi kuathiri bidhaazilizoingizwa nchini. Wewe unakimbilia kujadili tarehe tu, hilo hata watu wa tra hawakuangalia tarehebali bidhaa ndiyo maana wakaruhusu. Pengine tarehe zimekosewa china.

"na wewe una uelewa mdogo wa mambo ya biasharanakuvumilia tu," alisema.

dk. Kigwangalla alisema, "niliwahi kuibiwabidhaa na nyaraka za dukani, ingawa mke wangu alinizuia kuripoti polisi na sasanitachukua hatua, we nenda katoe taarifa unayojua, mimi nitakuja tena kuongezaufafanuzi. Sina uadui na wewe hata mbowe, nitawashtaki mahakamani kadirimnavyonichafua."

aliongeza kuwa bidhaa zilizoingizwa tanguaprili mwaka jana, hazijauzwa; kwamba ziko katika stoo dar es salaam kwani anasubiri kupata mkopoili aweze kuzisafirisha kwenda wilayani nzega.

tanzania daima ilidokezwa kuwa hata kampuni yainnovative freight forwarders co. Ltd iliyoshughulikia upakuaji wa mzigo huo nakuutoa bandarini haijalipwa hadi leo.

akizungumza na gazeti hili kwa simu jana,meneja wa kampuni hiyo, queen mwasanguti, alisema: "kwa kweli wewe ni mtu wanne kuniulizia suala hilo, ni kweli sijajua kuna nini, ingawa ni kwelisijalipwa ila kila nikimuuliza kigwangalla anasema yeye atakuja anikutanishe navijana wake waliosimamia mizigo hiyo ili aweze kunilipa."

aliongeza, "bidhaa ziliingia ndio, sisitulikabidhiwa nyaraka hizo unazotaja tukashughulikia mizigo hiyo kwa taratibuza kawaida, ingawa ni kweli ‘bill of lading' na ankara za manunuzi ya biasharazilitofautiana."

kwa mujibu wa makubaliano kati ya kampuni yaemergent afica ltd na tic, mamlaka ya mapato tanzania (tra) iliombwa kuisamehekodi kampuni hiyo ya dk. Kigwangala vitu mbalimbali vyenye orodha toka namba 1hadi 390.

[font=&amp] bidhaa hizo kwauchache ni kompyuta 1042, mashine za kutolea kopi 12, printa 12, mashine zakufungia (binding machines) 12, vikokotozi (calculators) 640, projekta 12,‘video camera' 12, feni 30, vifaa vya simu, maboksi 28, jenereta moja, magariaina ya toyota 13, malori matatu, nissan navarra pik up nne, mitsubishi cantermbili na mabasi madogo manane

tanzania daima

[/font]

let him come and dispute this
 
There are currently 158 users browsing this thread. (22 members and 136 guests), kila la kheri nitarudi baadae kuangalia comment zenu maana tunduruboy amerusha kombora lingine tena
 
Last edited by a moderator:
signature yako umeandika "mabadiliko ya kweli yataletwa na sisi" hapa sijakuelewa yaani nyie ccm? au.....mabadiliko ya kweli ndo hayo ya kupeana misamaha ya kodi? hayo ya kuunga mkono kila hoja ? hayo ya chama kwanza Tanzania baadae ? kigwangala kigwangala comrade.......hapana wapisheni watu wanaoweza kuleta hayo mabadiliko ya kweli sio nyie ccm.....HIKI NDICHO NINACHOKIAMINI
 
Sasa ndo nimetambua sababu za HK siku moja akichangia bungeni alithubutu kuwatisha CHADEMA kwamba wasije wakafika Nzega katika eti alichodai jimbo lake kwa ajili ya M4C!!.....Kumbe brother ulikuwa unaogopa wasije wakaanika ufisadi wako kwa wana-Nzega!!.......Vp Mheshimiwa MB HK unatengua kauli na imeshatenguliwa?

POLE SANA BROTHER.......NINGEKUWA MIMI WEWE LEO HII HII NINGEJIUZULU UBUNGE WALLAHI!!!!
 
Jamaa alikuja kwa nia ya "kujisafisha" kaishia kujichafua zaidi na kuacha maswali chungu nzima. Sidhani kama atarudi hapa kuja kuendelea na juhudi zake za kujisafisha.
 
walewale wanaanza kukiri kumiliki hisa, halafu wanasema wao si watendaji wa kila siku, wakitajwa bungen/popote kuwa mafisadi wanaanza kujipanga kusafishana. Ref; si mmeiona juzijuzi watu walianza kukiri hivihivi.
 
Back
Top Bottom