Majibu kwa hotuba ya Lissu Bungeni

Majibu kwa hotuba ya Lissu Bungeni

Napenda kutoa mfano hai wa jinsi kutotoa instrument hizo tayari umeitia doa serikali

baada ya aliyekuwa Mkurugenzi wa NSSF kuteuliwa balozi, mmojawapo na waziri alikurupuka na kumteua Mkurugenzi wa kukaimu nafasi ambaye baadae alitenguliwa na Ikulu.

maana yake ni nini? Rais kwa maelezo ya mtoa mada hapa na katiba ndivyo inavyosema ni waziri lakni anapomteua mtu mwingine kuwa waziri anamkaimisha mamlaka yake. Tunatambua rais pekee ndio mwenye mamlaka kisheria kumteua Mkurugenzi wa mashirika ya umma inlcuding NSSF.

kwa hiyo basi kwa sababu waziri yule alikaimishwa mamlaka ya rais alikuwa sahihi kumteua Mkurugenzi Mtendaji wa NSSF ingawa wadau walipiga kelele kaingilia mamlaka za uteuzi.

Kama mamlaka yaliyokasimishwa kwa waziri na aliyojibakishia Rais yalikua gazetted mkanganyiko huo usingetokea kamwe maana ingekua inafahamika wazi rais kakasimisha mamlaka gani kwa wasaidizi wake na mamlaka gani imebakia kwake.

Naomba kuwakilisha
 
Ningependa kujibu hoja ya Lisu kuhusina na kauli aliyoitoa kwamba kwakua Mpaka sasa Rais Hakutoa Tangazo la serikali ili kukasimisha majukumu ya mawaziri kwa mawaziri waliopo kwamba kunafanya maamuzi yaliyotolewa na mawaziri kabla ya kutoa Tangazo hilo kua batili, kua kauli hiyo sio sahihi na kwamba imetolewa kwa lengo la kisiasa tu la kupotosha jamii kutokana na ukweli ulipo, nazungumza hivyo kutokana na maelezo nitakayoyatoa hapa;

1. Ni kweli kwamba kama hakuna waziri,Rais pekee ndie anakua waziri wa wizara husika na ni kweli kwamba kulingana na sheria za nchi yeye ndiye waziri namba moja, hivyo anapoteua mbunge yoyote yule kua waziri moja kwa moja anampa mbunge huyo mamlaka yake kama waziri namba moja, na Utaratibu wa kisheria ni kwamba waziri anapoteuliwa na kukubali uteuzi na kuapishwa kama Waziri anakua na mamlaka kamili kuhusiana na wizara husika kama angalikua nayo Rais. Tafsiri hii inapatikana kutokana na Kifungu cha 4 kinachotoa tafsiri; Cha sheria ya Tafsiri, sura ya kwanza ya sheria za Nchi, kama ilivyohaririwa mwaka 2002 inasema ( Section 4 of the Interpretation of Laws Act, Cap 1 , R.E 2002);

" Minister has the meaning given in Section 9 of this Act, in addition it includes the Vice President, the Prime Minister, andthe Minister, means the Minister Responsible for the matter in question and includes the Deputy Minister for the timem being performing the functions of that Minister or, if there is no minister responsible for the matter in question, mans the President"

Baada ya kuangalia Tafsiri ya sheria kuhusu nini Maana ya Waziri ni vyema tukaangalia namna waziri anavyoteuliwa,

Ibara ya 55 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya Mwaka 1977, Sura ya Pili ya sheria ya Nchi inasema ( The Constitution of the United Republic of Tanzania, 1977 Cap 2 of the Laws of the United Republic of Tanzania)

55.-(1) All Ministers who are members of Cabinet by virtue of Article 54 shall be appointed by the President after consultation with the Prime Minister and they shall be responsible for such offices as the President may, from time to time, by writing under his hand and the Public Seal.

(2) In addition to the Ministers referred to in subarticle (1) the President may, after consultation with the Prime Minister, appoint Deputy Ministers. All Deputy Ministers shall not be members of Cabinet.

(3) The President may appoint any number of Deputy Ministers who shall assist Ministers in the discharge of their duties and functions. i

(4) All Ministers and Deputy Ministers shall be appointed from among Members of Parliament.

(5) Notwithstanding the provisions of subarticle (4), in the event that the President is obliged to appoint a Minister or a Deputy Minister after dissolution of Parliament then he may appoint any person who was a Member of Parliament

Tafsiri ya Ibara ya katiba hapo juu ni kua Waziri anateuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kushika majukumu ya uwaziri wake baada ya Rais kushauriana na Waziri Mkuu.

