Majibu ya hoja za uzi kwanini ardhi ya Mbagala haina thamani nitajibu humu

Uwepo wa vitu hivyo hauna maana kila anyeishi huko anapesa huko Kuna watu wanagombana kununua umeme kwenye nyumba za kupanga nao wanakaa kinondoni
Ndio maana nikasema mambo yanayoiheshimisha wilaya Kinondoni

Hivyo vitu vya kawaida kwenye nyumba za kupanga

Ila ndo hivyo wilaya ya Kinondoni ni zaidi ya wilaya ya Temeke katika nyanja nyingi tu
 
Kinondoni maeneo duni yapo mengi tu pia TEMEKE maeneo ya watu wakipato Cha Kati na Cha juu tu yapo mengi semaa hauijui Temeke,unapajua mbagala tu

...mfano was maeneo duni Sana ya kinondoni

1)
.Kawe Mzimuni uswaz Sana pameachwa mbali Sana na Mbagala yote kwa Ujumla
2.Tegeta kwa Ndevu eneo la Msichoke ni hatari na ukabaji ni Jambo la kawaida hakuna Barabara za kupita mavi hovyo hovyo kutapakaa mitaani Miguu ya kuku na utumbo kawaida Sana
3.Tegeta Machinjoni mpaka Uwanja wa Panga ni hatari tupu hapafai kwa Maisha ya binadamu vibaka ni Wengi wanakaba mpaka Mchana
4.Kunduchi Mtongani ni Uswazi hasa hata viwanja Bei rahisi Sana no value at all. Huko Panya road normal Sana.
5.Bunju Usalama yaani ni Vituko tupu hapo wamechanganyika Malofa na wanaojiweza
6.Mbweni Maputo huko ni hovyo sijawahi Maisha ya ajabu Kama hayo hapa Dar es salaam
7.Msasani Maandazi Road Kama unataka kwenda shoppers hakika nawaambieni Mbagala Ipo juu Sana kuliko Hilo eneo yaani ni chafu Sana muda wote linanuka tope na vinyesi
8. Kinondoni Shamba yaani ni Uswahilini iliyopitiliza Hali ya kawaida
9.Mwananyamala kuanzia kwa sindano,kidile,Manjunju, Mama yako yaani ni Uswahilini huwezi amini macho yako kukabwa na kuvunjiwa ni kawaida
 
Attachments

  • 1664947871040.gif
    1664947871040.gif
    42 bytes · Views: 14
  • 1664947871360.gif
    1664947871360.gif
    42 bytes · Views: 13
  • 1664947871729.gif
    1664947871729.gif
    42 bytes · Views: 11
  • 1664947872022.gif
    1664947872022.gif
    42 bytes · Views: 10
  • 1664947872311.gif
    1664947872311.gif
    42 bytes · Views: 9
  • 1664947872593.gif
    1664947872593.gif
    42 bytes · Views: 8
  • 1664947872870.gif
    1664947872870.gif
    42 bytes · Views: 7
  • 1664947873163.gif
    1664947873163.gif
    42 bytes · Views: 8
  • 1664947873467.gif
    1664947873467.gif
    42 bytes · Views: 6
  • 1664947873763.gif
    1664947873763.gif
    42 bytes · Views: 8
  • 1664947874071.gif
    1664947874071.gif
    42 bytes · Views: 6
  • 1664947874374.gif
    1664947874374.gif
    42 bytes · Views: 6
  • 1664947874720.gif
    1664947874720.gif
    42 bytes · Views: 6
  • 1664947875012.gif
    1664947875012.gif
    42 bytes · Views: 6
  • 1664947875350.gif
    1664947875350.gif
    42 bytes · Views: 6
  • 1664947875667.gif
    1664947875667.gif
    42 bytes · Views: 6
  • 1664947875978.gif
    1664947875978.gif
    42 bytes · Views: 7
  • 1664947876324.gif
    1664947876324.gif
    42 bytes · Views: 6
  • 1664947876606.gif
    1664947876606.gif
    42 bytes · Views: 5
  • 1664947876886.gif
    1664947876886.gif
    42 bytes · Views: 6
  • 1664947877182.gif
    1664947877182.gif
    42 bytes · Views: 5
  • 1664947877470.gif
    1664947877470.gif
    42 bytes · Views: 6
  • 1664947877791.gif
    1664947877791.gif
    42 bytes · Views: 11
Kinondoni maeneo duni yapo mengi tu pia TEMEKE maeneo ya watu wakipato Cha Kati na Cha juu tu yapo mengi semaa hauijui Temeke,unapajua mbagala tu

