Imebaki kizazi kimoja tu ili Tanzania tubaki wafuameendesha wizara ya maji kwa ufanisi wa kutukuka alivoumwa ndio ikapewa hawa wababaishaji. jamaa wanasema ni mpiga kazi usiku na mchana ,he is capable
Ni wa chache saana wataona na kukumbuka hili maana hakika imebaki kizazi kimoja tanzania soon watatembea wafuMkuu Mkandara, hawa jamaa ni wahuni tu. Walikuwa na sababu gani kuuza benki (NBC), Kiwanda cha sigara, Kampuni ya pombe TBL...mashirika yaliyokuwa yakijiendesha kwa tija! Hapa prof. anaimba wimbo wa kipumbavu na kushangiliwa la watu wanaomchukia Zito.
Kumbe ndio maana proffessor anaheshimika na kina membe .Hii kitu imenifanya nimkubali katika wagombea wote wa CCM ni kichwa ,anakupa vielelezo huku anakutukana bila neno la tusi aisee jamaa ni big brain, mnaosema mnaakili kuliko watu wengine jifunzeni kwa prof na huwa haongei sana short and clear
Nianze na hili la ubinafsishaji kwa ujumla wake. Inawezekana ulikuwa badi shule, pamoja na nia njema ya kuanzisha mashirika ya umma, hatimaye yalikuja kuwa mzigo mkubwa kwa hazina yetu, maana yake kwa wananchi. Asilimia kubwa yalitegemea ruzuku ya serikali na baadhi yalikuwa mufilisi. Teknolojia ilikuwa imebadilika sana na ili kuyafungua ingeigharimu serikali na umma wa Tanzania kiasi kikubwa sana. Uchumi wa nchi wakati ule usingeweza kubeba mzigo huo. Ndipo Chama, wakati ule kiliporidhia Serikali ibakie na shughuli zake za msingi za Utawala, Ulinzi na Usalama, na Usimamizi wa ujumla wa uchumi.
MAELEZO HAYO HAPO JUU KWA MWENYE akilli timamu yanatosha kwamba Mwandosya ni kiongozi mwepesi kushindwa, kwa kauli hiyo ya kuogopa ushindani ni ishara kwamba hata viwanda karibu vyote vimekufa kwa sababu ya uoga wa wanaCCM. Pia kwa maelezo hayo ya Mwandosya kuogopa risk, watanzania wasitegemee kufufuliwa kwa viwanda Mwandosya akiwa kocha wa CCM.
Basi Watanzania, tuelewe kwamba mafanikio ya China na kuwa taifa kubwa kiuchumi duniani imetokana na uwezo wa Deng Xiaoping ambaye alilibadili taifa hilo kwa kuboresha mashirika ya umma, kufungua viwanda vipya na kwenda sambamba na mapinduzi ya teknolojia duniani. SASA tuna Mwandosya na wanaCCM wenzake wanaona teknolojia ni adui wa kumkimbia na kutelekeza mashirika ya serikali badala ya kuwa rafiki wa kumkimbilia.
Nimalizie tu, kwa uelewa mdogo na ushabiki wa wanaJF kwa majibu ya Mwandosya na kuyachukulia kijumla jumla bila kushirikisha ubongo, to find if there is any substance in his counterargument, then we are doomed as a nation and overal we lack human potential for the future of this nation.
Ni wa chache saana wataona na kukumbuka hili maana hakika imebaki kizazi kimoja tanzania soon watatembea wafu
Imebaki kizazi kimoja tu ili Tanzania tubaki wafu
Nacheka sana leo Chadema wote wameamia CCM halafu mnajindanganya UKAWA watachukua nchi.
teh teh teh Tanzania hamna upinzani.
Mkuu hata kama haumpendi Zitto jaribu kutumia lugha ya kiungwana.Zito ni sawa na maiti inayotembea
Wasome pro-Chadema wenzako ndiyo utanielewa ninamaanisha nini.Mkuu nadhani unawawaza sana Chadema unnecessarily hadi mnatoa watu nje ya mada.
zito anaakili za vijiweni wakati mashirika yanaingiza hasara yeye alikuwa bado ananyonya kwahiyo kumfafanulia mtoto kama huyo ni kuumiza kichwa
Watanzania wenyewe ndiyo kama hawa halafu utegemee mabadiliko.zito anaakili za vijiweni wakati mashirika yanaingiza hasara yeye alikuwa bado ananyonya kwahiyo kumfafanulia mtoto kama huyo ni kuumiza kichwa
Hivi, ni kitu kipi cha ajabu amefanya CoET? Cha kuweza kujivunia, zaidi ya kubatizwa jina handsome boy, kwa kupenda utundaHuyo ndo profesa high Quality Tanzania kaka, Mathew Luhanga, Lipumba , Muhongo , na Sarungi ila zingine za kupewa tu hakunA lolote.
Yani huyo mzee muogopeni angefundisha CoET vichwa vingi vingetokea Tz sema ndo ivyo siasa inalipa
Wasome pro-Chadema wenzako ndiyo utanielewa ninamaanisha nini.