Kupwa na kujaa kwa bahari

Kupwa na kujaa kwa bahari

Jibu la swali la kwanza.
Kupwa kwa bahari ni kitendo cha kupungua kwa maji ya bahari kwenye kingo - pwani zake katika eneo husika,
Kujaa kwa bahari ni kitendo cha kuongezeka kwa wingi kwa maji ya bahari kwenye kingo - pwani yake katika eneo husika.
Hivyo kupwa na kujaa kwa bahari kunasababishwa na mzunguko wa dunia katika mhimili wake, hali ya mzunguko wa dunia husababisha upande mmoja wa bahari kuwa na maji mengi kwenye kingo - pwani zake kwa masaa 12 na upande mwingine wa bahari kuwa na maji machache katika kingo - pwani zake kwa masaa 12 hicho kitendo ndio huitwa kupwa na kujaa kwa bahari.
Jibu swali la pili.
Mito, maziwa, mabwawa, visima n.k huwa havina sifa ya kupwa na kujaa kwa sababu ya udogo wao, ieleweke kwamba bahari huwa na sifa ya kupwa na kujaa sababu ya ukubwa wa bahari na bahari kuweza kuunganisha mabara zaidi ya moja yenye hali ya hewa tofauti mfn tunaona bahari ya hindi ilivyounganisha bara la afrika, asia, australia, antarctika n.k.
Pia tunaona sifa kama hizo kwa bahari kama pasifiki, atlantiki, mediterania n.k
Hivyo mito, maziwa, mabwawa n.k haviwezi kuwa na sifa ya kupwa na kujaa sababu vipo eneo moja la bara lenye sifa na tabia za nchi zinazofanana kama uoto, miinuko, hali ya hewa n.k.
Na ijulikane pia kwamba dunia huzunguka kutoka magharibi kwenda mashariki na ndio mana kwa upande wa mashariki mwa afrika tunapata hali ya kujaa kwa bahari kuanzia jioni na kuendelea.
Na pia kuzunguka kwa dunia katika mhimili wake husababisha matokeo mengine katika dunia kama usiku na mchana, kubadilika kwa masaa na kutokea kwa vipindi tofauti kama asubuh, mchana n.k
Uliza Swali lingine tafadhali kuhusu haya mambo, mana nipo kwenye mudi, ila
Watakuja wengine kuongezea zaidi.
 
Maelezo yako mazuri sana ila niliwahi kusafiri kwenda Mafia mwaka jana,kutokana na uzoefu wa wakazi na wavuvi kuna kipindi maji hujaa majira ya asubuhi. Je hapo unasemaje mkuu?
 
Kaka hivi kweli unaweza kujungumzia kupwa na kujaa kwa maji bila kuutaja Mwezi?, Mwezi ndio kila kitu kaka, hakuna kupwa wala kujaa(Bamvua) kwa maji kunakosababishwa na Mzunguko wa Dunia, mwezi ndio unaosababishwa kupwa na kujaa kwa maji
 
Upo sahihi mdau, kisiwa cha mafia kimezungukwa na maji pande zote hivyo huwa na hali zote za kupwa na kujaa kwa bahari kwa wakati mmoja kama ifuatavyo.
Ukiwa upande wa magharibi mwa kisiwa cha mafia mda wa asubuh huwa hali ya kujaa kwa bahari na ukiwa upande wa mashariki mwa kisiwa cha mafia mda wa asubuhi huwa na kupwa kwa bahari and the viceversa is true kwa mda wa jioni.
 
Kaka hivi kweli unaweza kujungumzia kupwa na kujaa kwa maji bila kuutaja Mwezi?, Mwezi ndio kila kitu kaka, hakuna kupwa wala kujaa(Bamvua) kwa maji kunakosababishwa na Mzunguko wa Dunia, mwezi ndio unaosababishwa kupwa na kujaa kwa maji
Upo sahihi mdau kwa upande mmoja kwani unachozungumzia ni kuongezeka kwa mawimbi ya bahari ambayo hutokea kipindi dunia, jua na mwezi vinapokuwa pamoja katika mstari mnyoofu.
Na hali ya kuongezeka kwa mawimbi ya bahari huwa kubwa zaidi endapo dunia, jua na mwezi huwa pamoja katika mstari mnyofu kwa mda mrefu zaidi sababu ya gravitational force.
Ila kupwa na kujaa kwa bahari husababishwa na mzunguko wa dunia katika mhimili wake na kuongezeka kwa mawimbi ya bahari husababishwa na dunia, mwezi na jua kuwa pamoja katika mstari mnyoofu.
Karibu tuendelee kujadili zaidi hili jambo
 
