Hili halijakuliza mkuu?mlitaka maji ya kwahawia wakuu
Kote maji meusi yamejaa takavumbi kibao full vinyesi sasa ole wako unywe upate red eyes huponi usiseme aikusemaWilayani Nzega, mkoani Tabora siku 2 zilizopita ilinyesha mvua kubwa kiasi, kama kawaida sisi wa Uswahilini lazima tukinge maji kwenye ndoo, masufuria na mabeseni.
Cha ajabu sasa yale maji ya mvua yalikua ni meusi, tukajua labda kwa siku mbili tatu ambapo haikunyesha itakua bati limechafuka, jana tena imenyesha mvua kubwa sana tukakiknga tena maji.
Kwa mshangao tena maji ni meusi, tukajaribu kuulizia kwa majirani huko kwao, nao wakasema kama sisi kwamba wamekinga maji ya mvua ila ni meusi. Sasa wataalamu labda watusaidie hii hali ni nini na je hakuna madharau kiafya?
nimejikuta nasikitika tu mkuu ila machozi yanilenga lenga😂Hili halijakuliza mkuu?
water is colorless mixture of gasWilayani Nzega, mkoani Tabora siku 2 zilizopita ilinyesha mvua kubwa kiasi, kama kawaida sisi wa Uswahilini lazima tukinge maji kwenye ndoo, masufuria na mabeseni.
Cha ajabu sasa yale maji ya mvua yalikua ni meusi, tukajua labda kwa siku mbili tatu ambapo haikunyesha itakua bati limechafuka, jana tena imenyesha mvua kubwa sana tukakiknga tena maji.
Kwa mshangao tena maji ni meusi, tukajaribu kuulizia kwa majirani huko kwao, nao wakasema kama sisi kwamba wamekinga maji ya mvua ila ni meusi. Sasa wataalamu labda watusaidie hii hali ni nini na je hakuna madharau kiafya?
Mzee wa kulia lia kama demu leo vp haulii??mlitaka maji ya kwahawia wakuu
We maandaz mzee wa kulia lia kama demunimejikuta nasikitika tu mkuu ila machozi yanilenga lenga[emoji23]
mkuu hata mm pia nna moyo kwann nisilie mkuuWe maandaz mzee wa kulia lia kama demu