Mchuja Nafaka G
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 763
- 253
Si vibaya maswali yakaulizwa na majibu yakatolewa, msiwe watu wakushambulia wauliza maswali bali pimeni umuhimu wa swali na majibu yaliyotolewa.
umejibu vizuri kuwa mahakama ndio inajua ufeki au uhalali pia kama mwandosya angeona kakashifiwa angeenda mahakamani kujisafisha
Huyo ndio Prof bana,unajibiwa kisomi huoni hata tusi!unamtukana mtu kiproffessor ,wanajua matusi ya kiproffessor tu ndio watagundua wengine wataona kasifiwa
Binadamu ndo inatakiwa tuwe tunajibu kwa style hiyoHuyo ndio Prof bana,unajibiwa kisomi huoni hata tusi!
Kabisa mkuu,japo ni ngumu sanaBinadamu ndo inatakiwa tuwe tunajibu kwa style hiyo
Sing'atuki ng'oo..., kuna mwingine hii ndo style ya majibu yakeBinadamu ndo inatakiwa tuwe tunajibu kwa style hiyo
Magu.Zitto vs Mwandosya nani sasa asiyejielewa?
Magu.
Save water drink beer.umekunywa maji ya kutosha?
wakipima huo si ndo hatari sasaSave water drink beer.