Majibu ya Prof Mwandosya kwa Zitto

Majibu ya Prof Mwandosya kwa Zitto

zzk, anataka kushindana na mwalimu wake! duh professor kamuonesha kuwa si level zake!

Kuwa mwalimu si kwamba ndio unaakili kuliko mwanafunzi wako.Mwandyosa ni fisadi hana chembe ya usafi labda wa mwilim
 
Zito kumbe wa ovyo aisee. Huwezi fikiria kama mtu wa aina yake hawezi tafiti hata kidogo kitu kilichowahi tolewa maelezo miaka mingi iliyopita. Sasa mtu ambaye hana nafasi yoyote katika nchi hii atakuwa na akili zipi kama akili za mtu msomi na mwenye nafas nchi hii kama Zito ana akili za aina hii?

Kuna watu hawahitaji hata utafiti MkubwA ili ujue ni wezi Lakin Zito kaamua kutowauliza chochote juu ya tuhuma zao. Ila tuhuma za kufikirika za professor ndio Zito kaona za muhimu. Jamaa ovyo sana.
 
Unafiki na majungu havitotupeleka popote sisi kama taifa. Tuhuma muflisi kama za bwana zito zitapelekea tukose nafas ya kupata mmoja wa watanzania wenzetu wanaofaa zaidi kuwa rais wa nchi hii. Professor mwandosya ni mmoja wa watu wanaotufaa zaid kutuongoza katika kipindi hiki
 
Baada ya utafiti yakinifu zito kagundua katika wagombea wa ccm professor ndio anafaa ajibu hoja za ufisadi kuliko mgombea mwingine yeyote?

Aache kutufanya mabwege.
 
Wrote ni wezi tu na wasaliti.. Zitto km ulivyofanya usaliti kwa chdema, na wewe utafanyiwa ufisadi ACT. Zambi ya usaliti ni mbaya sn zaidi mauaji.
 
Majibu yako na taaluma yako vinaendana kabs, lkn suala la ww kuongoza hii nchi ndio kitendawili hata Mhe.Jakaya ni mmoja wa maraisi wanaoongoza kwakuw na speech lkn utendaj kazi wake ndo huu uliotufikisha hapa.......1$=2300/= !!!!
 
Zitto alizoea kubwatukia watu wenye viwango tofauti vya elimu, ila sijui kama aliwahi kumgusa prof. Safari hii kakanyaga kaa la moto.
 
Zito kumbe wa ovyo aisee. Huwezi fikiria kama mtu wa aina yake hawezi tafiti hata kidogo kitu kilichowahi tolewa maelezo miaka mingi iliyopita. Sasa mtu ambaye hana nafasi yoyote katika nchi hii atakuwa na akili zipi kama akili za mtu msomi na mwenye nafas nchi hii kama Zito ana akili za aina hii?

Kuna watu hawahitaji hata utafiti MkubwA ili ujue ni wezi Lakin Zito kaamua kutowauliza chochote juu ya tuhuma zao. Ila tuhuma za kufikirika za professor ndio Zito kaona za muhimu. Jamaa ovyo sana.
Hata issue ya ESCROW imeishatolewa maelezo na Chenge naye alishatolea maelezo pesa zake zilipo nje.

EPA nayo imeishatolewa maelezo.

Sasa mnalalamika nini kuwa serikali ya kifisadi wakati wasomi na maprofesa wameishatoa maelezo.

Halafu nyie ndiyo mnasema mtaitoa CCM madarakani hivi mnashikiwa akili mnaingia mazima.

Teh teh teh
 
Baada ya utafiti yakinifu zito kagundua katika wagombea wa ccm professor ndio anafaa ajibu hoja za ufisadi kuliko mgombea mwingine yeyote?

Aache kutufanya mabwege.
Mbavu zangu leo hii pro-Chadema anayaita majibu ya kiongozi wa CCM aliyekuwa madarakani kuwa majibu yakinifu na kukubaliana nayo.

Halafu mnajidanya kuwa Tanzania kuna upinzani eti UKAWA.

Tutasikia mengi...
 
Edward Lowasa hanabudi kuwaeleza
Watanzania kwa ufasaha kuhusu tuhuma zake
katika mchakato wa manunuzi ya kampuni ya
kufua Umeme ya Richmond.
Mradi huu wa dola 172 milioni ndio uliopelekea
yeye kujiuzulu Uwaziri Mkuu. Ndio anasema
aliwajibika kwa makosa ya waliochini yake lakini
anataka nafasi kubwa sana na yenye nguvu
kubwa.
Hivyo bila kuelezea uhusika wake katika suala hili
wananchi wa Tanzania hawatatendewa haki
kuuziwa mbuzi kwenye gunia.
Pia ametamka kuwa yeye ni tajiri na anachukia
umasikini lakini hajaeleza utajiri huo ameupataje,
ana miliki Mali kiasi gani na ana hisa kwenye
kampuni zipi za kibiashara.
Habari za chini chini zinasema pia yeye ndiye
alikuwa na zabuni ya kusambaza mabomba
kwenye mradi wa maji wa Ziwa Victoria kwenda
mji wa Kahama akiwa Waziri wa Maji na Mifugo.
Edward Lowasa hana budi kuyaweka haya wazi
umma ujue.
 