...mfano was maeneo duni Sana ya kinondoni

1)
.Kawe Mzimuni uswaz Sana pameachwa mbali Sana na Mbagala yote kwa Ujumla
2.Tegeta kwa Ndevu eneo la Msichoke ni hatari na ukabaji ni Jambo la kawaida hakuna Barabara za kupita mavi hovyo hovyo kutapakaa mitaani Miguu ya kuku na utumbo kawaida Sana
3.Tegeta Machinjoni mpaka Uwanja wa Panga ni hatari tupu hapafai kwa Maisha ya binadamu vibaka ni Wengi wanakaba mpaka Mchana
4.Kunduchi Mtongani ni Uswazi hasa hata viwanja Bei rahisi Sana no value at all. Huko Panya road normal Sana.
5.Bunju Usalama yaani ni Vituko tupu hapo wamechanganyika Malofa na wanaojiweza
6.Mbweni Maputo huko ni hovyo sijawahi Maisha ya ajabu Kama hayo hapa Dar es salaam
7.Msasani Maandazi Road Kama unataka kwenda shoppers hakika nawaambieni Mbagala Ipo juu Sana kuliko Hilo eneo yaani ni chafu Sana muda wote linanuka tope na vinyesi
8. Kinondoni Shamba yaani ni Uswahilini iliyopitiliza Hali ya kawaida
9.Mwananyamala kuanzia kwa sindano,kidile,Manjunju, Mama yako yaani ni Uswahilini huwezi amini macho yako kukabwa na kuvunjiwa ni kawaida
Sawa sasa tuanze kulinganisha maeneo yenye hadhi kati ya wilaya ya Kinondoni na wilaya ya Temeke.

Nitataja eneo la wilaya ya Kinondoni halafu uniambie tunaweza kuifananisha na sehemu gani katika wilaya ya Temeke

Twende hatua kwa hatua

Nitajie ni wapi katika wilaya ya Temeke kuna eneo lenye hadhi kama Mbezi Beach?
 
Ameshakubali huyo mwambie wajisifie vingine ila sio kuiponda sehemu asiyo ifahamu.
 
Hata mimi nimeliona. Wilaya ya Kinondoni hawaijui hao.

Ila ukiwakuta wazawa kabisa wa Temeke huwa wanakiri tu kwamba kule wanaishi uswahilini
Mzee hiyo comment ni ya kukuponda, Mimi nimezaliwa ward namba 14 Temeke.

Nimekulia Mtaa wa Likwati Wailesi, na kusoma shule ya Msingi Miburani.

Ila sikubaliani na hoja zako
 
Sawa sasa tuanze kulinganisha maeneo yenye hadhi kati ya wilaya ya Kinondoni na wilaya ya Temeke.

Nitataja eneo la wilaya ya Kinondoni halafu uniambie tunaweza kuifananisha na sehemu gani katika wilaya ya Temeke

Twende hatua kwa hatua

Nitajie ni wapi katika wilaya ya Temeke kuna eneo lenye hadhi kama Mbezi Beach?
Sawa sasa tuanze kulinganisha maeneo yenye hadhi kati ya wilaya ya Kinondoni na wilaya ya Temeke.