Waziri mteule atakua na mamlaka ya uwaziri katika wizara husika baada ya kupewa hati ya uteuzi yenye mhuri na sahihi ya Rais wa Jamhuri.

Ili waziri awe waziri kamili baada ya uteuzi wake, inabidi aape mbele ya Rais kiapo cha utii na kutimiza wajibu wa uwaziri wa wizara husika aliyoteuliwa; Katiba ya jamhuri ya Muungano Ibara ya 56 inasema;

Art. 56.A Minister or a Deputy Minister shall not assume office until he has first taken and subscribed before the President, the oath of allegiance and such other oath relating to the execution of the functions of his office as may be prescribed by an Act of Parliament.

Tafsiri yake ni kwamba Waziri hatakua waziri kamili mpaka atakapofanya kiapo cha utii mbele ya rais na kiapo cha kutimiza majukumu ya uwaziri mbele ya Rais.

Kwa kuangalia Maneno yaliyomo katika vifungu vya sheria tajwa hapo juu, utaona kua waziri anapata nguvu kamili za uwaziri baada ya kuapa mbele ya rais na kupewa hati ya uteuzi yenye sahihi na mhuri wa rais.

Kutokana na hoja ya Lisu kua mawaziri wamefanya majukumu yao kinyume na utaratibu wa sheria na hivyo kufanya maamuzi yao kua batili kwa kua hakuna tangazo la serikali ya kukasimisha majukumu ya uwaziri, kauli hiyo inatupeleka kwenye mjadala wa JE Waziri anakua waziri baada ya kuapishwa ama baada ya tangazo la serikali?

Wakati tukitafuta majibu ya Swali lililojitokeza ni vyema kwanza tukapata tafsiri ya nini maana ya Tangazo la Serikali au Government Notice;

Sheria ya Tafsiri ya Sheria ama ( The Interpretation of Laws Act) inatupa majibu, katika kifungu cha 4 kinasema;

" Government Notice means any subsidiary legislation made by the President, a minister or other public officer or authority pursuant to the power conferred by any Act"

Nini maana ya Subsidiary legislation;

Kifungu cha 4 cha sheria Tajwa kinasema;

" Subsidiary legislation means any order, proclamation, rule,rule of court,regulation,notice,by-law, or instrument made under any Act, or any other lawful authority"

Kifupi baada ya kupitia kifungu cha tafsiri ya sheria, utaona kwamba, maana ya tangazo la serikali ni kua ni wakara unaotokana na maamuzi, au amri au tangazo kwa uma, kutokana na sheria zilizopo au mamlaka yoyote husika.

Ili tuweze kupata maana ya Tangazo la serikali kulingana na hoja ya lisu tunapata maana kwamba, Rais alipaswa kutoa waraka kwa uma kukasimisha mamlaka ya uwaziri kwa baadhi ya wateule"

Sasa tuangalie hoja zifuatazo; je waziri anasita kua waziri kwakua hakutangazwa kwa uma kupitia waraka? Jibu ni hapana kwakua Sheria za nchi zinasema kwamba Waziri atakua waziri kamili mara baada tu ya kuapa mbele ya rais na kupata hati ya uteuzi yenye mhuri na sahihi ya Rais.

Swali la kujiuliza ni JE? kuna waziri yoyote katika serikali ya sasa anayefanya majukumu yake bila ya kua na hati ya uteuzi wala bila kuapa kiapo cha utii mbele ya Rais? Jibu ni Hakuna.

Tangazo la rais la kukasimisha mamlaka ya uwaziri ni taratibu tu za kiserkali ambazo tumejiwekea ili kuweka mambo kua kitaalam zaidi na kukosekana kwa tangazo hilo hakumfanyi waziri kutokua waziri kwani jambo muhimu ambalo linahitajika ni KIAPO NA HATI YA UTEUZI.

Hivyo kwa hoja hizo, hoja ya Lisu inakosa uhalali kisheria na ni ya kisiasa inayopaswa kupuuzwa.
Hivi unadhani mbune lissu hafahamu hivyo???? Kwa hivi sasa jamaa hawa hawana hoja za msingi maana mwanzo walishikilia bango la ufisadi na alivyoingia JPM na uendeshaji wake wa serikali umewafanya wananchi wengi kumkubali
 
Maelezo kuntu!! Unajua hii mitandao inamdanganya sana Lisu kwa kumuona anajua sana sheria kuliko mtu yeyote. Wanashindwa kujua Lisu ni msaka tonge tu.
Lisu alikuja na mfano wa hoja kwa kuwa anajua kuwa chadema kwa sasa inavilaza wengi wanaomsikiliza bila kuhoji chochote anachokuja nacho. Hoja hii alikuja nayo mwenyekiti wake ikakosa kuungwa mkono. Kwa kuwa yeye ndiye mwanzilishi kaja na utetezi koko. Ushauri wangu kwake awe anaangalia uzito wa hoja zake kwa kuangalia uungwaji wake na wasomi, na si kuangalia vilaza wa chadema watampoteza.
 
