lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,190
Naaam unasemaje MR IGNORACE IRAMUSM?Angalau kuna mtu anajaribu ku-dilute hizi "mis-education za lara 1".
Naaam unasemaje MR IGNORACE IRAMUSM?Angalau kuna mtu anajaribu ku-dilute hizi "mis-education za lara 1".
Nina miaka 40! Ndo maana vimenniuma! ANY FURTHER QN YOUR HIGHNESS?Jamani naomba tu nijibiwe huyu lara moja atakuwa na umri gani..... Naomba siku ya harusi nifike mchango ninao na zawadi ninayo
Na mkija kuwaponda single ladies MSEME UKWELI TUNAWAPONDA ILA HALI KULE NAISHIKILIA KWA MAOMBI!Tuzioombee ndoa ziwe salama.Ndoa zikivunjika sana jua na kizazi chetu hakitakuwa salama.Sisi sote ni matunda ya ndoa( kila mmoja amezaliwa na baba na mama).
NDOA ZA WANAZOJIHESHIMU NDO NITAZIHESHIMU TUUUU HIZI ZA HYPOCRICY MTANISAMEHE BUREEEEEE! Haiwezekani nikutajie the AFTER PILLS afu kesho niiheshimu ndoa yako! Thubutuuuuuu! Au najua kabisaa kimada wako flani niheshim ndoa yajko! Thubutuuuuuu!Asante mkuu kwa wazo zuri ...ubarikiwe ndoa na iheshimiwe
Life is how you make it.. happiness ndani ya ndoa inatengenezwa na wanandoa wenyewe.. sio watu wa nje ya huo muungano. Uliye nje ya hiyo ndoa huwezi kuongelea furaha ya ndoa ambayo hauuishi. hata mi naweza iongelea vizuri ndoa yangu, lakini si ya mtu mwingine. Furaha zao wanazijua wenyewe, mi naijua yangu tuNawahi nafasi! Nimerudi!
YES MARRIAGE IS A HYPOCRITICAL INSTITUTION SIFUTI KAULI!
Married people should be honest and stop window dressing of facts THAT THEY ARE THE HAPPIEST, LUCKIEST, AND BETTER THAN EVERYBOY HAVING A HEAVEN ON EARTH AND SINGLE OLD CARGOS LIKE ME SHOULD GO HUG A TRANSFOMER BECAUSE WE ARE PITYFULL! Hypocrisy at its highest!
IT ABOUT TIME WE PUT ALL THE CARDS ON THE TABLE!
Ndoa ni maisha halisi mkuu siyo maagizo eti mtu kaolewa anataka kila siku apelekwe hoteli na mmewe hajui kwamba kupika ni sehemu ya uhalisia wa ndoa?
2. Kweli nimetahadharisha si wanandoa tu, bali BINADAMU KWA UJUMLA WETU kuwa maisha ni safari ndefuu sanaaa, ukicheka leo kesho huenda unune nanikaenda mbali sanaa kuwaomba bin adaam MUMUOMBE MUNGU AWAFANYIE WEPESI MIZIGO YENU ......!
Jamani naomba tu nijibiwe huyu lara moja atakuwa na umri gani..... Naomba siku ya harusi nifike mchango ninao na zawadi ninayo
Hahahahahaha alafu naona leo tukeshe na baikoko hapa.
NOT LIFE MY DEAR PEOPLEEEEEE! UGRATEFUL PEOPLE!Life is how you make it.. happiness ndani ya ndoa inatengenezwa na wanandoa wenyewe.. sio watu wa nje ya huo muungano. Uliye nje ya hiyo ndoa huwezi kuongelea furaha ya ndoa ambayo hauuishi. hata mi naweza iongelea vizuri ndoa yangu, lakini si ya mtu mwingine. Furaha zao wanazijua wenyewe, mi naijua yangu tu
Every marriage is unique in its own way... ndoa hazifanani.. kila couple inaishi ndoa yake kwa style yao wenyewe, na sio kwa kuiga ndoa na styles za watu wengine.. we create our own happiness. so if married people think they are happy, just let them be.
we also don't discourage/ pity people who have chosen to be single and happy. most of the times ni wao wenyewe ndio huwa wanajihisi hivyo. Na sidhani kama kuna upande ulio better kuliko mwingine. yote ni maisha tu, na hakuna haja yaupande mmoja kudiscourage upande mwingine
Nakubaliana na wewe kwamba, mtu asioe/ kuolewa kwa kuogopa kwamba umri unaenda.
Baaaaado ndoa inabaki kuwa kitu chema!
nikikosea mimi kwangu hena mana utakosea kweny hilo!
mapungufu yangu hayamaanishi hakuna niliuo bora kwayo!
NANI ASIE NA MAPUNGUFU! Sawa ni jambo jema ila taasis mnaiendesha kinafiki!
NDOA INA MIAKA 28, MIMI WA MWISHO NA WATOTO WOTE WAMEZALIWA NDOANI! My motherwas a woman of virtues,
NANI ASIE NA MAPUNGUFU! Sawa ni jambo jema ila taasis mnaiendesha kinafiki!
Pole kwa kazi nzito