zito anaakili za vijiweni wakati mashirika yanaingiza hasara yeye alikuwa bado ananyonya kwahiyo kumfafanulia mtoto kama huyo ni kuumiza kichwa

Ni kweli ukifuatilia mawazo ya ZITTO utagundua kuna vitu basic kabisa . Kwa mfano unawezaje kusema umasikini wa wakazi wa Lindi Mtwara unatokana na wareno ,kwamba walikua wanatulinda dhidi ya wareno-,ama anaposema mikoa mingine imeendelea kwa kutolipa kodi ipasavyo.
 
Zito kumbe wa ovyo aisee. Huwezi fikiria kama mtu wa aina yake hawezi tafiti hata kidogo kitu kilichowahi tolewa maelezo miaka mingi iliyopita. Sasa mtu ambaye hana nafasi yoyote katika nchi hii atakuwa na akili zipi kama akili za mtu msomi na mwenye nafas nchi hii kama Zito ana akili za aina hii?

Kuna watu hawahitaji hata utafiti MkubwA ili ujue ni wezi Lakin Zito kaamua kutowauliza chochote juu ya tuhuma zao. Ila tuhuma za kufikirika za professor ndio Zito kaona za muhimu. Jamaa ovyo sana.
Mkuu umeongea jambo jema zitto wa hovyo kabisa anaongea hivyo ili prof amtafute ampe pesa jamaa mjinga siyo kidogo.
 
Profesa katiririka vizuri.Ameonyesha ukongwe wa hali ya juu katika siasa.

Kwa watu wavivu wa kufikiri wanaweza kuona kama Prof. Mwandosya hapa katiririka lakini ukweli ni kwamba alichoongea ni utumbo mtupu! Mwandosya hajazunngumza hata chembe moja ya ukweli hapa.

Hivi Professor huyu wa Kinyachusa pamoja na majigambo yake hayo ya kubinafisha mashirika ya Umma anaweza kutuonyesha ni shirika gani linalofanya vizuri baada ya Ubinafsishaji? Liko wapi angalao moja tu atuambie.

Mimi ningependa kuanza na hili la TTCL. Nakumbuka vizuri sana nikiwa na akili timamu kuwa kabla ya Detecon/MSI hawajauziwa/kupewa TTCL kwa bei ya kutupa TTCL chini ya marehemu Adolar Mapunda(RIP) ilikuwa na kiasi cha Tshs. 90 Billion. Mkurugenzi Mkuu Adolar alikwenda mpaka Bungeni akaiambia Serikali kuwa TTCL inauwezo wa kuanzisha Kampuni ya Simu za Mkononi yenyewe na tayari ilishapewa leseni na BRELA kuanzisha Kampuni ya CELNET. Lakini Serikali kupitia Mwandosya wakamwabia Mapunda kuwa TTCL hawataruhusiwa kuanzisha huduma ya Mobile badala yake wamsubiri Mwekezaji DETECON/MSI.

Kila Mtanzania anajua jinsi mchakato wa uuzaji/Ubinasishaji wa TTCL ulivyokwenda. Mwekezaji huyu tapeli kwa kushirikiana na kina Mwandosya walikubaliana walipe USD 120m lakini badala yake wakalipa USD 60m kwa ahadi kwamba ile nusu iliyobaki 60m USD ingelipwa baada ya kuanza kazi. Matokeo yake ni kwamba walipoingia tu TTCL walichezea mahesabu ya TTCL na hela zote zile 90B Tshs wakazikomba na kuzipeleka kwenye Kampuni yao ya Celtel. Iumbukwe kwamba leseni ileile ya CELNET toka BRELA ndiyo waliyoitumia hawa jamaa kwa kufanya nabadiliko kidogo kwenye jina kutoka Celnet kwenda CELTEL.

Muda wa kulipa ile 60m USD iliyobaki ulipofika hawa wahuni wakadai kuwa baada ya kupitia mahesabu upya wamegundua kuwa TTCL haina fedha kabisa tofauti na walivyofikiria mwanzo na kwa hiyo wako tayari kulipa 4.5m USD tu badala ya 60m USD!

Ikumbukwe kuwa kabla ya hawa wakezaji uchwara hawajapewa TTCL kulifanyika upembuzi yakinifu wa kimiundo mbinu waliyokuwa nayo TTCL na kupitia mahesabu ya TTCL na ndiyo maana wakakubaliana na Serikali ya CCM chini ya Mkapa na Mwandosya kuwa watainunua TTCL kwa 120m USD na si vinginevo!