Nitataja eneo la wilaya ya Kinondoni halafu uniambie tunaweza kuifananisha na sehemu gani katika wilaya ya Temeke

Twende hatua kwa hatua

Nitajie ni wapi katika wilaya ya Temeke kuna eneo lenye hadhi kama Mbezi Beach?
Chang'ombe eneo la Kati ya barabara ya chang'ombe kuelekea TCC club Hadi barabara ya uwanja wa taifa
 
Ameshakubali huyo mwambie wajisifie vingine ila sio kuiponda sehemu asiyo ifahamu.
Nimezaliwa na nimekulia Afrika Sana sio Afrika Sana hi yenye madada poa wanaojiuza kipindi hicho hata saa sita usiku ulikuwa unaweza kupita na watu wa heshima
 
Bila kusahau #security wise ya eneo matter,Nina ndugu yangu amejenga mbagala,amehama na kununua Boko Kwa hela nyingi Kwa maswala ya usalama wake na familia.
-kama nataka kabwakabwa nenda mbagala.
Ni huzushi na uongo mkubwa sana
Watu wa Chamanzi watu wa Mbande watu wa Kisewe wqnamaisha mazuri km wa Goba au kuwazidi
Ukienda maeneo ya Chamanzi Kuna Night club zinajaza watu mpaka asubui usalm usingekuwepo siwangekuwa wanakabwa
Kwa ufupi uko panya road walikuwa wanawasikia
 
Sawa sasa tuanze kulinganisha maeneo yenye hadhi kati ya wilaya ya Kinondoni na wilaya ya Temeke.

Nitataja eneo la wilaya ya Kinondoni halafu uniambie tunaweza kuifananisha na sehemu gani katika wilaya ya Temeke

Twende hatua kwa hatua

Nitajie ni wapi katika wilaya ya Temeke kuna eneo lenye hadhi kama Mbezi Beach?
Mtoni Kijichi
 
Kwanza ncheke 🤣🤣🤣

Hivi kweli Chang'ombe ya kuifananisha na Mbezi Beach?

Wewe kweli huu mjii bado
Maeneo niliyokutajia unayajua? Mbezi beach Kuna kipi cha ziada ukitoa magorofa,magari? Kwanza mbezi beach yenyewe uswahilini kupo.(tatizo mlokuja mjini mnajiona mnajua mji kuliko waliozaliwa).
Ngoja nikuekeze maeneo ya uswahi huko mbezi beach(braza wangu mmoja anakaa huko)...
Katika ukuta was kiwanda Cha Chemicotex ule upande was mwanzoni Kuna ile Barbara ukiinyoosha mpaka mwisho Kuna makaburi upande wa kushoto Kuna kanisa,ukitembea kuelekea upande wa kulia kwambele Kuna nyumba za kupangisha mpangilio upo hovyo kunanyumba za kupangisha za Bei nafuu Tena za Hali ya chinii
 
Maeneo TCC club ilipo unapajua? Maeneo ya ndani yanayozunguka uwanja wa taifa unapande wa chang'ombe unayajua? Unafahamu kuwa nyumba nyingi nii gorofa binafsi na appartment zenye hadhi?
Kwanza ncheke 🤣🤣🤣

Hivi kweli Chang'ombe ya kuifananisha na Mbezi Beach?

Wewe kweli huu mjii bado
 
Mtoni Kijichi bado. Inaonekana wewe Mbezi Beach huijui
Naijua vizuri sana na nimewahi kuishi, tulikuwa na nyumba yetu kabisa tukauza.

Sasa tumehamia Mtoni Kijichi. Labda hiyo unayoijua wewe siyo hii ambayo maeneo yake yamepimwa na barabara zimepitishwa za lami.
 
Maeneo niliyokutajia unayajua? Mbezi beach Kuna kipi cha ziada ukitoa magorofa,magari? Kwanza mbezi beach yenyewe uswahilini kupo.(tatizo mlokuja mjini mnajiona mnajua mji kuliko waliozaliwa).
Ngoja nikuekeze maeneo ya uswahi huko mbezi beach(braza wangu mmoja anakaa huko)...
Katika ukuta was kiwanda Cha Chemicotex ule upande was mwanzoni Kuna ile Barbara ukiinyoosha mpaka mwisho Kuna makaburi upande wa kushoto Kuna kanisa,ukitembea kuelekea upande wa kulia kwambele Kuna nyumba za kupangisha mpangilio upo hovyo kunanyumba za kupangisha za Bei nafuu Tena za Hali ya chinii
Mbezi Beach maeneo ya kwa Zena, Afrikana kuelekea kule white sand

Au Kunduchi beach kwenda hadi Bahari beach kuanzia chuo cha NDC mpaka Uninio utapafananisha na Mtoni Kijichi mkuu?
 
Back
Top Bottom