Jibu la swali la kwanza.
Kupwa kwa bahari ni kitendo cha kupungua kwa maji ya bahari kwenye kingo - pwani zake katika eneo husika,
Kujaa kwa bahari ni kitendo cha kuongezeka kwa wingi kwa maji ya bahari kwenye kingo - pwani yake katika eneo husika.
Hivyo kupwa na kujaa kwa bahari kunasababishwa na mzunguko wa dunia katika mhimili wake, hali ya mzunguko wa dunia husababisha upande mmoja wa bahari kuwa na maji mengi kwenye kingo - pwani zake kwa masaa 12 na upande mwingine wa bahari kuwa na maji machache katika kingo - pwani zake kwa masaa 12 hicho kitendo ndio huitwa kupwa na kujaa kwa bahari.
Jibu swali la pili.
Mito, maziwa, mabwawa, visima n.k huwa havina sifa ya kupwa na kujaa kwa sababu ya udogo wao, ieleweke kwamba bahari huwa na sifa ya kupwa na kujaa sababu ya ukubwa wa bahari na bahari kuweza kuunganisha mabara zaidi ya moja yenye hali ya hewa tofauti mfn tunaona bahari ya hindi ilivyounganisha bara la afrika, asia, australia, antarctika n.k.
Pia tunaona sifa kama hizo kwa bahari kama pasifiki, atlantiki, mediterania n.k
Hivyo mito, maziwa, mabwawa n.k haviwezi kuwa na sifa ya kupwa na kujaa sababu vipo eneo moja la bara lenye sifa na tabia za nchi zinazofanana kama uoto, miinuko, hali ya hewa n.k.
Na ijulikane pia kwamba dunia huzunguka kutoka magharibi kwenda mashariki na ndio mana kwa upande wa mashariki mwa afrika tunapata hali ya kujaa kwa bahari kuanzia jioni na kuendelea.
Na pia kuzunguka kwa dunia katika mhimili wake husababisha matokeo mengine katika dunia kama usiku na mchana, kubadilika kwa masaa na kutokea kwa vipindi tofauti kama asubuh, mchana n.k
Uliza Swali lingine tafadhali kuhusu haya mambo, mana nipo kwenye mudi, ila
Watakuja wengine kuongezea zaidi.
umejibu vzur saaana
TATZO HYO AVATAR ...
 
Kaka kwa kifupi ni kuwa japo Dunia inazunguka, lakini mwezi unaizunguka Dunia kwa kasi zaidi, hivyo basi Mwezi unapokuwepo hata kama hauko kwenye line moja na Dunia na Jua utasababisha high tide tu, yaani kama Mwezi upo mashariki ya Dunia utasababisha Maji kujaa Mashariki na Magharibi na wakati huohuo kutakuwa na Maji kupwa kati ya Kaskazini na Kusini na kinyume chake

Kwa maana hiyo, sio lazima maji kupwa na kujaa yatokee jioni tu kwa huku kwetu Tanzania eti kwa sababu Tanzania iko East, unaweza fika beach jioni ukakuta hakuna maji kabisa au utakuta ndio yanaondoka
 
Naweza kusema kupwa kwabahari =kuhama kwamaji yabahari??
 
Recall Newton's law of gravitational attraction.......

Kani ya mvutano kati ya dunia na mwezi hupelekea hilo swala..

From
F=G{Mm}/d2 where M=mass of earth and
m = mass of moon, d is distance between their center
How??
Mbona "G" haiathiri kwenye maziwa??
..."G" nihorizontal force??
 
Kaka hivi kweli unaweza kujungumzia kupwa na kujaa kwa maji bila kuutaja Mwezi?, Mwezi ndio kila kitu kaka, hakuna kupwa wala kujaa(Bamvua) kwa maji kunakosababishwa na Mzunguko wa Dunia, mwezi ndio unaosababishwa kupwa na kujaa kwa maji
How
 
Upo sahihi mdau kwa upande mmoja kwani unachozungumzia ni kuongezeka kwa mawimbi ya bahari ambayo hutokea kipindi dunia, jua na mwezi vinapokuwa pamoja katika mstari mnyoofu.
Na hali ya kuongezeka kwa mawimbi ya bahari huwa kubwa zaidi endapo dunia, jua na mwezi huwa pamoja katika mstari mnyofu kwa mda mrefu zaidi sababu ya gravitational force.
Ila kupwa na kujaa kwa bahari husababishwa na mzunguko wa dunia katika mhimili wake na kuongezeka kwa mawimbi ya bahari husababishwa na dunia, mwezi na jua kuwa pamoja katika mstari mnyoofu.
Karibu tuendelee kujadili zaidi hili jambo
It means jua au mwez ukipatwa mawimbi huongezeka??
 
