Majibu ya Tuhuma Dhidi Yangu!

Majibu ya Tuhuma Dhidi Yangu!

Kumbe hisa 22% kwa 78% sasa mheshimiwa unatudanganya wazi wazi?

Ama kweli wananchi wa Nzega wamepata bahati mbaya!
 
Hivi wewe uliyetoa maelezo yooooooooooooooooooooooooooote haya unajiona kuwa uko sahihi? Na wewe ni miongoni mwa ma-great thinkers???? Mbona maelezo yako nawewe ni stori tu..............Hakuna facts zinazoonesha tatizo. Kwani kama mtu ameomba msamaha wa kodi na akapewa tatizo ni nini? Tatizo sheria ama aliyepewa msamaha ama au aliyetoa msamaha??? Au Mh Kigwangalla ALIHONGA mpaka akapata msamaha????? Kama aliyehonga mnamlaumu na je aliyehongwa????? Au kwa kuwa aliyehongwa ni "jamaa yenu???" Mimi naona Jamii forum imekuwa ni kichaka cha ushabiki wa CHADEMA....Au ni mahala watu wanachafua majina ya watu ili wakagombee ubunge eneo linaloshikiliwa na CCM. Yes, hizi ni kampeni lakini mimi naziita ni kampeni chafu!!!!!!!!!!!!!!!
Malyenge punguza jazba. Huu uzi umeletwa na huyu Dr. Hamisi Kigwangalla kwa ridhaa yake mwenyewe bila shuruti; so kinachokuuma weye ni nini? Ongea basi kwa facts ili ueleweke.
 
Last edited by a moderator:
Malyenge punguza jazba. Huu uzi umeletwa na huyu Dr. Hamisi Kigwangalla kwa ridhaa yake mwenyewe bila shuruti; so kinachokuuma weye ni nini? Ongea basi kwa facts ili ueleweke.

Mimi siwezi kusema facts maana kila kitu Dr. Kigwangala ameonesha..........Documents zote anazo! Hakuna mahala anazikataa documents na documents hizo zote ni halali kutoka mamlaka kuu za nchi... Huo msamaha wa kodi hajautunga yeye....upo kwa mujibu wa sheria na mtu yeyote anayekidhi vigezo vya msama anapewa.
Hasira huwa zinakuja kwa mtu anayejifanya anajua kumbe hajui......Anatoa tuhuma bila kuwa na uelewa wa kutosha.
Kuna mtu amesema eti msamaha alioomba Dr Kigwangala ni wa kujenga kituo cha Taasisi ya kisasa ya Kliniki ya Madawa, Afya ya Jamii na Elimu ya Biashara. na siyo kwa ajili ya ujenzi wa Chuo cha Afya eneo la Uchama, wilayani ya Nzega.

Hapo kwenye elimu ya biashara sidhani kama itakuwa ni sahihi. Haiwezekani hata Registrar akakubali kusajili jina la sekta mbili tofauti. Au mwandishi alikuwa na maana "elimu ya afya?". Sasa vitu kama hivi msiwe mnatuletea kwenye uzi.... wataalamu tupo.
Tuje kwenye msamaha kati ya Taasisi ya kisasa ya Kliniki ya Madawa, Afya ya Jamii na Chuo cha Afya ......Kimsingi sheria haijatofautisha bali ili muradi shughuli zihusiane na afya. Sasa mtu anapoleta vijihoja vya sawa na spelling error kwenye maandiko hii haiwezi kuitwa tuhuma. Au ni lini sheria imefuta msamaha kwa ajili ya masuala ya afya? Mtu anapoandika kitu ni lazima kwanza awe na upeo nacho kwanza na si kujaza gazeti wino ili aonekane naye "ameibua kitu...."
 
Nenda Nzega Mkuu, ndani ya Hospitali ya Wilaya ya Nzega kaone mauza uza yake anayoyaita chuo cha afya Nzega! Mwizi/fisadi ni fisadi hakuna afadhali, kama na wewe ni mmoja wao basi hongera!!

Kumbe anafanya madudu. Basi alaaniwe na huo ufisadi wake
 
Kigwangalla aliingia bungeni kwa njia ya miujiza na naamini sasa kumbe kulikuwa na maslahi binafsi, kama unaona Tanzania daima wanakuchafua si uwapeleke kwa court?? Acha story za kirikuu dr.
 
Sioni cha maana zaidi ya historia ya yale uliyowahi kutuhumiwa na magazeti. Kwa kuwa unapakaziwa hebu jisafishe kwa kuwapeleka mahakamani hao wanaokuchafulia jina lako vinginevyo wewe ni fisadi kama wengine
 
Hongera sana Dr. Kigwangalla kwa maelezo marefu ya 'kujitakasa'. Pamoja na 'utakaso' huo ni dhahiri kuwa unayo masilahi binafsi katika misamaha iliyotolewa kwa kampuni yako. Jitakase zaidi kwani mikono yako bado 'inanuka' jasho la walipa kodi maskini wa nchi hii. Iambie pia serekali ya CCM unayoitumikia kuwa lazima 'ibada' ya utakaso iendelee dhidi ya Ufisadi na Mafisadi!
 
mi naomba anishauri jinsi ya kujenga 'NYUMBA YA KUISHI NZEGA TABORA NA DAR ES SALAAM' niache kumuonea husda wivu na kijicho.

...ina sound kama kirundi ingawa sina uhakika ni cha wapi

Nenda mtaa wa togo kaombe mkopo slaa kajipa 140milioni na wewe kaombe. Nyote mnapigaania usawa kwa hiyo kaufanyie majaribio
Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Hana ubavu wa kwenda mahakamani angekuwa nao angeshafanya hivyo, si unaona hata hapa jamvini hajarudi tena, chezeya JF weye!!! Ukitaka kuja kujisafisha hapa jamvini basi uwe na nondo kali vinginevyo utazidi kujipaka na hivyo kuonekana mchafu zaidi.

