Mataifa yanapata viongozi wanaowastahili.
Nimetafuta maoni ya mwandishi kuhusu Rais afanye nini, sio alipokuwa Waziri wa Nishati mwaka 47, Rais angefanya nini sasa hivi au toka ashike hatamu 2005, sijaona zaidi ya kumshauri aende Marekani kuongea na GE. Kwanza, GE ndio nani, anamfanyia nini nani, anaweza lipi ambalo wewe Mtanzania hukijui toka uhuru. Sijui kasoma wapi huyu GE wa Marekani, sijui ni nani huyu.
Nabahatisha lakini nimewahi kumsikia mmoja mwenye jina kama hilo anaetengeneza masufuria ya kupikia ubwabwa kwa umeme na makabati ya kutunza viporo vya maharage visiharibiwe na joto, lakini kama ndo huyo, basi wewe na yeye Kikwete wote lenu moja katika sera ya kuzunguka duniani kutafuta michango ya mawazo ya chakufanya. Tena haiyumkini Kikwete ana ahuaeni maana walau yeye kawatafuta Symbion wenye wataalam wa kutafuta na kuiba vyanzo vya nuklia za Africa katika Paul Wilson, labda watatugundulia umeme wa Nuklia. Wewe huwezi kukosoa Kikwete alichowaambia BBC.
Mtanzania wa leo hii anaeguswa na adha za nchi hii, tena mwenye vina na weledi wa ufuatiliaji mambo kama wa Rev. Kishoka, anapendekeza tatuzi la majanga ya nishati ya Taifa letu ni kwa Rais , tena anasema anamlilia Rais Kikwete afanye hivyo, akatembelee Marekani kuongea na kampuni liliobobea katika, kati ya nyenzo nyingine anuwai, kutengeneza mashine za kukatia vinyweleo kwa umeme. Hili ndio tatizo letu miaka 50 baada ya uhuru, kwamba Rais Kikwete na watu wake anaewaongoza ni wale wale, na aliyesema "Nations get the leaders they deserve" hakukosea hata kidogo, hata kidogo.
Unless I am high or sort of high I am not sure if I have even figure out what you are talking about.
Anyhow, I will help you out with GE. GE is one of the largest companies in the world that manufactures power turbines and engines that are used to generate electricity. You may want to check this out to get a better idea on why I asked Kikwete sit down with GE
GE Energy Services, GE Power & Water, GE Oil & Gas | GE Energy.
If he (Kikwete) had access to President of United States who is a most influential person, he could have easily secure a meeting with Jack Welch the then CEO of GE and ask for a help in solving our electricity problem. He could have even met T. Boone Pickens
PickensPlan king of wind power (by the way GE not only produce hydro, gas, oil turbines, but also wind turbines FYI).
Part of our bakuli (the useful way to beg) would have bee for ask to sign a bilateral agreement with US government to guarantee a loan for us to secure and procure turbines and all what is needed to fix our energy (electricity) crisis. As Mdada Injinia has demonstrated, we need better network in addition to mitambo ya kuzalisha na kusukuma umeme.
In exchange, we could have given some kihamba cha Uranium to US as an exchange (barter trade) of them financing the new master plan to electrify Tanzania!
If Joe Kabila has entered almost a $6billion agreement with China for China to build roads, railways, major infrasttructure in exchange of mining copper, gold and some diamonds, why our "dear" leader failed to get GE and others even the Germans with Siemens or Japan, China and South Korea who are our friends to sit down and find an ultimate solution that would have covered short and long term electrical issues?
Rather than talking things that are of use to rescue Tanzania from being dependent, the 10 or more trips he made to USA during Bush's reign ended up with BUsh coming to Tanzania and handing out Chandarua and holding tight the purse of MDG!
KUna mabakuli mengine ambayo ni muhimu, kama hili la miundo mbinu, iwe ni umeme, maji, mifereji, reli, bandari, simu na barabara. I would have expect his pitch for business would have been on building stron infrastructure so that we could have elevated local production and create more jobs and make Tanzania a competitive force of producing finished goods, then he could have gone to South Africa and ask the South African people to buy Tanzania wine and not inviting them to come and farm grapes!
So there goes in short of what Mchungaji would have done (Kagame, Kabila even Kaguta and others have done this) and the woes of Upinzani about Buzwagi and even EPA could have been silenced!
I guess this is the point when one ends up agreeing with Lowassa on maamuzi magumu. Ni heri tukope kujenga nchi kwa kuwa uwezo wetu wa kiufundi ni mdogo lakini ni mkopo kwa vitu vya msingi na maana na si mikopo kununulia ma-VX au kutumia fedha kuzurura dunia nzima.
Umeme sasa hivi ni nyenzo ya pili baada ya kilimo kama uti wa mgongo. Hata hicho kilimo kitagotagota kama hakuna miundombinu imara ya kuwezesha uongezekaji wa uzalishaji mali na uchukuzi wake.
What else would you like to hear from me in regards to what I wrote?