Jibu la swali la kwanza.
Kupwa kwa bahari ni kitendo cha kupungua kwa maji ya bahari kwenye kingo - pwani zake katika eneo husika,
Kujaa kwa bahari ni kitendo cha kuongezeka kwa wingi kwa maji ya bahari kwenye kingo - pwani yake katika eneo husika.
Hivyo kupwa na kujaa kwa bahari kunasababishwa na mzunguko wa dunia katika mhimili wake, hali ya mzunguko wa dunia husababisha upande mmoja wa bahari kuwa na maji mengi kwenye kingo - pwani zake kwa masaa 12 na upande mwingine wa bahari kuwa na maji machache katika kingo - pwani zake kwa masaa 12 hicho kitendo ndio huitwa kupwa na kujaa kwa bahari.
Jibu swali la pili.
Mito, maziwa, mabwawa, visima n.k huwa havina sifa ya kupwa na kujaa kwa sababu ya udogo wao, ieleweke kwamba bahari huwa na sifa ya kupwa na kujaa sababu ya ukubwa wa bahari na bahari kuweza kuunganisha mabara zaidi ya moja yenye hali ya hewa tofauti mfn tunaona bahari ya hindi ilivyounganisha bara la afrika, asia, australia, antarctika n.k.
Pia tunaona sifa kama hizo kwa bahari kama pasifiki, atlantiki, mediterania n.k
Hivyo mito, maziwa, mabwawa n.k haviwezi kuwa na sifa ya kupwa na kujaa sababu vipo eneo moja la bara lenye sifa na tabia za nchi zinazofanana kama uoto, miinuko, hali ya hewa n.k.
Na ijulikane pia kwamba dunia huzunguka kutoka magharibi kwenda mashariki na ndio mana kwa upande wa mashariki mwa afrika tunapata hali ya kujaa kwa bahari kuanzia jioni na kuendelea.
Na pia kuzunguka kwa dunia katika mhimili wake husababisha matokeo mengine katika dunia kama usiku na mchana, kubadilika kwa masaa na kutokea kwa vipindi tofauti kama asubuh, mchana n.k
Uliza Swali lingine tafadhali kuhusu haya mambo, mana nipo kwenye mudi, ila
Watakuja wengine kuongezea zaidi.
Ahsante, Mkuu,!

Suali langu hili... ila huku kwenye Red Sea midoEast sijawahiona bahari kufanya zoezi hilo la kuupwa na kujaa nayo ni bahari kamili ? nini itakuwa sababu...??!!

ibn juma3 al-qaasimy
 
Kaka kwa kifupi ni kuwa japo Dunia inazunguka, lakini mwezi unaizunguka Dunia kwa kasi zaidi, hivyo basi Mwezi unapokuwepo hata kama hauko kwenye line moja na Dunia na Jua utasababisha high tide tu, yaani kama Mwezi upo mashariki ya Dunia utasababisha Maji kujaa Mashariki na Magharibi na wakati huohuo kutakuwa na Maji kupwa kati ya Kaskazini na Kusini na kinyume chake

Kwa maana hiyo, sio lazima maji kupwa na kujaa yatokee jioni tu kwa huku kwetu Tanzania eti kwa sababu Tanzania iko East, unaweza fika beach jioni ukakuta hakuna maji kabisa au utakuta ndio yanaondoka
Kwanini hali hiyo haiathir maziwa??
 
Jibu la swali la kwanza.
Kupwa kwa bahari ni kitendo cha kupungua kwa maji ya bahari kwenye kingo - pwani zake katika eneo husika,
Kujaa kwa bahari ni kitendo cha kuongezeka kwa wingi kwa maji ya bahari kwenye kingo - pwani yake katika eneo husika.
Hivyo kupwa na kujaa kwa bahari kunasababishwa na mzunguko wa dunia katika mhimili wake, hali ya mzunguko wa dunia husababisha upande mmoja wa bahari kuwa na maji mengi kwenye kingo - pwani zake kwa masaa 12 na upande mwingine wa bahari kuwa na maji machache katika kingo - pwani zake kwa masaa 12 hicho kitendo ndio huitwa kupwa na kujaa kwa bahari.
Jibu swali la pili.
Mito, maziwa, mabwawa, visima n.k huwa havina sifa ya kupwa na kujaa kwa sababu ya udogo wao, ieleweke kwamba bahari huwa na sifa ya kupwa na kujaa sababu ya ukubwa wa bahari na bahari kuweza kuunganisha mabara zaidi ya moja yenye hali ya hewa tofauti mfn tunaona bahari ya hindi ilivyounganisha bara la afrika, asia, australia, antarctika n.k.
Pia tunaona sifa kama hizo kwa bahari kama pasifiki, atlantiki, mediterania n.k
Hivyo mito, maziwa, mabwawa n.k haviwezi kuwa na sifa ya kupwa na kujaa sababu vipo eneo moja la bara lenye sifa na tabia za nchi zinazofanana kama uoto, miinuko, hali ya hewa n.k.
Na ijulikane pia kwamba dunia huzunguka kutoka magharibi kwenda mashariki na ndio mana kwa upande wa mashariki mwa afrika tunapata hali ya kujaa kwa bahari kuanzia jioni na kuendelea.
Na pia kuzunguka kwa dunia katika mhimili wake husababisha matokeo mengine katika dunia kama usiku na mchana, kubadilika kwa masaa na kutokea kwa vipindi tofauti kama asubuh, mchana n.k
Uliza Swali lingine tafadhali kuhusu haya mambo, mana nipo kwenye mudi, ila
Watakuja wengine kuongezea zaidi.

Umeenda chaka kabisa...
Hakuna uhusiano wowote kati ya Earth's rotation na kupwa na kujaa kwa maji.

Kupwa na kujaa kwa maji kunasababishwa na ONLY moon gravitational forces...

Usidanganye watu mkuu.
 
Sijui kaka mitindo huru kasoma Geography ya wapi? Jaani anapotosha mchana kweupe kabisa
 
Back
Top Bottom