Sioni cha maana zaidi ya historia ya yale uliyowahi kutuhumiwa na magazeti. Kwa kuwa unapakaziwa hebu jisafishe kwa kuwapeleka mahakamani hao wanaokuchafulia jina lako vinginevyo wewe ni fisadi kama wengine
 
Hana ubavu wa kwenda mahakamani angekuwa nao angeshafanya hivyo, si unaona hata hapa jamvini hajarudi tena, chezeya JF weye!!! Ukitaka kuja kujisafisha hapa jamvini basi uwe na nondo kali vinginevyo utazidi kujipaka na hivyo kuonekana mchafu zaidi.
Sikuja kujisafisha hapa wala silazimiki kufanya hivyo. Niliamua kutoa tu maelezo ya upande wangu wa hadithi, na ninaamini wenye akili na uelewa mpana wameelewa, na nilijua baada ya kutoa maelezo ya hoja alizoandika mwandishi na kuacha maswali mengi wengi wataelewa, kama walivyotanabahisha hivyo kwa kuniandikia sms, emails na kunipigia simu. Kama unataka mjadala uliza swali na nitakujibu tu...
 
Wewe ndio lijinga kabisa,mpuuz mkubwa hujui chochote,umeniudhi kweli maana umeonyesha utupu uliopitiliza,jinga sana wewe,kukusaidia tu,aliyehitimu shahada ya kwanza ya utabibu wa mifugo au binadamu initial name yake ni dr,alafu then any phd order,ni dr.Kigwangala is a medical doctor,graduated from Muhas 2005.Usisahau na upumbavuni kwetu,mjanja mjanja yeyote anaweza akajipachika udokta au uprof.

Ungemwelimisha vizuri tu na angekuelewa vizuri sasa haya matusi yote ya nini Mkuu??
 
Huwezi kujibu maswali yanayohusiana na documents kwa maneno tu. Ziweke documents husika hadharani ili watu wa TRA waziangalie na kuhakikisha hazina dosari yoyote vinginevyo bila ya hizo documents husika kuziweka hadharani utakuwa unafanya kazi ya kutwanga maji.

Sikuja kujisafisha hapa wala silazimiki kufanya hivyo. Niliamua kutoa tu maelezo ya upande wangu wa hadithi, na ninaamini wenye akili na uelewa mpana wameelewa, na nilijua baada ya kutoa maelezo ya hoja alizoandika mwandishi na kuacha maswali mengi wengi wataelewa, kama walivyotanabahisha hivyo kwa kuniandikia sms, emails na kunipigia simu. Kama unataka mjadala uliza swali na nitakujibu tu...
 
Sikuja kujisafisha hapa wala silazimiki kufanya hivyo. Niliamua kutoa tu maelezo ya upande wangu wa hadithi, na ninaamini wenye akili na uelewa mpana wameelewa, na nilijua baada ya kutoa maelezo ya hoja alizoandika mwandishi na kuacha maswali mengi wengi wataelewa, kama walivyotanabahisha hivyo kwa kuniandikia sms, emails na kunipigia simu. Kama unataka mjadala uliza swali na nitakujibu tu...

Tuhuma nzito za kukwepa kulipa kodi unasema ni hadithi? Kweli Watanzania tumelogwa, halafu huyo ni miongoni mwa wanaotunga sheria za nchi
 
Kwa kuwa lilikuwa ni jambo la uongo, pia nilidharau na kuacha lipite

Wacha hata ili litapita
 
huyu jamaa kalewa msopage, simshangai hata kidogo. huwezi kujibu kama unahutubia. shame on you
 
Sikuja kujisafisha hapa wala silazimiki kufanya hivyo. Niliamua kutoa tu maelezo ya upande wangu wa hadithi, na ninaamini wenye akili na uelewa mpana wameelewa, na nilijua baada ya kutoa maelezo ya hoja alizoandika mwandishi na kuacha maswali mengi wengi wataelewa, kama walivyotanabahisha hivyo kwa kuniandikia sms, emails na kunipigia simu. Kama unataka mjadala uliza swali na nitakujibu tu...

Ni nani msemaji wa kampuni hii?maana nilitegemea hao ulio waachia hayo majukumu ndio wayaseme haya.

hii kampuni yako ni ya ujenzi?

umesema si kila aliye ccm ni fisadi unaweza kufafanua kidogo hapa?

kwa maelezo uliyo toa imeonesha wewe ndio mtendaji mkuu wa kampuni na ndio maana hata ushahidi umeomba uletewe!

unadhani kama hutaki kujisafisha kulikuwa na haja ya kujieleza na uonesha haya unayo jaribu kutuaminisha?
 
Sikuja kujisafisha hapa wala silazimiki kufanya hivyo. Niliamua kutoa tu maelezo ya upande wangu wa hadithi, na ninaamini wenye akili na uelewa mpana wameelewa, na nilijua baada ya kutoa maelezo ya hoja alizoandika mwandishi na kuacha maswali mengi wengi wataelewa, kama walivyotanabahisha hivyo kwa kuniandikia sms, emails na kunipigia simu. Kama unataka mjadala uliza swali na nitakujibu tu...
haya leo katika mkutano wa ALAT arusha Waziri Mkuu amekataza watendaji wa Halmashauri yaani madiwani,meya,wenyeviti wa halmashauri kufanya kazi za tenda kupitia kampuni zao maana kama wewe ndiye muangalizi wa value for money, jee ni nani atakaye ku evaluate?na wewe ni diwani unasemaje juu ya hilo?
 
Back
Top Bottom