Mzungu wa Meli
JF-Expert Member
- Dec 23, 2018
- 215
- 278
Iceberg hakuna tena mkuu! Kiwanda Chao kilikuwa arusha nadhani walishakifunga! Nilikuwa nayapenda mno!!iceberg
Yanakata kiu UKIYANYWA UNAHISI STAREHE FULANI HIVI
Mzee unanikumbusha niliposoma topic ya packaging some years backMasafi.Sayona na Afya" nayapenda "... kwa sababu bei yake inazingatia kipato cha wananchi wa kima cha chini ... nakuweza kutoa fursa ya kutumiwa na watu wote ...
Pia naya penda maji ya afya na sayona "yale ya kwenye chupa ya litre1 kwakuwa na vutiwa na muonekano (muondo) wa chupa yake .....
Sent using Jamii Forums mobile app