Maji gani ya chupa unapenda kunywa na kwanini?

Maji gani ya chupa unapenda kunywa na kwanini?

kilimanjaro ni the best kwangu. Kuna maji bhana ya serengeti nahisi yanatengenezwa na mtu chumbani, hayana ubora kabisa
 
TBS yafaa watoe kwa wanywaji specifications za minerals zinazotakiwa katika maji.
Pia serikali iunde mfuko wa maji vijijini kila lita moja ya maji inayozalishwa kuwe na sh 50 ya mfuko ili miradi ya maji vijijini ifanyike kama ilivyo REA.Viwanda ni vingi sana
 
Go east go west Azam UHAI is the best, kwa 500tsh tu najnywea 1litres. Alafu Bakhresa alikuwa anauza maji ya pakti kubwa kwa tsh 50 sijui ile project ilikufaje., mzee ana miakili mingi yule duh!
 
watumiaji huangalia vifuatavyo,
Upatikanaji wa maji
Bei ya maji
Ladha ya Maji
Muonekano wa Chupa
Bei ya Maji

Kwa sasa karibu kila mkoa unakiwanda cha Maji, ila kila mkoa una favourite

Mfn; Tabora wanapenda Dew Drop, Acqua rock, Jambo na Udzungwa.

Shinyanga; Jambo na Kilimanjaro
Mwanza; Sequa, Kilimanjaro, Jambo na Dasani
Dar es salaam; Afya, Masafi, Kilimanjaro.

Kwa hiyo chief kwa sasa soko ni gumu, ushindani ni mwingi.... Uhai ndio naona kama anapotea
kama ulikuwa unafanya research majibu kidogo ndio hayo,
Kwa nini maji ya Afya na Masafi hayagandi kwenye friji?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kilimanjaro nilikuwa nayazimikia zamani ila ya siku hizi naona test yake haipo vizuri.
Maji bora kwangu kwa sasa ni Udizungwa na Dew drop.
Ingawaje aina nyingine za maji huwa natumia pindi ninapoyakosa yale niyapendayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Taste ya zamani ilikuwaje na sasa ikoje
 
Back
Top Bottom