ushuhuda ulikuwa unajenga ila naona lara 1 ni maarufu sana jf na huenda kuna mkono wake,kweli ninashukuru Mungu kwa waliowahi kuusoma.
Samaki mmoja akioza haimaanishi wote wameoza.Kuna watu wanafuraia ndoa zao mpaka unatamani ukimaliza kusoma hii thread na we ukaolewe.
Kuna wengine wanateseka na ndoa mpk utatamani sa ivi umwambie boyfriend wako its over.
Kuna pia walio single maisha yao hayaeleweki kama chura.Kuna wale pia wanafuraia maisha mpk utatamani kweli usioe au usiolewe.
Haya maisha yasikudanganye focus on your goals.
Watu wakiambiwa mazuri yaliyopo kwenye ndoa wanasema unafki.Wanataka waskie mabaya tu ili kesho watoe shuhuda kwamba hawataolewa haraka.Naunga mkona ndoa na iishimiwe.
pamoja mkubwa kuomba msamaha ni sehemu ya usitaarabu.
ushuhuda ulikuwa unajenga ila naona lara 1 ni maarufu sana jf na huenda kuna mkono wake,kweli ninashukuru Mungu kwa waliowahi kuusoma.
hehehe na still una kadi mia za kitchen party apo na arusi....sasa kwa experience yote iyo si uingie na ww ukaumie...maana kilio cha wengi arusi sasaaa...ingia tu mpenz au hamna wakuingia nae..atoke wapi!!!tobaa!!!
Ha ha ha ha ha mi sijui bwana leave it
Ndio ivo,tuziombee tu ndoa ili kizazi chetu kiwe salama.
Watu wakiambiwa mazuri yaliyopo kwenye ndoa wanasema unafki.Wanataka waskie mabaya tu ili kesho watoe shuhuda kwamba hawataolewa haraka.Naunga mkona ndoa na iishimiwe.
Mwenyewe ingawa sijaolewa kiukweli ndoa na iheshimiwe na watu wote siwazi kuiongelea vibaya wakati sijaingia wala sina experience matatizo yako kila.mahali tu ku learn kwa watu walioshindwa lazima ukate tamaa changamoto zipo kila mahali ndoa na iheshimiwe na watu wote
Tuzioombee ndoa ziwe salama.Ndoa zikivunjika sana jua na kizazi chetu hakitakuwa salama.Sisi sote ni matunda ya ndoa( kila mmoja amezaliwa na baba na mama).
Hahahahahaha alafu naona leo tukeshe na baikoko hapa.
Kama mnakubaliana kwenye hilo, mnabishana wapi?
Hujanielewaa! Ndoa naipa nafasi nyingi SEMA ULE UZI ULIKUWA MAALUMU KWA SIFA HII YA HYPOCRICY!
Hapo kwenye bluu
Acha nami nijifunze juu ya consistency hii ya hypocricy kwenye ndoa, na kwa nini tabia hii iwe ndio kigezo nambari moja cha kuipa ndoa nafasi unayoipa Lara1.
Asante
Na nyie mbona mnakomali MAZURI TUUU? Wachache mnoo miongoni mwenu wamekubali mabaya yana exists!Watu wakiambiwa mazuri yaliyopo kwenye ndoa wanasema unafki.Wanataka waskie mabaya tu ili kesho watoe shuhuda kwamba hawataolewa haraka.Naunga mkona ndoa na iishimiwe.