Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,939
- 43,573
Na eti yupo tayari Lowassa ajiunge na ACT almradi atangaze mali zake. Tanzania kuna mtu anahakiki mali za watu hasa viongozi? Sheria yenyewe ipo kikanyaboya tu.
Huyu yuda hapo anaswali la nyongeza kweli? Kazi yake kukalili mambo
Teh Teh
...hahahaha CCM nambari one!