Kwa kutumia ulaghai na kucheza na mahesabu ndipo wakawaweka sawa kina Mwandosya kwa kuwapa RUSHWA ya fedha pamoja na kuwasomeshea watoto wao akiwemo huyo Binti wa Mwandosya aliyepelekwa Afrika Kusini kwa gharama za CELTEL. Watu wanajua chuo alichopelekwa na mpaka chumba alichokuwa nakaa huyo Binti wa Mwandosya huko SA.

Kwa hili la TTCL Prof. amedanganya kwa 100%.

Nitaendelea............now loading.....
 
Hata issue ya ESCROW imeishatolewa maelezo na Chenge naye alishatolea maelezo pesa zake zilipo nje.

EPA nayo imeishatolewa maelezo.

Sasa mnalalamika nini kuwa serikali ya kifisadi wakati wasomi na maprofesa wameishatoa maelezo.

Halafu nyie ndiyo mnasema mtaitoa CCM madarakani hivi mnashikiwa akili mnaingia mazima.

Teh teh teh

Hata MEMBE anamuunga mkono prof Mwandosya. Nawewe funguka mkuu!
 
Kwa watu wavivu wa kufikiri wanaweza kuona kama Prof. Mwandosya hapa katiririka lakini ukweli ni kwamba alichoongea ni utumbo mtupu! Mwandosya hajazunngumza hata chembe moja ya ukweli hapa.

Hivi Professor huyu wa Kinyachusa pamoja na majigambo yake hayo ya kubinafisha mashirika ya Umma anaweza kutuonyesha ni shirika gani linalofanya vizuri baada ya Ubinafsishaji? Liko wapi angalao moja tu atuambie.

Mimi ningependa kuanza na hili la TTCL. Nakumbuka vizuri sana nikiwa na akili timamu kuwa kabla ya Detecon/MSI hawajauziwa/kupewa TTCL kwa bei ya kutupa TTCL chini ya marehemu Adolar Mapunda(RIP) ilikuwa na kiasi cha Tshs. 90 Billion. Mkurugenzi Mkuu Adolar alikwenda mpaka Bungeni akaiambia Serikali kuwa TTCL inauwezo wa kuanzisha Kampuni ya Simu za Mkononi yenyewe na tayari ilishapewa leseni na BRELA kuanzisha Kampuni ya CELNET. Lakini Serikali kupitia Mwandosya wakamwabia Mapunda kuwa TTCL hawataruhusiwa kuanzisha huduma ya Mobile badala yake wamsubiri Mwekezaji DETECON/MSI.

Kila Mtanzania anajua jinsi mchakato wa uuzaji/Ubinasishaji wa TTCL ulivyokwenda. Mwekezaji huyu tapeli kwa kushirikiana na kina Mwandosya walikubaliana walipe USD 120m lakini badala yake wakalipa USD 60m kwa ahadi kwamba ile nusu iliyobaki 60m USD ingelipwa baada ya kuanza kazi. Matokeo yake ni kwamba walipoingia tu TTCL walichezea mahesabu ya TTCL na hela zote zile 90B Tshs wakazikomba na kuzipeleka kwenye Kampuni yao ya Celtel. Iumbukwe kwamba leseni ileile ya CELNET toka BRELA ndiyo waliyoitumia hawa jamaa kwa kufanya nabadiliko kidogo kwenye jina kutoka Celnet kwenda CELTEL.

Muda wa kulipa ile 60m USD iliyobaki ulipofika hawa wahuni wakadai kuwa baada ya kupitia mahesabu upya wamegundua kuwa TTCL haina fedha kabisa tofauti na walivyofikiria mwanzo na kwa hiyo wako tayari kulipa 4.5m USD tu badala ya 60m USD!

Ikumbukwe kuwa kabla ya hawa wakezaji uchwara hawajapewa TTCL kulifanyika upembuzi yakinifu wa kimiundo mbinu waliyokuwa nayo TTCL na kupitia mahesabu ya TTCL na ndiyo maana wakakubaliana na Serikali ya CCM chini ya Mkapa na Mwandosya kuwa watainunua TTCL kwa 120m USD na si vinginevo!

Kwa kutumia ulaghai na kucheza na mahesabu ndipo wakawaweka sawa kina Mwandosya kwa kuwapa RUSHWA ya fedha pamoja na kuwasomeshea watoto wao akiwemo huyo Binti wa Mwandosya aliyepelekwa Afrika Kusini kwa gharama za CELTEL. Watu wanajua chuo alichopelekwa na mpaka chumba alichokuwa nakaa huyo Binti wa Mwandosya huko SA.

Kwa hili la TTCL Prof. amedanganya kwa 100%.

Nitaendelea............now loading.....
Umeharibu kila kitu uliposema professor wa kinyachusa, una ukabila ndo maana haujaona hata kimoja chenye point ktk maelezo yake!!
 
TBL, TCC, Airtel, .....
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
 
Attachments

  • Mnyongemnyongeni.jpeg.png
    Mnyongemnyongeni.jpeg.png
    71.8 KB · Views: 103
Back
Top Bottom