Haya sio majibu ya serikali mkuu, haya ni maoni yangu binafsi kutokana na kile kilichozungumzwa na Lisu Bungeni nimeandika kutokana na namna nilivyopitia vufungu vya sheria nilivyoviweka, i might or might not be right. as well as he might or might not be right.
kama ulijua hivyo mbona umeconclude kwamba hoja ya Lisu ni batili na ya kupuuzwa Wakati huohuo unasema unaweza kuwa right or wrong! Umechanganya probability na certainty kwa wakati mmoja which is a contradiction.
 
Sheria husika ipo katika lugha ya kiingereza, weka tafsiri yako ambayo wewe unaona ni sahihi, ni sheria hizo hizo ndizo anazitumia lisu kujenga hoja yake, nimeweka majibu yangu, which is subject to discussions and kama kuna clarifications mahali unaweza fanya,

je ni lazima kuwe na "instruments" kwa wizara na zina umhimu?
 
Kosoa alipokosea usiletelongolongo wasomi tumemsoma, sheria za nchi yetu nyingi ziko kwenye lugha ya malkia.
TUNATAKA BUNGE LIVE WENGINE HATUKUONA KITU KIZIMA. UMEMEGA KIPENGERE UKAKILETA. PICHA NZIMA ALIONGEA NN.... Utafafanua ukucha wa tembo kitabu kizima TEMBO MWENYEWE UKATUMIA KURASA MOJA
 
Ningependa kujibu hoja ya Lisu kuhusina na kauli aliyoitoa kwamba kwakua Mpaka sasa Rais Hakutoa Tangazo la serikali ili kukasimisha majukumu ya mawaziri kwa mawaziri waliopo kwamba kunafanya maamuzi yaliyotolewa na mawaziri kabla ya kutoa Tangazo hilo kua batili, kua kauli hiyo sio sahihi na kwamba imetolewa kwa lengo la kisiasa tu la kupotosha jamii kutokana na ukweli ulipo, nazungumza hivyo kutokana na maelezo nitakayoyatoa hapa;

1. Ni kweli kwamba kama hakuna waziri,Rais pekee ndie anakua waziri wa wizara husika na ni kweli kwamba kulingana na sheria za nchi yeye ndiye waziri namba moja, hivyo anapoteua mbunge yoyote yule kua waziri moja kwa moja anampa mbunge huyo mamlaka yake kama waziri namba moja, na Utaratibu wa kisheria ni kwamba waziri anapoteuliwa na kukubali uteuzi na kuapishwa kama Waziri anakua na mamlaka kamili kuhusiana na wizara husika kama angalikua nayo Rais. Tafsiri hii inapatikana kutokana na Kifungu cha 4 kinachotoa tafsiri; Cha sheria ya Tafsiri, sura ya kwanza ya sheria za Nchi, kama ilivyohaririwa mwaka 2002 inasema ( Section 4 of the Interpretation of Laws Act, Cap 1 , R.E 2002);

" Minister has the meaning given in Section 9 of this Act, in addition it includes the Vice President, the Prime Minister, andthe Minister, means the Minister Responsible for the matter in question and includes the Deputy Minister for the timem being performing the functions of that Minister or, if there is no minister responsible for the matter in question, mans the President"

Baada ya kuangalia Tafsiri ya sheria kuhusu nini Maana ya Waziri ni vyema tukaangalia namna waziri anavyoteuliwa,

Ibara ya 55 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya Mwaka 1977, Sura ya Pili ya sheria ya Nchi inasema ( The Constitution of the United Republic of Tanzania, 1977 Cap 2 of the Laws of the United Republic of Tanzania)

55.-(1) All Ministers who are members of Cabinet by virtue of Article 54 shall be appointed by the President after consultation with the Prime Minister and they shall be responsible for such offices as the President may, from time to time, by writing under his hand and the Public Seal.

(2) In addition to the Ministers referred to in subarticle (1) the President may, after consultation with the Prime Minister, appoint Deputy Ministers. All Deputy Ministers shall not be members of Cabinet.

(3) The President may appoint any number of Deputy Ministers who shall assist Ministers in the discharge of their duties and functions. i

(4) All Ministers and Deputy Ministers shall be appointed from among Members of Parliament.

