Majibu ya Prof Mwandosya kwa Zitto

Majibu ya Prof Mwandosya kwa Zitto

Hivi, ni kitu kipi cha ajabu amefanya CoET? Cha kuweza kujivunia, zaidi ya kubatizwa jina handsome boy, kwa kupenda utunda

Tunaisubiri tafadhari kampuni ya Mkomunisti Prof Luhanga na mwenzake Prof Mwandosya iliyokuwa inahangaika kutafuta tenda za biashara(interesting).

Kama hujaipata sio aibu kusema kuwa nilikurupuka na sina data yoyote.
 
unamtukana mtu kiproffessor ,wanajua matusi ya kiproffessor tu ndio watagundua wengine wataona kasifiwa
Kweli mkuu kwa ujinga wake Yuda Ikariote atadhani amesifiiwa kumbe kashushuliwa na kudharauliwa sana. Prof. Kamashusha kistaarabu hadi atashindwa ajibu vipi zaidi ya makelele yasiyokuwa na maana. Anatakiwa achutame!
 
Ajibu na hili

Sasa kuna nini hapo cha kujibiwa?
Hilo si gazeti la umbea? yaani umeingia jikoni teamlwasa ndo unaona umeibua madini sasa!! mnachekesha sana! Ni gazeti gani hilo? Bongo hamna gazeti kuna magazeti ya vyama na ya wanasiasa!
 
ZITTO endelea kuwaumbua mafisadi na wanafiki wote wanaojifanya wao ni wasafi kumbe nao ni wahujum uchumi
 
Dah kweli kwa style hii ya uvilaza wa watanzania ccm itatawala milele. Hawa ndio maGT kuyachukulia jumla jumla tu majibu rahisi
 
Nacheka sana leo Chadema wote wameamia CCM halafu mnajindanganya UKAWA watachukua nchi.

teh teh teh Tanzania hamna upinzani.

mbona wewe ni ccm lakini huwa unamtetea zitto wa ACT ?
 
Unamkubari kwa sababu ujinga ulionao kichwani maana hata mtu aliyefumaniwa na mke wa mtu akiambiwa ajiteteee atatoa utetez tena pengine wenye maneno matam

Kama unabisha si uweke facts zako hapa?
 

  • UPDATED: MAELEZO YA ZITTO BAADA YA MAJIBU YA PROF MWANDOSYA

    Nimeridhishwa na maelezo ya Prof. Mark Mwandosya juu ya minong'ono dhidi yake. Namtakia kila la kheri.Akipitishwa na chama chake tutakutana kwa wananchi..

    Zitto Kabwe.



 
[Simiyu Yetu
Ukimsoma vizuri mwandosya utaona kuwa zitto ni taka kabisa anatakiwa kuwa jaani kabisa.

Me sjakuelewa leo tena unamponda Zito?
 
ama kweli zitto mropokaji. hakujua anaongea na prof? yuda n lafa sana
 
Unamkubari kwa sababu ujinga ulionao kichwani maana hata mtu aliyefumaniwa na mke wa mtu akiambiwa ajiteteee atatoa utetez tena pengine wenye maneno matam

yashakukuta?
 
Sure mkuu zitto nguvu yake kubwa ni uchawi kwahiyo siyo rahisi kushindana na watu wanaotumia akili kubwa kama huyu mzee,

Kiukweli zitto afanye tu zile kazi za usiku na wachawi wenzake haya mambo ya kutumia akili hovyo kabisa.

hahahahahaa mkuu nimwambie zi.tto eti umemuita eti ni F.ALA?
 
ANASEMA PROF KABLA HUJAHUKUMU SIKILIZA NA UPANDE WA PILI! Kazi kwako Mwakyembe na Richmond kumbukumbu za bunge zitakuhukum
 
Bavicha bana wakati mwingine mnachekesha mko tayari kuwatetea MAFISADI ILI TU ZITTO AONEKANE NI WA HOVYO HOVYO au alichokiandika hakina mashiko
Ndugu nilimaanisha -Alichoongea zitto ni sahih
 
Back
Top Bottom