Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,433
Nini kinachohamisha maji ya bahari kutoka point moja kwenda nyingine?Ukilala kitandani na ukajifunika shuka fupi, ili ufunike kichwa chako lazima miguu ibaki nje....na ili uifunike miguu lazima kichwa kibaki nje au wazi.
When there is low tide at one point of the ocean, there is high tide at another point of the ocean.
Kani ya uvutano kati ya mwezi na dunia MkuuNini kinachohamisha maji ya bahari kutoka point moja kwenda nyingine?
Maana ake maji baharini huwa hayatoshi?Ukilala kitandani na ukajifunika shuka fupi, ili ufunike kichwa chako lazima miguu ibaki nje....na ili uifunike miguu lazima kichwa kibaki nje au wazi.
When there is low tide at one point of the ocean, there is high tide at another point of the ocean.
Part of the answer. Dunia inakabiliwa na kani mbalimbali kulingana na magimba (bodies) yaliyopo angani. Pili, dunia hai-move (rotation & revolution) katika hali ya complete stillness and tranquility, bali inayumba fulani hivi as if inataka kuanguka vile lakini always iko katika balance.Kani ya uvutano kati ya mwezi na dunia Mkuu
In some sense, yes. But the logical point ni kwamba kwa vile ni too fluid--less viscous.Maana ake maji baharini huwa hayatoshi?
I second this BossIn some sense, yes. But the logical point ni kwamba kwa vile ni too fluid--less viscous.
Kwani jua likizama huenda wapi?Kwetu hakuna bahari, ila kuna ziwa kubwa sana. Mara ya kwanza kufika mikoa ya pwani nilishanga sana kuona bahari ikiwa kavu na maji yake yameondoka.
Ndipo nilipoikumbuka stori ya moja wa mshujaa wetu aitwaye Ng'wana Malunde. Huyu mwamba baada ya kuwasumbua sana wakoloni, walimua kumkamata na kwenda kumfunga Unguja, aliyeyuka huko gerezani na kuonekana maeneo mbalimbali akirandaranda na ndipo aliposimulia habari za bahari kwenda kuchunga.
Sasa nyie watu wenye bahari yenu, naomba mnijuze kwa kina, bahari ikipwa huenda wapi?
Naongezea nini husababishwa kupwa kwakeSasa nyie watu wenye bahari yenu, naomba mnijuze kwa kina, bahari ikipwa huenda wapi?
Majibu ya kujenga na kupanua fikra kwa tusiojuaPart of the answer. Dunia inakabiliwa na kani mbalimbali kulingana na magimba (bodies) yaliyopo angani. Pili, dunia hai-move (rotation & revolution) katika hali ya complete stillness and tranquility, bali inayumba fulani hivi as if inataka kuanguka vile lakini always iko katika balance.
It's like cycling. Kuna balance, lakini sometimes kuna kulalia kushoto na kulia. So, hizo forces (centrifugal, gravitation, strong winds, na elements zingine majini) huleta matokeo ya maji kuhamia upande mwingine provisionally.
Think like this. Weka maji kiasi (like three quarters) kwenye beseni. Then, linyanyue juu na kulizungusha beseni taratibu huku ukiliegamaza (tilt) huku na huko.
Swali zuri sanaNaongezea nini husababishwa kupwa kwake
πSwali zuri sana
1. Kwanini maji ya ziwa hayakupwi Wala kujaa licha ya Dunia kuyumbayumba?Part of the answer. Dunia inakabiliwa na kani mbalimbali kulingana na magimba (bodies) yaliyopo angani. Pili, dunia hai-move (rotation & revolution) katika hali ya complete stillness and tranquility, bali inayumba fulani hivi as if inataka kuanguka vile lakini always iko katika balance.
βοΈπ
Threaddddd kroziiiiiiiiiiUkilala kitandani na ukajifunika shuka fupi, ili ufunike kichwa chako lazima miguu ibaki nje....na ili uifunike miguu lazima kichwa kibaki nje au wazi.
When there is low tide at one point of the ocean, there is high tide at another point of the ocean.
Kila mahali penye water body duniani (hata maji ya kunywa kwenye bilauri π ) pana-experience tukio la kupwa na kujaa. It's just that some cases are more or less pronounced than others, kutokana na factors nilizotaja awali (the chief of which is the gravitational force--inayotegemeana na mass of an object).1. Kwanini maji ya ziwa hayakupwi Wala kujaa licha ya Dunia kuyumbayumba?
2. Kwanini maji ya bahari Dunia nzima yasijae upande ambao Dunia imelalia? Kuna mtu amesema kwamba maji yanapokupwa upande mmoja, jua kwingine yamejaa