(5) Notwithstanding the provisions of subarticle (4), in the event that the President is obliged to appoint a Minister or a Deputy Minister after dissolution of Parliament then he may appoint any person who was a Member of Parliament

Tafsiri ya Ibara ya katiba hapo juu ni kua Waziri anateuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kushika majukumu ya uwaziri wake baada ya Rais kushauriana na Waziri Mkuu.

Waziri mteule atakua na mamlaka ya uwaziri katika wizara husika baada ya kupewa hati ya uteuzi yenye mhuri na sahihi ya Rais wa Jamhuri.

Ili waziri awe waziri kamili baada ya uteuzi wake, inabidi aape mbele ya Rais kiapo cha utii na kutimiza wajibu wa uwaziri wa wizara husika aliyoteuliwa; Katiba ya jamhuri ya Muungano Ibara ya 56 inasema;

Art. 56.A Minister or a Deputy Minister shall not assume office until he has first taken and subscribed before the President, the oath of allegiance and such other oath relating to the execution of the functions of his office as may be prescribed by an Act of Parliament.

Tafsiri yake ni kwamba Waziri hatakua waziri kamili mpaka atakapofanya kiapo cha utii mbele ya rais na kiapo cha kutimiza majukumu ya uwaziri mbele ya Rais.

Kwa kuangalia Maneno yaliyomo katika vifungu vya sheria tajwa hapo juu, utaona kua waziri anapata nguvu kamili za uwaziri baada ya kuapa mbele ya rais na kupewa hati ya uteuzi yenye sahihi na mhuri wa rais.

Kutokana na hoja ya Lisu kua mawaziri wamefanya majukumu yao kinyume na utaratibu wa sheria na hivyo kufanya maamuzi yao kua batili kwa kua hakuna tangazo la serikali ya kukasimisha majukumu ya uwaziri, kauli hiyo inatupeleka kwenye mjadala wa JE Waziri anakua waziri baada ya kuapishwa ama baada ya tangazo la serikali?

Wakati tukitafuta majibu ya Swali lililojitokeza ni vyema kwanza tukapata tafsiri ya nini maana ya Tangazo la Serikali au Government Notice;

Sheria ya Tafsiri ya Sheria ama ( The Interpretation of Laws Act) inatupa majibu, katika kifungu cha 4 kinasema;

" Government Notice means any subsidiary legislation made by the President, a minister or other public officer or authority pursuant to the power conferred by any Act"

Nini maana ya Subsidiary legislation;

Kifungu cha 4 cha sheria Tajwa kinasema;

" Subsidiary legislation means any order, proclamation, rule,rule of court,regulation,notice,by-law, or instrument made under any Act, or any other lawful authority"

Kifupi baada ya kupitia kifungu cha tafsiri ya sheria, utaona kwamba, maana ya tangazo la serikali ni kua ni wakara unaotokana na maamuzi, au amri au tangazo kwa uma, kutokana na sheria zilizopo au mamlaka yoyote husika.

Ili tuweze kupata maana ya Tangazo la serikali kulingana na hoja ya lisu tunapata maana kwamba, Rais alipaswa kutoa waraka kwa uma kukasimisha mamlaka ya uwaziri kwa baadhi ya wateule"

Sasa tuangalie hoja zifuatazo; je waziri anasita kua waziri kwakua hakutangazwa kwa uma kupitia waraka? Jibu ni hapana kwakua Sheria za nchi zinasema kwamba Waziri atakua waziri kamili mara baada tu ya kuapa mbele ya rais na kupata hati ya uteuzi yenye mhuri na sahihi ya Rais.

Swali la kujiuliza ni JE? kuna waziri yoyote katika serikali ya sasa anayefanya majukumu yake bila ya kua na hati ya uteuzi wala bila kuapa kiapo cha utii mbele ya Rais? Jibu ni Hakuna.

Tangazo la rais la kukasimisha mamlaka ya uwaziri ni taratibu tu za kiserkali ambazo tumejiwekea ili kuweka mambo kua kitaalam zaidi na kukosekana kwa tangazo hilo hakumfanyi waziri kutokua waziri kwani jambo muhimu ambalo linahitajika ni KIAPO NA HATI YA UTEUZI.

Hivyo kwa hoja hizo, hoja ya Lisu inakosa uhalali kisheria na ni ya kisiasa inayopaswa kupuuzwa.
Hata wewe unataka umjibu Lisu.....hahahahahh
 
Umeanisha vizuri sana. Ni kweli kwamba mawaziri huwa mawaziri kamili baada ya kula kiapo mbele ya rais.
Lakini, kabla hawajaanza kutimiza majukumu yao Umma unapaswa kutaarifiwa kwanza kupitia tangazo la serikali kama sheria ilivyoainisha.
Hivyo basi, uwaziri wao kwa nafasi ni halali lakini, bado hawajatambulishwa kwa umma ili wayaanze rasmi majukumu yao. Kitendo cha kutangazwa kwa umma ndiyo description kwao.

