mkabasia
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 3,038
- 2,740
Samahani mkuu nilikuwa sijaona wengine kama wapo waache mchezo mchafu.Ndoa na iheshimiwe na watu wote.
Umejibu kwa hekima
Samahani mkuu nilikuwa sijaona wengine kama wapo waache mchezo mchafu.Ndoa na iheshimiwe na watu wote.
Kwahiyo we mwana wa kulwa sivyo?
Atajibeba leo...!!!
amekunywa soda zetu...!!!
Atajibeba leo ...!!!
Amekula keki yetu...!!!
Atajibeba leo....!!!!
Amevaa dera letu...!!!
Kakalia kujisifia suraa tu WAKATI ENGINE IMEKAKAMAA KAMA GARI IMEKATA CENTRE BOLT! Mbele hachezi nyuma hatikisikiiiii! Huyu mwali kweli kigegooooooo! Ma kungwi tumekula hasaraaaa!
mimi sijui ninachotaka ujumbe ufike hilo mnajua nyinyi watu wa mipasho jana mbona hamkumuuliza shost wenu leo unauliza.Ndoa na iheshimiwe na watu wote.
Mkuu umeongea sana mkuu kiufupi watu wana stress humu zakupigwa chini mara kwa mara nakukataliwa wakati vikao vya harusi vimeshaanza,watu wana msongo mkubwa wa mawazo mkuu,mtu ashakuwa na wanaume lukuki ila kila akiulizia ndoa jamaa anakata mguu ghafla,sa kwa nini asiwe na mawazo yakuponda ndoa wakati ndoa ni mpango SAHIHI aliouweka MUNGU kwa kila mwanadamu jinsi yakuishi ukishakuwa mtu mzima...binafsi sijaoa ila ninawaheshimu sana nakuwapa pongezi waliopo ndani ya ndoa,matatizo yapo kila mahali na katika mahusiano yoyote hata huku kwa ambao hawajaoa pia yapo ila kitu kinaitwa UVUMILIVU na KUJITAMBUA kwa nini upo hapo ndio silaha tosha yakuishi vyema.
Naaam, ndoa na iheshimiwe na watu wote.
Jibu hojaaa siokuzunguka mbuyu! Jibu hoja ya Ruta hapo!
Kigodoro kiendele bhana..........raha
CCM yenyewe mkuu tumeivumilia pamoja na ufisadi eti ndoa watu wasivumilie....umemaliza kila kitu mkuu.
Hhhhhhh aaaaaaaaaaa kalalaaaa doloooooooooooooooo huyoooo
ng`wana ong`wa kulwa sawa mkuu pole mods labda wameona umepemba sana...... au yalikuwa too personal ... isiwe hoja ila ni kutupa tu mwelekeo kwamba kwenye ndoa kuna mazuri na kuyasema any way its okey na pole all good and bad are made for us... okey
Ndoa na iheshimiwee kaka yangu ,
Kwa geshima yako nimetoka kwenye kigodorokuja kujibu hapaaa! Okay! What do we have here!
NA KUWA. NA TABIA NYINGI HAKUPOTEZI KWA NAMNA YOYOTE, AU KUFIFISHA TABIA HIO MOJA SUGU NA MAARUFU YA HYPOCRICY! Na hii tabia nimeiona kwenye ndoa za mazingira TOFAUTI TOFAUTI wanachozidiana ni level tu ya HYPOCRICY! Ila HYPOCRICY WAS CONSTANT REGRDLESS DIEFFERENT ENVIRONMENT OBSERVED!
MARRIAGE IS A HYPOCRITICAL INSTITUTION HENCE PROVED BEYOND REASONABLE DOUBT!
Kama imefikia iyo point hamna ambae angekubali kuingia kuzimu.Sana sana watu naona wanakimbilia kuingia humo.
Umejibu kwa hekima
sina nyongeza mkuu umemaliza.ndoa na iheshimiwe na watu wote.