N.B
Haya uliyoyaket si majibu kwa hoja ya Lisu bali ni mjadala juu ya hija ya Lissu.

Nikubaliane nawe kwani sio wote watakaosikia fulani kateuliwa na raisi hivyo hivyo sio wote watakaoona wakiapishwa na raisi.Kutambuliwa kwao na wananchi ndio maana ikawepo hiyo gvt.gazette kuwajulisha wananchi ili wawape ushirikiano utakaokuwa unawatambulisha ki maandishi na halijafutwa kwa maana hiyo hiyo.Hivyo hoja ya Lissu bado inasimama.Siasa na sheria ni vitu tofauti.Wala usomi haumaanishi kuzijua sheria.Sheria huwezi kuitafsiri toka kiingereza kuwa kiswahili ukadhani umekamilika.Kuna utaalamu wa kukaa darasani miaka mingi kuitafsiri sheria na kukubalika kimahakama.Nao waliosomea na kuhitimu mbali ya vyeti vya madaraja mbali mbali itabidi bado uthibitishe uwezo wa kuzitafsiri sheria na ukifaulu utapewa leseni ya kuendesha shughuli kama hizo na Lissu anayo na wengine.Mleta uzi tuwekee sifa zako kwanza tujiridhishe na uwezo wako katika sheria.
 
Mleta mada hoja yako na hoja ya lissu haviko sambamba,wewe hoja yako imejikita kwenye kuonesha uhalali wa mawaziri,Lissu hoja yake haijajikita kwenye uhalali wa mawaziri!Hoja ya Lissu iko kwenye ukasimishaji wa madaraka,yaani baada ya mawaziri kuwa halali(kwa kula kiapo) then Rais anatakiwa awaeleze mamlaka yao ni yapi(mamlaka ya mawaziri sio stagnant,yanategemea Rais anatakaje).Na sheria inaelekeza ni namna gani mawaziri watapewa hizo dutie,ambapo sheria inamtaka Rais kutoa waraka huo kupitia gazeti la serikali.Hatari iliyopo kama utaratibu huu haufuatwi ni kwamba Mawaziri wanaweza kufanya maamuzi ambayo Rais hakuwapa mamlaka nayo!Ukipata waziri wa hovyo anaweza kufanya jambo baya ila Rais akashindwa kumchukulia hatua kwasababu hakumpa duties zake kama waziri.Kwa kukasimisha mawaziri wanakuwa wamepewa baraka kwa maamuzi yale tu waliyokasimishwa!Hii ndio hoja hasa ya lissu.Lissu hahoji uhalali wa mawaziri bali uhalali wa kisheria wa maamuzi yao!
 
Mnapenda kuchosha watu na hoja zenu mbuzi nyie ahhhhhhhh
 
Huu Ni upuuzi mwingine . We can't buy this idiot story.
 
Hana jipya huyo Lissu na safari hii ataisoma namba
 
Mtoa mada umesema vema kuwa rais ni waziri namba moja. Pia sheria ulizotaja zinamwelekeza rais kukasimu madaraka ya uwaziri wake kwa atakaokuwa amewateua. Sawa kabisa tena kwa kiapo, mhuri na mwandiko wa mkono wake. Linalosisukuma mimi ni kujua juu ya hicho kifungu cha sheria kinachohusu tangazo la rais kwa umma juu ya ukasimikaji wa baadhi ya uwaziri wake kwa wengine. Huoni ndio ukamilifu wa teuzi za mawaziri na zile sheria zingine za uteuzi? Ni kwanini afanye nusunusu wakati kuna sheria inayomsukuma kukamilisha? Au nafasi za mawaziri kuna probation period? Ya muda gani na kwa kifungu kipi cha sheria? Nijuavyo mimi, baada tu ya uteuzi na sio zaidi ya siku saba sheria inamtaka rais aujulishe umma kupitia gazeti la serikali juu ya uteuzi wa mawaziri. Siyo formality bali ni takwa la kisheria. Mwanasheria mkuu, waziri wa sheria na naibu wake walitakiwa kuwa wameziacha nafasi zao kwa kosa hili la kutomshauri rais vyema. Waache utetesi wao dhaifu. Mimi siyo mwanasheria na kama wamo humu tusaidieni msimwaachie Lissu peke yake.
 
Back
Top Bottom